REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

#DakaHiiFasta: BEYONCE "AMKATA" BABA YAKE MZAZI

9:02:00 AM Add Comment

Na Baba Juti
#WatuWaMungu Baba Mzazi Wa Beyonce hatokuwepo kushuhudia Mapacha Wa Beyonce wakiletwa Duniani

Kwa Mujibu wa Taarifa Kamili kutoka kwa moja ya Watu aminifu ambao watahusika katika Siku hiyo Maalum ya Beyonce Kujifungua, ni kwamba  Beyonce ameamua "kumkata " baba yake Mzazi Mr Mathew Knowles kuwashuhudia Wajukuu wake wakiionja harufu ya Duniani, kwa kuhofia kuwa atavujisha kila kitu mapema kabla ya Mipango yao

"Beyonce anahofia kuwa Baba Yake atatokea ghafla Bila kualikwa katika Siku hiyo maalum, kama alivyofanya kwa Binti yake BLUE INVY. Lakini Pia Beyonce anahofia kuwa Baba yake atavujisha Vitu vingi Mapema, hivyo hajaalikwa hata kidogo" kilidi chanzo Hicho

#DakaHiiFasta : MAAMUZI YA KESI YA AKON KUMDHURUMU PESA MSANII WA MISRI HAYA HAPA

8:51:00 AM Add Comment

AKON
Na Baba Juti
#WatuWaMungu kama Mtakuwa Mnakumbuka Vizuri sana, Mkali wa Miondoko ya R&B ambaye asili yake ni Senegal, AKON, aliingia katika Msala Mzito mnamo Mwaka 2015 baada ya Msanii mmoja kutoka MISRI kudai kuwa kamfanyia "Unyambilisi" katika Wimbo Wake

Msanii huyo anayeitwa TAMER HOSNY, alidai kuwa allimpatia AKON kiasi cha USD 300,000 kwa ajili ya kuonekana kwenye Video yake pamoja na PitBull
PITBULL

Kitu ambacho kilikuja kutokea ni kwamba, Tamer anadai kusalimisha Mamilioni ya Fedha ili PitBull na Akon wafurahie Video yake, lakini cha ajabu mpaka siku wanashoot Video, Pit Bull hakuonekana , kitu amabcho kilimfanya akimbie mahakamani kuomba msaada zaidi
TAMER HOSNY

MAHAKAMA IKATOA HUKUMU
HAKIMU kutoka Mahakama ya Georgia, alisikiliza kwa Umakini Kesi hiyo na kutoa Hukumu ambayo ilimfanya Akon aibuke Msgindi katika Kesi Hiyo

Hakimu husika wa Kesi hiyo alidai kuwa, baada ya kusikiliza Maelezo ya Pande zote mbili alibaini kuwa, ni kweli Akon hakupewa USD 300,000 kama ambavyo TAMER anadai, bali alimpatia Akon USD 145,000 kama malipo katika Video Hiyo
Hivyo Madai ya Bwana Tamer hayana mashko, na huo ndo ukawa Mwisho wa Kesi ya Jamaa huyo

VIDEO: HII NDIYO SABABU YA KALIGRAPH JONES KUJICHUBUA

7:51:00 AM Add Comment
KALIGRAPH JONES Katika Muonekano Wa Sasa ambao wengi wanahoji kama anajichubua au lah !!!!! (Picha na NTV-Kenya)

KALIGRAPH jonez anafahamika sana kwa "Ufundi" wa kusuka Mashairi pamoja na "Flowz ambazo ziko Heavy kiasi kwamba hakuna anayekataa juu ya Hilo

Kupitia Hayo, Kaligraph alijikuta akipata Umaarufu Mkubwa sana na hata kupata Collaborations nyingi sana kutoka kwa Wasanii wakubwa akiwemo WYRE-The Love Child, Christian Bella (Tanzania) na Wengineo wengi sana

Kupitia Mikwaju kama Vile "Naked, Mazishi" na Nyinginezo, ziliwez\a kumuweka Kaligraph Jones katika Mafanikio makubwa Sana
Lakini Kitu ambacho Kimekuja kuwashtua Wengi sana, Ni Baada ya Kaligraph kuonekana akiwa Nje ya Ngozi yenye Rangi Nyeusi na kuwa katika Rangi yenye Ngozi ambayo inaonekana kuwa imekutana na Zoezi la Kujichubua

Kiufupi, Kaligraph anamuonekano tofauti huku wengi wakimtuhumu kuwa anajichubua

KALIGRAPH JONES Katika Muonekano wake wa Zamani
Lakini katika Maelezo yake, Kaligraph anadi kuwa amekuwa na Maisha Mazuri kwa Hivi sasa Tofauti na zamani. Hivyo ukiwa na Pesa lazima Ngozi ibadilike pia. Yeye hatembei juani kama zamani, anatembea kwa kutumia gari, hivyo lazima Ngozi ibadilike. Pia akaongeza kuwa anakunywa Majisaafi na Salama, hivyo lazima Ngozi ibadilike Kidogo

Ukiachilia Mbali hayo, Pia kaligraph anadai kuwa, Mpenzi wake hivi sasa anampeleka katika Baadhi ya Salon kwa ajili ya kufanyiwa Scrub, hivyo Ngozi yake lazima Ibadilike.

TIZAMA HAPA

MNADA BANNER