REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

BOX MASALA: BIASHARA YA BANGI MWANZA IMEPANDA BEI?..

11:25:00 PM Add Comment

Na Baba Juti
SIKU Ya Jana nilipata Bahati ya kupita katioka Moja ya Vijiwe ambavyo kwa asilimia kubwa hujihusisha na Biashara na Uvutaji wa Bangi.

Ingawa ni sehemu hatarishi na Inayoogopwa sana na Wakazi wa Eneo husika (jina limehifadhiwa). Ni katika Moja ya Mitaa ya Jiji la Mwanza

Mfanya Biashara wa Kilevi hicho Maarufu kama "Pusha", ndiye alikuwa Mtu wa Kwanza Kufunguka kuhusiana na Biashara hiyo kuwa Ngumu, na hata kufikia hatua ya kutamani kupandisha bei kubwa sana kwa wateja wake hata kufikia Shilingi 500 kwa "Stick" (Msokoto) moja.

Mazingira yanayomfanya aseme kuwa Bangi Imepanda Bei, ni Pamoja na Mahali ambako ananunua (jina Limehifadhiwa), na Usafirishaji, Karatasi za Kusokotea, na Ugumu wa Uchambuzi wa Bangi Hiyo.

Pia Mteja wa Bangi, amedai kuwa, Inabidi ifikie Muda, kama ni Ushuru Ukatwe endapo Biashara hiyo itahalalishwa kama ambavyo Mbunge wa Geita alivyoomba Bungeni, ili wanunue Bidhaa bora, na Kwa Bei Inayoeleweka, hasa pia katika Kipimo sahihi

Wasikilize Hapa (Pusha na Mteja)

NEW VIDEO: VALLE WELLE-KIDUDE

9:54:00 PM Add Comment
Na Baba Juti.
Tizama Video Mpya Kutoka Kwa Msanii VALLE WALE, inayokwenda kwa jina La Kidude.

KUTOKA KWA CHIBU- DIAMOND PLATNUMZ

3:30:00 AM Add Comment


MNADA BANNER