REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

BONGO MUVI: JACKLINE WOLPER NA PROJECT YA “BAKI MODO”

8:39:00 AM Add Comment

NA Frank M Joachim & Instagram
ALL mashabiki wa Bongo Muvi, kama ulikuwa siku zote unaomba Sexy babe wa Bongo Muvi Industry Nchini Tanzania, JACKLINE WOLPER,  apunguze “Ubwajabwaja” (Unene) wake, basi kila kitu kitakuwa Mwake mwake Vere Soon

Kupitia IG account yake, jackline Wolper amewaomba wadau wake especially marafiki zake na hata wale Followers wake, wampatie siku chache tu, ili apunguzeUnene aliokuwa nao.

Katika macho yangu , nlikuwa naona yuko “mzuka” na Mrembo balaa, lakini pia zoezi la kuweka sawa mwili wake, ni kampeni nzuri sana ambayo itamfanya aonekane tofauti na kuridhisha wale wanaouchukia Ubonge alio nao

Hatua ya jackline Wolper kufanya hivyo, ni pamoja na Kusikiliza maoni ya mashabiki wake ambao muda mrefu,inaonekana wamekuwa wakimshauri apunguze Mwili na kufuta kabisa “pingili” za Ubonge, ingawa sina hakika kama alikuwa na Hips za tumbo, yaani, “Bums za Tumbo”.

Wasanii wengine ambao wamekuwa wakionekana kupunguza Unene, ni Pmaoja na Lulu-Elizabeth maiko..BUT WATCHOUT WOLPER, Usiwe Modo saaaaaaaaaana..kama AT..Ninatania tu.

MSANII WA UGANDA HUENDA AKAFUNGWA MIAKA 10 JELA BAADA YA PICHA ZAKE ZA UTUPU KUVUJA

8:27:00 AM Add Comment

Na Frank M. Joachim
INGEKUWA hapa Nchini Tanzania, Kiukweli ninaapa ningefurahi sana hasa kwa wale “Vichenchedaz” ambao wanapenda sana kupiga Picha zaUtupu na hata kuvuja kunako mitandao mbali mbali ya kijamii.


·        Tuhamie Uganda.
Msanii Desire Luzinda ambaye hivi sasa amechukua Vichwa vya Habari vingi sana kila Sekta hasa kunako mkitandao ya Kijamii, baada ya Ex-boyfriend wake kuvujisha Picha zake za Utupu, huenda “akagongwa” nyundo ya Kutumikia Kifungo cha miaka 10 Jela, endapo tu atapatikana na hatia ya kuvuja kwa Picha zake za “Pilau” yaani Utupu.

Waziri wa Masuala ya maadili Nchini Uganda, Padre Lokodo, ambaye masiku machache alimpiga “lock” jombaa mmoja nchini humo kwa Kuachia Mkanda wa Ngono, ameonekana kuelekeza Jeshi la Polisi kumhoji vilivyo Msanii Dezire Luzinda.

Kama utakuwa ni “Veri-Strict” kwenye masuala ya Burudani hasa afrika Mashariki, utakuwa unafahamu vizuri kabisa kuwa Ex-Boyfriend wa Desire, EBIKEME EBUOMOR ambaye ni raia wa Nigeria, alivujisha Picha za Msanii huyo za utupu, kunako Mitandao mbali mbali, huku akidai kuwa amefanya hivyo kwa sababu bibie huyo amekuwa akimsaliti kwa “kuvunja Amri Ya Sita” na Wanaume kibao sana

Tofauti na Hilo, waziri huyo ametoa amri ya kukamatwa kwa Ex-Boyfriend huyo aliyevujisha Picha huizo, kwa sababu mbali mbali hasa likiwa ni hilo la kukiuka Sheria za Nchi hiyo.


Sheria ya Kupinga Matumizi ya Picha za Ngono (Anti Ponographic Act) nmdiyo itakayowafikisha katika Hatua ya “Kunyea Ndoo” kwa Miaka 10 Desire Luzinda na Ex huyo. 

MNADA BANNER