REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

MBEYA YETU: PICHA ZA HALI HALISI NA ILIVYOKUWA KATIKA MAZISHI YA HESHIMA YA MTOTO ALIYEZIKWA HAI MBEYA, NA KUKAMATWA KWA MUUAJI

5:16:00 AM Add Comment
 MWILI WA MAREHEMU: Mwili Wa Marehemu Mtoto Debora ukiwa Umefunikwa kwa Heshima kwa Ajili ya Mazishi ya Heshima

 ENZI ZA UHAI: Mtoto Debora akiwa katika Picha, Enzi za Uhai wake


MAZIZHI  YA HESHIMA: Mwili wa Marehemu Mtoto Debora katika Mazishi ya Heshima ikiwa ni Safari yake ya Mwisho

KATILI: Mtuhumiwa wa Mauaji ya Kikatili ya Mtoto Debora akiwa Chini ya Ulinzi


 KWA UCHUNGU: Mama Mzazi wa wa Marehemu Debora













HE!: MSANII MKONGWE NCHINI KENYA AKIRI KUTAKA KUFANYA MAPENZI NA MARYA

4:41:00 AM Add Comment
                                                        MWAFRIKA
NAIROBI, Kenya.
WAKATI Raia Kibao wa Kenya wakisubiri siku maalum ya April 9 ambapo Rais Mpya wa Kenya, UHURU KENYATTA ataapishwa rasmi kuwa Prezdaa wa Nchi hiyo, Mmoja wa Wakongwe katika Gemu la Hip Hop Nchini Kenya goes by da Neim MWAFRIKA, ameibuka na kukiri kuwa anataka Kufanya Mapenzi na Msanii maarufu wa Kike Nchini Humo Marya

MARYA
Hiki Ndicho alichokizungumza jamaa huyo:

"Peace to all them cats out there doing music from they heart. And for the record I still insist I would love to f*ck Marya, now you so called "Keep It Real" N*ggaz deal with that. Word to Immortal Technique "Yo creo que todos debemos de saber eso."


TUPAKUMBUKE NYUMBANI TOUR : NAJIVUNIA SANA KIJIJI ALICHOZALIWA MAMA YANGU MZAZI...HUKO NDIKO NILIKULA BAADHI YA BATA

4:26:00 AM Add Comment
KARIBUNI WANANGU:  KUTOKA KUSHOTO, Kaka yetu Allawi Mnyika ambaye niliam,batana naye katika safari, Mama yetu Mdogo Ednatha Kagaruki, Mtoto wa Mama Mdogo Ednatha, pamoja na Mama yangu Mkubwa Goleth Kagaruki (Aliyeinama)

PUMZIKA KWA AMANI: Kaburi la Mrehemu Babu yrtu Mzaa Mama, Mzee Gervaze Kagaruki, lililopo katika Kijiji cha Katendaguro wilaya ya Misenyi, Mkoani Kagera. (Picha Zote Na Frank M. Joachim)

PICHA: HII NDIYO KUFURU WALIYOIFANYA SKYLIGHT BAND, JIJIN MWANZA

3:48:00 AM Add Comment



 UTAWEZA WE MTASHA?; Rafikia ake Shilole akimpagawisha Mzungu.....

 ZUNGUSHA HIVYO HIVYOOO: Aneth akimtia Munkari Mwanadada Shilole

 IMEKAA SAWA MAMITO...ACHIA MAUNO KUDADEKI: Shilole akiwajibika kwa Stage ya Skylight Band

 KULA HIYO MAMA: Shilole akituzwa na Shabiki..........







 KAMA HATUTAKI VILE : Wana-Entertainment wa Rock City Baby wakijimwaya Mdogo Mdogo na Skylight Band

 ENHEEE..MUULE MUULE ! Wadau na Wanaojua Burudani wakisebenuka Kwaito wakati Skylight band wakitumbuiza

TWENDE SASA: Anneth akiachia Bonge la Ushirikiano kwa Mmoja wa Mashabiki wa Skylight Bend Mkoani Mwanza

TOKA IKULU: WILLIAM RUTTO NA KIKWETE WAKUTANA NDANI YA MBUGA YA WANYAMA YA SERONERA, MARA

3:34:00 AM Add Comment
 OOOH ! KARIBU SHEMEJI...Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt Jakaya Kikwete akisalimiana kwa Furaha na Mke wa Makamu wa rais Mpya wa Kenya...

 KARIBU SANA MZEE: Rais Kikwete (Kushoto kisalimiana kwa Furaha na Makamu wa Rais wa Kenya, Ndugu William Rutto, katika Ziara yake ya Mapumziko ya Sikukuu ya Pasaka, katika Mbuga ya Seronare

 TWENDE HUKU AISEE...Rais Kikwete akielekea Mahali na Mheshimiwa Rotto

 TUNAFURAHI...Rais Kikwete na William Rutto wakionekana kufurahia jambo fulani

TUMETOKLEZEYA: Mheshimiwa Kikwete akiwa na Familia ya Makamu wa Rais wa Kenya, William Rutto katika Picha ya Pamoja

PICHA: IKULU

MNADA BANNER