REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

KUMRADHI KWA MANENO MACHAFU UTAKAYOYAONA..ILA HUYU NDIYE MTANGAZAJI MWENZETU...

5:08:00 AM Add Comment
TAFADHARI: NAOMBA RADHI KWA MANENO MAKALI UTAKAYOYAONA KATIKA PICHA YETU
Kama ningekuwa Mmmiliki wa Chombo cha habari ambacho Binti huyu anafanya kazi, ningemtimua kabisa, kwa sababu "She is completely and openly destroyng the company's image"

Na Kama nitataka aendelee kufanya kazi katika kampuni yangu, sina budi kumpeleka Hospitali kumpima Akili, because may be she is out of her Mind.

Ukiwa kama Kioo cha jamii hasa Channel ya Mawasiliano kwa Umma, huwezi kupost POST Kali kama hiyo katika Facebook Page yako..

Binafsi naona Binti huyu Hajakua au kukomaa kiakili.  Msomaji wangu tuseme tu ukweli, Bora Mungu akunyime Pesa na Vitu vingine, ila asikunyime Busara na Upeo mkubwa wa Kutafakari kiupana.

Simuogopi wala Hatoweza kunifanya Kitu chochote, kwa Tafsiri yangu, namuona Mwanahabari Mwenzangu HAJATELEZA, ila Ni Sahihi kabisa Kuwa AMEFANYA MAKUSUDI AKIWA NA DHAMIRA HIYO...

Kwa Mantiki hiyo, Simtofautishi na MPUUZI, MJINGA,maana amenidharirisha kama Mwanahabari ambaye nimeisomea kabisa, na bado ninamiliki Blog kama New Media katika aina ya Ya vyombo ya vya Habari.
Mtu huyu kiufupi anadhamiria kabisa kutufanya sote tunaheshimika hivi sasa kama NGUZO YA NNE YA TAIFA tuna tabia kama zake.
Ama Mtu ambaye amekosa malezi na maadili kwa Wazazi Wake. Au ni Kalevi?
 

CHEKI : HUNA HAJA YA KUOGOPA !!!! HII NI FASHION PIA !!!!

3:39:00 AM Add Comment

Kama nilipata ujasiri wa kusema kwama, "Fashion ya Kiduku wacha Ipite", basi naomba kusema kuwa hata Fashion hii naomba ipite, maana kamwe siwezi kuitumia, na ntaonekana Bonge moja la Crazy kwa Kutika hivi.

Tuachane na hayo, hii ilikuwa ni BERLIN FASHION WEEK ambayo ilifanyika Mjini Berlin Ujerumani. Hebu Mcheki yule Mwanadada na zile kope...hivi kweli kuna mtu anaweza kutumia Fashion hiyo in Reality?

MNADA BANNER