REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

CONFIRMED : ALIYEZAA NA SHILOLE AANZA KUDAI MTOTO WAKE.....

8:55:00 PM Add Comment

IKO HIVI...
Jamaa au Jombaa aliyezaa na Msanii Maarufu Wa Filamu na Muziki wa Mduara Hapa 255 Bongo, namzungumzia Shilole, ameanza kumsumbua mwanadada huyo kuhusu Mtoto Wake aliyezaa naye.

Kwa Mujibu wa Wachokozi wa Info za Udaku, Jamaa huyo amekuwa akimsumbua Shilole kwa Njia ya Simu kuhusu Mtoto Huyo, jambo ambalo Shilole amekuwa Mgumu kumuachia.

SHILOLE JE?
Akizungumza na DAR TALK, Shilole amethibitisha kutokea kwa Ishu hiyo, huku akisema kuwa kwa sasa anaendelea na Maisha yake, na Hakuna atakayemchukua Mtoto wake ambaye hivi sasa yuko Shule bin Skul, kwani hakuna Mtu mwingine yeyote anayeoa Matumizi ya Kila Kitu zaidi ya Juhudi zake.

MNADA BANNER