REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

WAKAZI WA MANYARA..USO KWA USO NA BOB JUNIOR

7:51:00 AM Add Comment

WAREMBO 14 kutoka vitongoji mbalimbali vya Mkoa wa Manyara, wameingia kambini jana kujiwinda na kinyang’anyiro cha kumsaka Miss Manyara kitakachofanyika Ukumbi wa CCM wilayani Babati na kupambwa na mkali wa Bongo fleva, Rahim Rummy ‘Bob Junior’, Juni 14.

Mratibu wa mashindano hayo, Akon Clement kupitia Kampuni ya Mererani Entertainment, aliwataja warembo hao kuwa ni Happy William, Edna Mushi, Merry Ruta, Rose Evason, Flora Godlizen, Amina Omary, Catherine Emmanuel, Sabrina Anger, Bertha Fredrick na Samila.

Pia alisema kuwa warembo hao ni kutoka vitongoji vya Babati, Simanjiro na Mbulu, ambao wameingia rasmi kambini ili kupatiwa elimu na mazoezi juu ya kinyang’anyiro hicho, hasa ikiwemo kuwajengea uwezo wa kujiamini na kujithamini.

Aidha alisema kuwa shindano hilo litasindikizwa na burudani kutoka kwa wasanii mbalimbali wa Mkoa wa Manyara na msanii maalumu kutoka jijini Dar es Salaam, Bob Junior.

Akon alisema kuwa shindano hilo limedhaminiwa na Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) kupitia kinywaji chake cha Redd’s Original, Kifaru  Agrovet, Winners Hotel, Active Classic Fashion, Open University, Kimweri Sport Wear, Manyara Computer pamoja na Sarafina Lodge.


ASABIBISHIWA UPOFU NA BABA MKWE WAKE, KISA ANATUHUMIWA KUWA NA MAHUSIANO NA MWANAUME MWINGINE WA KIISLAAM

7:13:00 AM Add Comment
BI. JAGEER MIRGIND

KUNA muda Huwa najiuliza Why This…hasa katika mazingira ya kawaida?...

BI. JAGEER MIRGIND, amejikuta akipata upofu na hata Kujeruhiwa Vibaya katika Maungo ya Mwili wake, na baba Mkwe wake kumpa kipigo cha Kikatili kupita maelezo.
BABA MKWE- MANJIT MIRGIND

Kwa mujibu wa maelezo ambayo BLACK TOUCHEZ imeyapata, ni kwamba Mzee Huyo, MANJIT MIRGIND mwenye Umri wa Miaka 51 alimpiga Vikali Mkewe Huyo, kwa kuhisi anamahusiano ya Kimapenzi na Mwanaume mwingine wa Dini ya Kiislam

Aidha bado inasemekana Kuwa, tukio hilo lilitokea mbele ya Watoto wa Bi Jageer, mmoja akiwa na Miaka 3, na Mwingine akiwa na Miaka 6, huku akitamka kuwa atamuua.
MTAA AMBAO TUKIO LIMETOKEA, NYUMBANI KWA BI JAGEER

Tukio hilo limetokea katika makazi ya Bi. Jageer, yaliyoko KENSINGTON GARDENS, ILFORD, Mashariki Mwa Jiji la London, uingereza.
Mzee huyo alikuwa akimkandamiza Macho Bibi Huyo kwa Vidole Gumba, huku akitumia Kisu kumjeruhi mara Kadhaa, huku akidai kuwa ameidhalilisha familia yake kwa kulala na Mwanaume huyo


Lakini Mpaka hivi sasa, Mahakama ya SHARESBROOK CROWN , Nchini Humo, imemhukumu Kifungo cha Maiaka 10 na Miezi 8 Jela

KELLY ROWLAND NI MJAMZITO

3:24:00 AM Add Comment

Ex- Memba wa Ex- Crew ya DESTINY CHILD’S, Kelly Rowland hivi sasa ni Mjamzito..TTM tumezinyaka.

Kupitia Account yake ya Instagram, Hitmaker Huyo wa WHEN LOVE TAKE OVER aliyoshirikishwa na DAVID GUETTA, alitangaza Rasmi kuwa Yeyue Ni mama Kijacho, huku akipost Picha ya Sneakers za Mtu Mzima, na  Pea nyingine ya Sneakers za Mtoto Mdogo.

Tofauti na Hilo, Pia alimtag Mume wake kipenzi, TIM WITHERSPOON, ambaye walifunga Ndoa Hivi karibuni Huko COSTA RICA, ndoa ambayo Pia ilihudhuriwa na Beyonce pamoja na Michelle.


Huyu atakuwa ni Mtoto wa kwanza kabisa kwa muimbaji huyu wa zamani wa Kundi la Destiny Child’s. Hongera sana kwa Kelly Rowland

MAMA MKWE WA KANYE NUSURA ATIBUE….

3:22:00 AM Add Comment

KANYE WEST awalii alijikuta katika wakati Mgumu baada ya Kugundua Kuwa, katika Account ya Instagram ya mama Mkwe wake, KRIS JENNER, kuna Post ambayo inayoonesha kutokumpenda kanye kama Mkwewake…

Lakini baada ya kukaa kwa Muda kadhaa Ndugu jamaa na hata marafiki wa Familia hizo mbili, walikuja kubaini kuwa account hiyo ilikuwa hacked, na Mtu ambaye aliathirika Ni pamoja na French Montana, ambaye ni Mpenzi wa Khole kardashian, Binti wa Kris Jenner

Aidha baada ya Popst hizo kusambaa, Ukweli uliopo kutoka kwa wahusika wa karibu katika familia Hiyo, wamesema kuwa, Ni kweli account hiyo Imekuwa Hacked, na Ukizingatia Kanye West na Kris Jenner wanapendana na hata Kuheshimiana kuliko ambavyo wengi wanaweza kudhani.


Hata Hivyo baada ya shughuli hiyo ambayo ililenga Kumharibia Jina Bibie huyo ambaye Pia ni mama wa Kim Kardashian, na Mtangazaji wa Kipindi cha Luninga, hatimaye Post Hizo zilifutwa, ikiwa ni baada tu ya Kuanzakusambazwa kunako Mitandao Mbali mbali, huku taarifa za Kuwa hacked Zikisambaa.

HALI ILIVYOKUWA JIJINI MWANZA, KABLA MABOMU HAYAJAANZA KUTAWALA KATIKA ENEO LA MAKOROBOI

3:19:00 AM Add Comment






MNADA BANNER