REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

EURO CUP 2016: MASHABIKI WA UINGEREZA WALIOLEWA, WASABABISHA VURUGU KWA MARA NYINGINE TENA

9:54:00 PM Add Comment

Na Baba Juti.
MASHABIKI wa Timu ya Uingereza wakiwa katika Hali ya Ulevi , wamesababisha Vurugu kwa Mara Nyingine Siku ya Jana katika Mechi yao dhidi ya Urusi.

Mashabiki hao wa Uingereza, walionekana kuwapiga Mashabiki wa Urusi, na hata Wenyeji wa Michuano ya EURO CUP 2016, Ufaransa.

Tofauti na Hilo, mashabiki hao walikuwa wakirusha Chupa za Bia, Viti, na kufanya Uharibifu Mkubwa.

Polisi wa Ufaransa waliingilia Kati Vurugu hiyo kwa Kurusha Mabomu ya Machozi na kukamata baadhi ya Watu wakorofi.

Tizama Video na Picha.















































MNADA BANNER