REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

WATANZANIA WENZANGU...MTOTO HUYU ANAHITAJI MSAADA WAKO WA HALI NA MALI...TAFADHARI NAKUSIHI !!!!

8:26:00 AM Add Comment
Picha kwa Hisani ya FRANCIS GODWIN




Mtoto Juliana kama anavyoonekana akiwa ameunga uso wake kwa moto ni yatima anahitaji msaada wako ili kunusuru maisha yake.

Tafadhari sana unaombwa kutuma mchango wako kwa njia ya M-PESA katika namba hii 0754 026 299 au Tigo Pesa 0712 750199 namba hizi ni za mmiliki wa mtandao wa francisgodwin.blogspot.com, Bw Francis Godwin.

 Nawaomba tuungane kufanikisha kuokoa maisha ya mtoto Juliana Mwinuka na Mungu atatuongezea zaidi

SATURDAY SPECIAL NA CAMERA YA BLACK TOUCHEZ:- KARIBU TANDIKA, NDANI YA WILAYA YA TEMEKE JIJINI DAR ES SALAAM

7:31:00 AM Add Comment




MNADA BANNER