REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

EDDIE MURPHY KATIKA BIG SKENDO AGAIN..SFARI HII ALISHIRIKI MAPENZI NA MWANAUME ALIYEJIBADILISHA JINSIA

6:42:00 AM Add Comment

TTM tunakukumbusha kuwa, Eddie Murphy ambaye ni Mcheza Filamu na Mchekeshaji maarufu Ulimwenguni, ameahi kuingia katika Skendo kadhaa hasa za kimapenzi na wanawake tofauti.

Sasa This Time TTM tumepata Mtonyo Kuwa, Eddie Murphy ambaye hivi sasa pia anatesa na Track yake ya REDLINE alomshirikisha Snoop Dog ikiwa katika Mahadhi ya Reggae, ameingia kunako Skendo Mopya kabisa, ya Kuwahi kufanya mapenzi na na Mtu aliyejibadilisha Jinsia kutoka Uanaume mpaka Uanamke.

Jamaa huyo ambaye hivi sasa tunamtambua kama Binti, na anafahamika kwa Jina la HONEY DIP ASHTON, amedai kuwa amekuwa akifanya mapenzi na Eddie Murphy tangia akiwa na Miaka 17 (yaani Binti Mwenyewe).


Tofauti na Kutoa madai hayo, HONEY DIP ASHTON ameanza kuachia Ushahidi wa wawili hao ikiwemo mazungumzo yake na Mwanasheria wa Eddie Murphy, pamoja na Mawasiliano ya Online aliyokuwa akiyafanya na Mrembo-Dume Huyo.













RIPOTI : KUMBE KUNA UWEZEKANO DR. DRE NA PATNER WAKE JIMMY LOVINE WAKAPATA NAFASIO ZA JUU KATIKA KAMPUNI YA APPLE

6:33:00 AM Add Comment

DAWATI LA TTM

Kama bandugu watakuwa wanakumbuka, tuliweza kushusha Ripoti wiki Iliyokata kuwa, Kampuni ya BEATS ELECTRONICS inayomilikiwa na Dr Dre na Patner Wakle Jimmy Lovine, itanunuliwa na kampuni ya APPLE (MACINTOSH) kwa Zaidi ya USD Billion 3.

Lakini katika Pita pita Zetu za Huku tumepata Mchakatao kuwa, kuna Uwezekano Dr.Dre na Jimmy wakapewa nafasi za Juu za kikazi katika Kampuni ya APPLE, yaani SENIOR POSITIONS

Ingawa bado Wengi hatujafahamu kama zitakuwa ni Nafasi za aina gani katika kampuni hiyo, Big Boss wa APPLE, TIM COOK, amesema kuwa nafasi za wawili hao ambao wameonekana kuisimamisha Vema kampuni yao ya BEATS ELECTRONIC watapata nafasi kubwa tu za Juu katika kampuni ya APPLE.

Watu wengi wanaamini kuwa, kuna uwezekano ikawa ni makubaliano ya Kampuni Hizo Mbili wakati wa Kuuziana, ama Inawezekana Bigg Boss wa APPLE ameona Kitu cha Pekee kwa wawili hao, hivyo anahitaji kufanya nao kazi
MWISHO WA RIPOTI

KITENGO CHIMBUA CHIMBUA

HIVI NDIVYO GIRLFRIENDZ WA SAUTI SOL WALIVYOICHUKULIA VIDEO YA NISHIKE:

6:28:00 AM Add Comment

Ukirejesha Kumbukumbu yako Kidogo hapa Tanzania, Inasemekana kuwa, Mpenzi wa Ney wa Mitego, aliwahi kummaindi Ney baada ya kuonekana akipapaswa kifua Chake na Warimbwende Kibao, katika Video ya NAKULA ujana, lakini baadaye alimuelewesha na Kila Kitu kiikaenda sawa.

Sasa this time Kibao tunakihamishia kwa Members wa Kundi la SAUTI SOL Nchini Kenya ambalo hivi majuzi limeachia Video Mpya ya NISHIKE huku ikionekana Kujawa na Vionjo mbali mbali kibao vya Kimapenzi, yaani Kupapasana Kwingi mpaka kufikia hatua ya Video hiyo kupigwa marufuku kuchezwa kunako Vituo Mbali mbali Vya Televisheni Nchini Kenya.

Sasa wakifafanua Kuhusu Reaction ya Wapenzi wao baada ya Video hiyo Kutoka huku ikionesha utukutu wa Kimahaba hasa ya Kubiringika kitandani, jamaa hao wamedai kuwa haikuwa Shida sana Ukizingatia kuwa walikuwa wanafahamu Kinachoendelea.

Tofauti na Hilo, WANNE hao wameongeza tangia wanaanza mahusiano na wapenzi wao, basi ilikuwa inafahamika kabisa kuwa wao ni wasanii na wanaweza fanya lolote ili kufikisha ujumbe wao kwa hadhira.


Aidha SAUTI SOL wamemiminika kuwa, Hawakuwaruhusu wapenzi wao kuhudhulia Zoezi la upigaji Picha wa Video, maana wasingeweza kuhimili kile ambacho kilikuwa Kikifanyika, na Ndio maana wakawazuia kutokea Location, ingawa moja kwa Zote, wapenzi hao wanafahamu kuwa ile ni kazi na Ni Biashara ambayo inawapa Mikwanja ya Kujikimu

RIPOTI: MILEY CYRUS SASA HAPANA…AINGIA NA KITU CHA AJABU KWA STAGE.

3:42:00 AM Add Comment

DAWATI LA TTM

Kitengo cha TTM na NYUMA YA PAZIA kiujumla Inafahamu Fika kabisa kuwa, Msanii wa Kike ambaye amekuja Juu si kimuziki tu, bali hata Kwa Vituko, MILEY CYRUS, kila Siku huwa Haishiwi na Jipya.

Infact Kitengo Chimbua Chimbua tunajiuliza, Hivi Dada huyu ndo amenogewa na mahaba, ama kuna Kitu Kingine Cha Ziada anacho kunako Akili yake.

KILICHOTOKEA:

Miley Cyrus ambaye hivi sasa ana Umri Mdogo tu, wa Miaka 21, alitakiwa Kusghusha Perfomance katika tamasha Moja hivi lililopewa Jina tatanishi la  HOT SPOT G-A-Y , lililofanyika Ijumaa Usiku huko jijini London.

Katika hali ambayo iliwashangaza watu mbali mbali waliohudhuria Show Hiyo, baada ya Miley Cyrus kuingia na Kitu kikubwa chenye Mfano wa Umbile la UUME na Kuanza Kushusha Perfomance huku akilichezea Balaa.

Ndugu zangu, Ukitizama Picha ambazo Tumepata nafasi ya kuzikodolea jicho, utakubaliana na maoni ya wazazi waliohudhuria katika Tamasha Hilo, kuwa kitu kilichofanyika hapo, hakika ni hatari sana katika Macho ya watoto…yaani Weka Mbali na watoto.
Unaweza kumpa hukumu gani Bibie huyu…

PICHA NYINGINE ZIONE MWENYEWE





MWISHO WA RIPOTI

KITENGO CHIMBUA CHIMBUA

DAVIDO KATIKA MBWADIDI NA MAAFISA WA UHAMIAJI CHINI NIGERIA

3:23:00 AM Add Comment

SIKU CHACHE ZILIZOKATA, davido aliweza kutweet kupitia account yake ya Twitter, kuwa Maafisa wa Uhamiaji Nchini Nigeria, ambao anadai walimuonea na kumnyanyasa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa MURTALA MOHAMMED, kwa sababu za Kifedha.

Lakini baada tu ya Tweet hiyo kuzagaa kunako Social Networks, Idara Hiyo ya Uhamiaji Nchi Nigeria, imekanusha madai hayo hasa ya kifedha, huku wakiweka bayana kila kitu ili kuepusha Matatizo na Msanii huyo pamoja na wananchi Mbali mbali.

Kwa Mujibu wa taarifa maalumu iliyotolewa na Afisa Habari wa Idara Hiyo ya Uhamiaji, EMEKA OBUA, inasemekana kuwa  davido alimfuata afisa mmoja katika Uwanja huo wa Ndege Siku ya safari, kwa Dhumuni la Kusafiri kwenda Nje ya Nchi, akitumia Passport aliyochukua Nchini marekani, ikiwa na namba 460918874, ambayo ilikatwa Jijini Georgia, DECEMBER 14 209, na inafanya kazi mpaka December 14 2019.

Afisa huyo alizidi kumiminika kuwa, baada ya Afisa husika kuipitia Passport hiyo na kubaini ina tatizo, alimuambia Ukweli Davido kuwa, hawezi Kutoka Nje ya Nchi hiyo kwa sababu Passport hiyo haikuwa na Visa, hivyo ameona ni bora akuonesha passport aliyokatia Nchini Nigeria.


Baada ya Davido Kuambiwa hivyo, inasemekana alimuambia afisa huyo kuwa passport ya Nigeria ameisahau Nyumbani, jambo ambalo Afisa huyo bado hakukubaliana nalo, na kumuambia aelekee nyumbani kuifuata Hiyo passport.

Baada ya Kuambiwa Hivyo, Davido kwa kushirikiana na mabaunsa Wake, walianza kumfokea na Kuanza kuzonga Afisa huyo wa Uhamiaji na kulalamika kuwa inawezekana Vipi ukamzuia Mtu Kusafiri kisa hana Passport ya Nchi Hiyo, na Anapassport Nyingine ambayo haina Shida.

Hata hivyo inasemekana Kuwa, baadaye davido alifuata Taratibu zote, na Kuwakilisha Passport ya Nigeria ambayo ina namba A02227477 iliyochukuliwa  Abuja Mnamo August13, 2010 and na itafanya kazi mpaka August 12, 2015.



Katika kukemea hilo , EMEKA amesema tabia kama za Davido hazifai hasa katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa, na Endapo mtu anahitaji kutumia Passport za aina hiyo, basi huwa kuna Barua maalum ama maandishi maalumu ili kufanikisha safari.

MNADA BANNER