REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

NEW TRACK: THE GAME FEAT. LIL WAYNE & CHRIS BROWN- F***CK YOUR FEELINGS (EXPLICITY CONTENT)

11:48:00 PM Add Comment

KIMATAIFA: Wakimbizi wafia kambini Cameroon

9:16:00 AM Add Comment

BBC Swahili
Taarifa kutoka nchini Cameroon zinasema kuwa wakimbizi waliotoroka kutoka kwa wapiganaji wa Boko Haram wamefariki wakiwa katika kambi ya wakimbizi.

Baadhi ya wakazi waliokuwa kambini katika mji wa Fotokol karibu na mpaka wa Nigeria, wanasema kuwa mazingira katika kambi hizo, yalikuwa mabaya sana na kwamba watoto walifariki baada ya kuugua Malaria.

Wengine walilalamika kuwepo uhaba wa chakula kambini na kwamba walilazimika kuiba chakula kutoka kwa mashamba ya wenyeji.

Wadadisi wanasema ushirikiano kati ya Nigeria na Cameroon katika kupambana na wapiganaji wa Boko Haram umekuwa mdogo sana licha ya ahadi kutoka kwa viongozi wa mataifa hayo mawili.


CETA: Vijana jitokezeni kugombea

9:08:00 AM Add Comment

NA NASRA ABDALLAH, Dar Es Salaam
VIJANA nchini wametakiwa kujitokeza kuwania nafasi za uongozi ikiwamo nafasi za juu katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Desemba mwaka huu.

Wito huo ulitolewa mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam na Katibu wa Chama cha Walimu wa somo la Uraia (CETA), Safari Minja, katika warsha ya siku moja ya kuwajengea uwezo vijana kuhusu haki na wajibu wao katika uchaguzi.

Minja, alisema vijana wengi wamekuwa wakiwaachia watu wazima kugombea nafasi ya Uenyekiti na wao kubaki mashabiki, jambo ambalo alidai wanapaswa kubadili tabia hiyo.

Pia, alionya kuhusu suala zima la upigaji kura, kwani vijana wamekuwa wakishiriki katika kampeni kwa wingi lakini inapokuja hatua ya kupiga kura wanaingia mitini na hivyo kujikuta wakijinyima haki yao ya kuchagua au kuchaguliwa viongozi ambao sio hitaji lao.

Kuhusu umri wa vijana chini ya miaka 40, alisema hata yeye haungi mkono na kufurahishwa kuondolewa kipengele hicho.
Mojawapo ya sababu alizozitaja, kuwa ni hatari endapo sheria hiyo ingepitishwa, kwani kijana chini ya umri huo anakuwa bado hajakomaa kimaono, kiakilii, kijamii na kifamilia.

Kwa upande wake, mmoja wa kijana aliyehudhuria warsha hiyo, Nelson Kasena, alisema wameweza kupata uelewa wa mambo mbalimbali ambayo walikuwa hawayajui kuhusu taratibu za uchaguzi.
Kasena, alisema kati ya jambo lililomvutia ni uandikishaji kwa njia ya kielektroniki na kuongeza kuwa, bado elimu zaidi inatakiwa kuhusu mfumo huo ambao bado ni mgeni hapa nchini.

Naye Mwakilishi kutoka shirika la Kijerumani la Konrad Adenauer Stiftung, ambao ndio waliwezesha kufanyika kwa wa warsha hiyo, Sefan Reith, alisema vijana hawana budi kupewa elimu ya uraia mara kwa mara, kwa kuwa ndio viongozi wajao wa taifa hili.


Unhappy about being shorter than your brother? Blame your genes - Scientists unlock DNA secrets of family heights

8:51:00 AM Add Comment

HEALTH & SCIENCE
If you've ever wondered why the rest of your family towers over you in height - it may be down to a rare genetic misfortune which has left you with a miserable batch of 'short genes'.

Scientists at the the University of Exeter conducted a study to find out what factors determine a person's height.
They discovered that one fifth of the genetic factors that cause height to vary between siblings is that the smaller brothers and sisters have 'simply inherited a big batch of short genes.' 

The study also found while it was commonly thought we are taller than our ancestors thanks to better diets, this factor is only responsible for a fifth of the growth spurt. 

Four fifths is down to genetics passed on from one generation to the next. 
The study is the largest of its kind in history and also revealed that more than half of the factors involved in determining height are explained by the simple common genetic variation - the differences between and among different populations.

By examining the DNA from more than 250,000 Europeans, researchers from the international GIANT consortium checked more than two million common genetic factors - those shared by at least five per cent of participants.

From this they found 697 genetic variants in 424 regions of the genome, the genetic material of an organism, that are related to height.
Before 2007 virtually nothing was known in this area of research.
Professor Tim Frayling of Exeter's Medical School said: 'It's common knowledge that people born to tall parents are more likely to be tall themselves.

'Most of this is down to the variations in our DNA sequence that we inherit from our parents - the different versions of all our genes.
'In 2007 we published the first paper that identified the first common height gene, and since then the research has come on leaps and bounds.
'We have now identified nearly 700 genetic variants that are involved in determining height.

'This goes a long way towards fulfilling a scientific curiosity that could have real impact in the treatment of diseases that can be influenced by height, such as osteoporosis, cancer or heart disease.
'It also a step forward towards a test that may reassure parents worried that their child is not growing as well as they'd hoped - most of these children have probably simply inherited a big batch of 'short genes'.'
Dr Andrew Wood added: 'Our findings have helped to identify a large proportion of the genetic architecture that contributes to determining our height.

'We know that as a population we have become taller over the last few generations, because of factors including improved nutrition. But more than 80 per cent of the factors in height variation are known to be down to genetics, with the rest caused by environmental factors.
'Thanks to advances in technology, we now have access to far greater quantities of DNA data.

'These data sets are proving to be a genetic treasure trove which has enabled us to shed light on height, and we expect to continue to make significant advances, both in this field and in other human traits.'
'Our results suggest that massive human genetic studies, possibly into the millions, will continue to uncover all the subtle effects of our genetic variation that influence our health, behaviour, body shape and all aspects of what makes us who we are.' 


TAARIFA: HALI YA MBUNGE KIWIA, SIO NZURI

8:42:00 AM Add Comment

NA RIZIKI KAZI 
HALI ya Mbunge wa Ilemela, Highness Kiwia (CHADEMA), imeelezwa kuwa mbaya kutokana na kushindwa kupumua kwa kutumia pua na badala yake anatumia mdomo kitendo ambacho ni hatari.

Taarifa hiyo imetolewa jana na Kiongozi wa Operesheni Kanda ya Ziwa Magharibi, Tungaraza Njugu, wakati Baraza la Vijana CHADEMA (BAVICHA), wakitoa tamko juu ya Polisi kwa kushirikiana na Chama Cha Mapinduzi (CCM), kuhatarisha amani ya nchi.

Kiwia, alisafirishwa kwenda India usiku wa Septemba 28 mwaka huu, kwa ajili ya uchunguzi zaidi na matibabu ya afya yake kutokana na matatizo ya mishipa ya kichwa.
Mbunge Kiwia, alikumbwa na tatizo hilo baada ya kushambuliwa kwa mapanga na watu wanaosadikika kuwa ni wafuasi wa CCM katika uchaguzi mdogo wa udiwani Kata ya Kirumba jijini hapa.

Katika tukio hilo, Kiwia akiwa na mwenzake Mbunge wa Ukerewe, Salvatori Machemli (CHADEMA), inadaiwa walitekwa na kushambuliwa na wafuasi wa CCM Aprili Mosi 2012 usiku eneo la Ibanda Kirumba.

“Kutokana na nafasi aliyonayo ya ubunge, Serikali inagharamia jukumu hilo na kama chama, kimechangia kufanikisha anapata matibabu na gharama za huko ni zaidi ya dola elfu nane ambazo zitatumuika,” alisema.

Njugu, alisema vitendo vinavyofanywa na CCM vimekuwa vikihatarisha usalama wa binadamu lakini mamlaka husika imeshindwa kuchukua hatua, jambo ambalo ni ukiukwaji wa haki za binadamu, hivyo wananchi wanapaswa kutambua chama hicho kimeshindwa kusimamia na kuongoza nchi


ISHU YA CINDY KUPOTEZA WALLET…KUNA BEEF, AMA MASIHALA, AMA KISASI?

2:54:00 AM Add Comment

KAMPALA, Uganda
MNAMO October 4 Mwaka huu huu, zilichapishwa Habari mbali mbali kuwa , Msanii kutoka kampala Uganda, amejikuta akibugujikwa na Machozi baada ya kubaini kuwa Waleti yake iliyokuwa na Mkwanja Mrefu, imepotea wakati akishusha Perfomance katika Club ya Ambiance huko Nchini Uganda

Katika hali isiyo ya kawaida, Cindy alionekana kuwashutumu watu wawili kupitia Ukurasa wake wa Facebook, ambao ni PRODUCER KAYS na Baunsa wa Josee Chameleon, PJ

  • ·        Kauli Ya Producer Kays

Baada ya hali hiyo Kutokea, Producer Kays ambaye ni producer na Msanii kutoka Uganda, naye hakusita Kumtu[pia maneno makali Cindy Sanyu , huku akimuita kuwa ni Mwanamke wa Bei rahisi sana hivyo hawezi kulinganishwa naye.


Producer Kays ambaye ameshawahi fanya kazi na wasanii mbali mbali Nchin Uganada akiwemo Jose Chameleone, ameongeza Kuwa, Yeye ni Mfanya Biashara ambaye anaingiza mamilioni Mengi sana Kila mara, hivyo Cindy anavyosema kuwa ameiba Kijimkoba ambacho kina Kiasi kidogo cha Fedha, ni Uzalililsahji wa hali ya Juu hasa kwake Cindy Mwenyewe.

Ni maneno Mengi makali ambayo kays ameyapost kunako ukurasa wake wa Facebook, hali ambayo imeonekana kuwashtua Wengi sana.

  • ·        Cindy Sanyu Anasema Hivi:

Baada tu ya Kutolewa kwa Malalamiko hayo na Kays na hata Kumuita “Kishtobe” wa Bei rahisi Sana, Cindy alipost yafuatayo, kama tunavyomnukuu, hasa akionekana kumtuhumu Producer huyo kuiba Wallet Hiyo

 "U kno what? I also think its Keiz the producer but anyways I'm performing at club One Mukono tonight so I'm gonna forget abt that and focus on this. There's always more money to make.....see y'all. Holla"

Na Ili kudhirisha kuwa, bado anahasira na Producer Kays, huku akiwa na Uchungu wa kupotelewa na Mkwanja Wake, Asubuhi ya Sikukuu ya Eid, Cindy alipost hivi kama Tunavyomnukuu


. "Morning fam. Two kinds of people I can't stand, a hypocrite and a thief. But today is a great day so who cares, happy eid adhuha."

MASIKINI MARIAH CAREY!!!..HAWEZI KUIMBA VIZURI TENA

2:42:00 AM Add Comment

DAILY MAIL & BLACK TOUCHEZ , Tokyo
KUNA Uwezekano Mkubwa sana Mwanamama ambaye sauti yake huwa na mvuto kupita maelezo, akawa anaelekea kupoteza Mvuto katika Kuimba.

Weekend Hii Mariah carey amejikuta akikosolewa Vikali kwa kile kinachodaiwa kushindwa kufanya Vizuri katika ELUSIVE CHANTEUSE WORLD TOUR alipokuwa Nchini Tokyo.

Aidha kwa Mujibu wa Ushahidi wa Video Clip ambazo zimeshaanza kusambaa kunako Mitandao mbali mbali ya Kijamii, zinamuonesha Mariah Carey akiimba Chini ya Kiwango, huku baadhi ya Vitu alivyokuwa akivifanya awali, vikishindikana kufanyika Tena.

Vitu hivyo ambavyo kwa namna moja ama nyingine vilikuwa vikimshinda Mariah Carey, ni pamoja na kuimba huku akipiga Kinanda, jambo ambalo wengi walishtushwa nalo Pia.

Tofauti na Hilo, Microphone Maalumu iliyokuwa imeandaliwa kwa ajili yake, nayo ilionekana kumzingua hivi, jambo ambalo wengi waliamini sasa bibi huyu, ameshindwa kabisa kucheza na Vifaa malumu ambavyo anaomba viandaliwe kwa jili yake.


  • ·        Mashabiki Wake Katika Mtandao Wa Twitter.

BAADHI ya Mashabiki wameonekana kumuandama Mariah Carey, ambapo Shabiki ake anayefahamika kwa jina la ELLE, yeye alisema kuwa anasikitishwa kugundua kuwa Mariah Carey hawezi kuimba Tena, ukizingatia  yeye ni mkongwe, na kama inawezekana basi astaafu.


Shabiki mwingine  anayetumia jina la HANDLE PEACHES & HERB amesema kuwa, ni ngumu sana kumsikiliza akiwa anaimba, kwa sababu Mariah Carey hawezi tena Kuimba, na ndio maana huwezi kumuona akipiga LIVE CONCERTS


Mariah Carey ambaye hivi sasa ana Umri wa Miaka 44, yuko katika Mchakato wa talaka na Mumewe NICK CANNON, ambaye ameshazaa naye watoto wawili, MORROCAN na MONROE. Na walifunga Ndoa Rasmi Mnamo Mwaka 2008


KUMBE FRENCH MONTANA ALIMTELEKEZA MTOTO WAKE, KISA VISHTOBE.

2:29:00 AM Add Comment

NEW YORK, Marekani
SIKU HADI SIKU mapya yanazidi kuibuka kuhusu French Montana, ikiwa ni baada ya Kupigana Chini na KHLOE KARDASHIAN

Sasa, this Ttime, TTM tumepata Mtonyo kuwa, Kumbe Rapper na Producer Huyu, French Montana, aliwahi kupiga kimya na hata kutomtembelea Mtoto wake kwa Muda wa Miezi mine Mfululizo, kisa mademu wawili, yaani TRINA na KHLOE KARDASHIAN

Akizungumza kwa Uchungu , Ex Wife wa French Montana, NADEEN KARPOUCH, amedai kuwa, French alifanya hivyo kwa sababu muda mwingi sana alikuwa Bize na Magirlfriendsn wake, ambao aliwathamini kuliko hata Damu yake.

Katika utata mwingine, inasemekana kuwa, Montana ambaye ni Mkali wa FREAKS, baadhi ya Marafiki wa Karibu wa Nadeen, wamedai kuwa, Katika Mwaka huu, inawezekana French Montana amemuona motto wake huyo wa Miaka 4, mara NNE TU, ndani ya Mwaka huu 2014.

Aidha Mama wa Mtoto amezidi kusistiza kuwa, Frenc hakuwahi hata kusumbuka kumpeleka Mtoto katika Shule ya Awali, zaidi ya kuona umuhimu wa kula bata na akina KHLOE KARDASHIAN.

Pia amesisistiza kuwa, French alidhihirisha asivyomjali motto wake, baada ya kuunua vitu vingi vya gharama kama vile Gari aina ya JEEP na Vito vya Thamani kwa KLOE, huku mwanae akikosa mahitaji maalum na yenye thamani kama hayo.







REPORT: KUHUSU TUHUMA ZINAZOMKABILI AKON, KUKWEPA EBOLA..

2:23:00 AM Add Comment

WEEKEND HII,MKALI wa R&B ulimwenguni, AKON , ametuhumiwa kuperform akiwa ndani ya Puto kubwa, kukwepa Ugonjwa wa Ebola, TTM tuna Mtonyo kamili kama Ifuatavyo.

·        Ilivyokuwa:
Siku kadhaa zilizopita, Akon alikuwa Nchini Kongo kwa ajili ya tamasha maalum la wazi, lililofanyika katika Mji wa GOMA, ambapo aliingia ndani ya Puto hilo la Plastic ikisadikika kuwa alikuwa akijikinga na Ugonjwa wa Ebola, ambao umeshaua watu 32 katika Nchi hiyo.
Dhumuni kubwa la tamasha hilo la wazi, ilikuwa ni kutangaza Kampeni ya Umoja wa Mataifa (UN) hasa katika Siku ya Amani inayosherekewa Kimataifa (INTERNATIONAL PEACE DAY).

Tamasha hilo liliweza kuhudhuriwa na watu zaidi ya 60,000 katika Mji huo, na AKON aliamua kujitosa katika Puto hilo, ambalo inasemekana kuwa lilikuwa halipitishi hewa.

Baada ya kuingia kunako Puto hilo, Akon alijirusha kwa mashabiki ambao walikuwa wakimbeba juu juu lakini akiwa ndani ya Puto hilo.

·        Akon Alichokisema:
Kwa upande wake Akon ambaye amekumbana na Tuhuma hizo, amedai kuwa, sio kweli kwamba aliingia ndani ya Puto hilo ili kujikinga Na Ugonjwa huo unaozidi kutafuna maisha ya Waafrika, bali huwa ni namna ambavyo anaperform katika Show zake, tangia hata Story za Ebola hazijaanza kushika kasi.

Aidha Akon amevilalamikia vyombo vya habari hasa kwa kulikuza suala hilo na kuonekana kuwa alikuwa anajaribu kukwepa Gonjwa hilo hatari

·        Kihistoria Katika Hili

Aidha inasemekana kuwa Akon ameshafanya Tukio kama hilo hilo, huko DUBAI na AUSTRALIA

MNADA BANNER