REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

BILL GATES AREJEA KILELENI KATI YA MABILIONEA 50 DUNIANI

6:49:00 AM Add Comment

1. Bill Gates
KIASI: $76 B
CHANZO CHA MKWANJA: Microsoft


2. Carlos Slim Helu
KIASI: $72 billion
CHANZO CHA MKWANJA: telecom


3. Amancio Ortega
KIASI: $64 billion
CHANZO CHA MKWANJA: retail


4. Warren Buffet
KIASI: $58.2 billion
CHANZO CHA MKWANJA: Berkshire Hathaway


5. Larry Ellison
KIASI: $48 billion
CHANZO CHA MKWANJA: Oracle


6. Charles Koch
KIASI: $40 billion
CHANZO CHA MKWANJA: diversified


7. David Koch
KIASI: $40 billion
CHANZO CHA MKWANJA: diversified


8. Sheldon Adelson
KIASI: $38 billion
CHANZO CHA MKWANJA: casinos

9. Christy Walton
KIASI: $36.7 billion
CHANZO CHA MKWANJA: Wal-Mart


10. Jim Walton
KIASI: $34.7 billion
CHANZO CHA MKWANJA: Wal-Mart;


11. Liliane Bettencourt
KIASI : $34.5 billion
CHANZO CHA MKWANJA: L'Oreal


12. Stefan Persson
KIASI: $34.4 billion
CHANZO CHA MKWANJA: H&M


13. Alice Walton
KIASI: $34.3 billion
CHANZO CHA MKWANJA: Wal-Mart


14. S. Robson Walton
KIASI: $34.2 billion
CHANZO CHA MKWANJA: Wal-Mart


15. Bernard Arnault
KIASI: $33.5 billion
CHANZO CHA MKWANJA: LVMH


16. Michael Bloomberg
KIASI: $33 billion
CHANZO CHA MKWANJA: Bloomberg LP


17. Larry Page
KIASI: $32.3 billion
CHANZO CHA MKWANJA: Google


19. Sergey Brin
Kiasi: $31.8 billion
CHANZO CHA MKWANJA: Google


20. Li Ka-shing
Kiasi: $31 billion
CHANZO CHA MKWANJA:  hakijafahamika


21. Mark Zuckerberg
Kiasi: $28.5 billion
CHANZO CHA MKWANJA: Facebook


MAAJABU: CHEKI CHATU ALIVYOMSHINDA MAMBA NA KUMGEUZA KITOWEO

5:50:00 AM Add Comment

BBC
Chatu ameshinda vita vikali dhidi ya Mamba Kaskazini mwa mji wa QueensLand, kupigana na Mamba, kumpinda na kisha kumla.

Tukio hilo lilishuhudiwa katika ziwa Moondarra, karibu na mlima Isa na kunaswa kwa kamera na wakazi wa eneo hilo siku ya Jumapili.
Nyoka huyo mwenye urefu wa futi 10, alijipinda kwa Mamba na kuanza kupambana naye majini.


Hatimaye, Nyoka huyo alifanikiwa kumshinda Mamba na kumtoa nje ya maji na kisha kumla.

TIZAMA PICHA HIZI:




BLACK TOUCHEZ NEWS IN ENGLISH: LIL WAYNE IN TROUBLE

2:19:00 AM Add Comment

Lil Wayne has not only stomped on the American flag, he's now said F you to Uncle Sam, because we've learned he hasn't paid his taxes -- TO THE TUNE OF MORE THAN 12 MILLION BUCKS!

According to a tax lien -- obtained by TMZ -- Weezy failed to pay taxes for 2011 and 2012.  For 2011 he owes a staggering $5,843,952.  And for the following year, even worse -- $6,311,132.

Wayne has had his financial issues.   He owed $7 mil for back taxes in 2008 - 9, but he cleared the debt in 2012.
He's also had legal issues.  In 2012 ... Wayne famously lost a case against 

Quincy Jones' son after thumbing his nose at the court.  A jury socked Wayne for $2.2 mil.

Wayne is reportedly worth $135 MILLION.

As Weezy says, "You got money and you know it.  Take it out your pocket and show it and throw it

Afutiwa shitaka la kuuza nyama ya binadamu

2:14:00 AM Add Comment

Ngara.
Mahakama ya Wilaya ya Ngara, mkoani Kagera imemfutia mashitaka ya kuuza nyama ya binadamu, Pastori Nalingi Blanketi (43) na kumhukumu mwaka mmoja jela kwa kosa la kuingia na kuishi nchini kinyume na sheria.

Mwendesha Mashitaka wa Polisi wilayani Ngara, Tumaini Membi aliiambia mahakama hiyo kuwa, mtuhumiwa huyo alikamatwa Februari 23 mwaka huu katika Kijiji cha Kihinga saa tano  usiku baada ya kunusurika kuuawa na wananchi wa kijiji hicho.

Membi alisema wakati anakamatwa, mtuhumiwa alikuwa akitangaza kuwa anauza nyama ya binadamu kwa Sh100,000 na baada ya uchunguzi ilibainika kuwa alitoa kauli hiyo akiwa amelewa, hivyo havikupatikana vielelezo vya kumtia hatiani kwa tuhuma hizo.

“Baada ya kuhojiwa kwa kina, ilibainika mtuhumiwa alikuwa katika hali ya ulevi wakati akitangaza biashara hiyo na hata hivyo, polisi lilimtia hatiani kwa kuingia na kuishi nchini kinyume cha sheria,” alisema Membi.


Mtuhumiwa anadaiwa kuingia nchini akitoka Burundi tangu mwaka 1981.

VOTE FOR DABO ON KTMA

2:06:00 AM Add Comment

MPIGIE KURA LAMECK MBIMBO- DABO Katika Tuzo za KTMA (KILI TANZANIA MUSIC AWARDS)- 2014 , umchague kuwa MUIMBAJI BORA WA REGGAE kwa Mwaka Huu.

Ili Kumfanya DABO awe Mshindi, Fanya yafuatayo :
Tuma Neno KILLI kwenda namba 15440, na ukijibiwa, Tuma Namba 4 (Niwe Na Wewe- Dabo) Kwenda Namba 15440


Fanya hayo hivi sasa tafadhari. Utagharamikia Shilingi 60 Kwa kila SMS

THE GAME ALIHUSIKA KATIKA TRACK YA I HIT IT FIRST ILIYOKUWA IKIMZUNGUMZIA KIM KARDASHIAN

12:46:00 AM Add Comment

ULALALALAAA…THINGS ARE GETTING BIGGER MAZEE…
Wiki Iliyopita mnamo Siku za weekend Hivi, RAPA THE GAME alivunja Ukimya na Kusema kuwa, yeye hana mahusiano na Khole Kardashian ambaye ni Mdogo wake Kim kardashian, bali aliwahi Kubiringika kunako Uwanja wa Selemara na dada Mtu, ambaye ni KIM KARDASHIAN

Sasa baada ya kila kitu kuwekwa wazi, TTM  tumezinyaka kuwa, kumbe RAPPA huyo alishiriki pia katika wimbo wa I HIT IT  FIRST ya RAY JAY, iliyokuwa ikimzungumzia KIM Kardashian, huku ray J akijitapa kuwa Kanye Hamtishi Kitu maana yeye ndiye Alimkunjukia kabla yake.

Katika VERSE Hiyo ambayo ilifichwa na haikuachiwa, hatimaye imevuja huku Ndani yake akizungumzia masuala Tofauti ambayo Wengi Tunaamini kuwa alikuwa anamzungumzia The majanga Girl KIM KARDASHIAN, ambaye hivi sasa ni mama NORTH WEST ama Mchumba ake KIM KARDASHIAN

Pia katika Verse hiyo, The game anamzungumzia Binti ambaye alikunjuka naye Vibaya sana wakiwa ndani ya Ndege Binafsi, yaani PRIVATE JET, huku akikazia kuwa binti huyo hatosahau Penzi lake Yeye The game.

Baada ya Ishu hiyo kubumburuka sasa, Fasta the game aliruka kunako account yake ya Twitter na Kupost kuwa hiyo siyo Kweli, bali kuna Mtu amechukua verse yake ya kipindi cha Nyuma na Kuipachika katika Wimbo huo waI HIT IT FIRST ya RAY JAY

Kama haujasikia Diss hilo kwenda Kwa Kim kardashian, hebu Chukua chance la Kuisikiliza hapa hapa ndani ya JAM SESSION “TUKO MBELE”

THE GAME CLIP VERSE: SEKUNDE 59

BAMBOO AMEDAI ETI MDOGO WAKE VICTORIA KIMANI SIYO HADHI YA DIAMOND PLATNUMZ

12:30:00 AM Add Comment

Kama utakuwa ni Mtaalamu mzuri wa kucheza na Info za Mastaa mbali mbali, Kuna Muda Fulani hivi zilivuma kuwa Huenda Diamond akawa anamfukuzia msanii hatari wa kike nchini Kenya, VICTORIA KIMANI, jambo ambalo Platnumz  alilipinga kabisa na kudai ni marafiki.

Sasa katika pita yetu huku na kule, tukabaini kuwa Bamboo Pia ambaye ni kaka wa Victoria Kimani, amevunja ukimya pia na kulitolea ufafanuzi Suala hilo ambalo limezagaa sehemu kibao hasa katika Mitandao ya Kidaku.

Katika ufafanuzi wake, BAMBOO amesema kuwa Mdogo wake huyo mrembo, sio Type ya PLATNUMZ, lakini kama atafikia uamuzi wa kuingia katika mahusiano na Diamond, basi yeye hawezi kumzuia coz ni binti ambaye Yuko huru, na anaweza kufanya maamuzi yake.

Aidha bamboo aliongeza kuwa, Victoria amekuwa ni binti mtafutaji kuanzia muda mrefu, lakini pia amekuwa akishiriki katika nyimbo kadhaa za Nchini Kenya ingawa watu wengi hawafahamu.


Ishu ya Diamond kuhisiwa anachoporoka na Victoria Kimani, ni baada ya kupost picha yake na mrembo huyo katika Pozi la kawaida Tu, wakati wako katika Project ya Kutengeneza kwaju la ONE CAMPAIGN

MNADA BANNER