REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

INSTACOP: BONDIA FLOYD MAYWEATHER ANAJUTA KUPOST HIKI KITU, CHECK WATU WALIVYOMCHAMBA

4:51:00 AM Add Comment

BONDIA FLOYD MAYWEATHER Jr, tunaamini anajuta balaa kupost Picha hii pamoja na maneno haya ambayo yamenaswa na Instacop, kutokana na Kushambuliwa Balaa na Mashabiki mbali mbali…
Noma hili limetokana na Bifu lake na Rapper wa G-Unit, 50 Cents “Jackson Curtis”

COMENT NYINGINE ni kama Ifuatavyo kwa Uchache





KRISH ATAKUWA AMEMMIS SANA IRENE UWOYA..MAANA SOUTH AFRICA IMEKUWA SOUTH AFRICA AISEE

4:46:00 AM Add Comment
IRENE UWOYA, Ingawa Wengi hatufahamu ni Mishe gani anafanya, safari hii kumekuwa na Wingi wa Picha zake akiwa SOUTH AFRIKA

HIVI majuzi Tu, tulipata mtonyo kuwa moja Video baby, AGNES MASOGANGE, ameamua kununua uraia wa Nchi ya Afrika Kusini Completely, na kuwa Mkazi huko kabisa, huku akiupiga Chini Uraia wake wa Tanzania

Sasa, TTM tumebaini kuwa, safari Hii, Irene uwoya amekuwa na Route za Kufa mtu kuelekea Nchini Afrika ya Kusini kama Ilivyokuwa kwa Agnes Masogange.
Moja kati ya watu walioonekana Ku-comment katika Account yake ya Instagram baada ya Kukpost Video Clip ya Picha Hizi, ni Pamoja na Muigizaji Mwenzake, SHAMSA FORD, ambaye alisema KRISH (,toto wa Irene) atakuwa amemmis Sana

Siku ya Jana, kupitia Account yake Ya InStagram, Irene Uwoya ambaye ni Diva wa Bongo Muvi, amepost Video Clip ikimuonesha kaiwa amepiga Poz katika Usafiri wa Nchi Hiyo, jambo ambalo limewafanya baadhi ya wabongo kujiuliza maswali huku wakimsihi arudi Nyumbani, maana wengi wamekuwa wakirubuniwa kuishi katika Nchi hiyo , mwisho wa  siku wanakutana na manoma.



SIFA mbaya ya Kusafirisha madawa ya kulevya Nchini Afrika Kusini hasa kwa watanzania, ilisababishwa na Agnes masogange, ambayealikamatwa Airport akiwa na Mzigo Mkubwa wa Dawa za Kulevya, lakini baadaye alitoka..na hakuna Kinachoendelea mpaka hivi sasa.

HUDDAH MONROE KAMA KAWAIDA NA UZURURAJI WAKE...HIZI NIMEZINASA ALIPOKUWA AMEKUJA DAR ES SALAAM TANZANIA

4:37:00 AM Add Comment












CHUKUA HII: RICH MAVOKO BADO ANATAFUTA

3:03:00 AM Add Comment

DAR ES SALAAM, Tanzania
INCASE Unajiuliza maswali mengi kuhusu ka-ukimya kaduchu kalikopo toka Kwake, maze wala msijali.

Rich Mavoko, Hitmaker wa MARRY ME na FOLLOW ME, bado anasaka Mkwaju Mkali ambao utakuja kulaza na Kuzima Mizigo mingine ambayo iko market Hivi sasa.


Jana , kupitia IG account Yake, alituonjesha Kipande kidogo cha Ngoma , huku akidai kuwa Iko Library, nab ado anasaka mkwaju mpya wa Kuachia

VIDEO YA ALOWA IKO ON TAYARI…COMMENTS ZA WATIZAMAJI NAZO ZIKO ON

2:54:00 AM Add Comment
CYRILL KAMIKAZE: Video yake ya Alowa ina Viewers zaidi ya 2,100 huku LIKES zikiwa zaidi ya 40 na DISLIKES zikipatikana 2

DAR ES SALAAM , Tanzania
BAADA ya Kusikia Audio ya Alowa kwa kipindi Kirefu, Finally Video ya Allowa kutoka kwa Cyrill Kamikaze imeshaanza kubang kwa Mtandao wa YOUTUBE

Jombaa huyo ambaye anawakilisha Area za WAKACHA originally kutoka Singida, ameachia rasmi Video hiyo Katika account hiyo, AUGUST 23, huku kampuni iliyohusika katika Suala zima la Production, inafahamika kwa jina la KWETU STUDIOS.

Katika Video hiyo,  Moja kati ya Vitu ambavyo vimeonekana ni pamoja na Msanii mwenzake kutoka Crew yao ya WAKACHA, JUX, pamoja na wengineo.

Aidha Video hiyo ambayo mpaka hivi sasa ni zaidi ya Viewers zaidi ya 2,100 tangia imewkwa katika Mtandao wa Youtube, imepambwa na 

Baadhi ya mavazi ya Kiafrika ikiwemo Kitenge ama makenzy kuanzia kwa Cyrill Mwenyewe mpaka akina dada ambao walikuwa wakibinua mauno yao. Pia Sneakers zenye rangi ya Dhahabu, vilimfanya Kamikaze aonekane Tofauti

COMMENTS:
KATIKA Suala Comments, infact kila Mtu siku zote anakuwa na Mtizamo wake juu ya jambo Fulani ambalo linakuwa linafanyika. Video Hiyo Imepata jumla ya LIKES 41, huku Dislike zikiwa ni 2.

Siku Moja iliyopita, ERICK CHAGAMA alisema kuwa, Video Iko Vizuri ila Sema Cyril hakujipanga, huku akidai kuwa, Cyrill hajakurupuka kufanya Video hiyo, lakini namna ambavyo audio Imehit, hata Video ilitakiwa kuwa More than hit

Kwa Upande wake PARTSON MUTAYOBA amesema kuwa Video iko Poa, na imevutia zaidi baada ya kuweka Vionjo vya Kiasili kidogo kama Vile Mduara


Tofauti na hao, John Adriano amedai kuwa, Aidio Ni tamu sana lakini Video hajaitendea haki kabisa.


FLOYD MAYWEATHER ANAJUA KUSOMA, JAPO NAMUONEA HURUMA- 50 CENTS

2:24:00 AM Add Comment

NEW YORK, Marekani
RAPPER 50 CENTS ambaye pia ni Big Bouss wa G-Unit, ameamua kama kumuonea Huruma hasimu wake, Mwanamasumbwi Kutoka Nchini marekani, Floyd Mayweather, baada ya kumuwashia Moto na kuibua Siri kuwa, Bondia huyo suala la kusoma linampita Kushoto kidogo.

Katika Interview na kipindi kimoja Nchini marekani, safari Hii FIF ameonekana kuingiwa na huruma Dhidi ya noma ambayo inazidi kumkumba Floyd , huku Ushahidi mbali mbali Ukizidi kutolewa kuwa Bondia huyo anayetengeneza Mkwanja mrefu sana, ana tatizo kubwa katika Kusoma.

Katika Maelezo yake, 50 maedai kuwa, Ni Kweli Floyd mayweather anafahamu kusoma, lakini sio sana.. ingawa ukweli utabaki pale pale kuwa bado anashida katika kusoma licha ya kumiliki Mkwanja

Pia FIF ameongeza Kuwa, yeye binafsi hataki kumuumiza Floyd, wala 
kumuaibisha kama ambavyo inatokea hivi sasa, maana anamchukulia kama mdogo wake, lakini Floyd mwenyewe amemkosea nidham FIF kwa kumuandama na kumtolea maneno makali katika Vyombo mbali mbali vya habari, utadhani yeye hana kasoro.

Aidha 50 Cents ambaye jina lake halisi ni Jackson Curtis, amesema kuwa, chanzo cha hayo yote kutokea, ni baada ya Floyd kuzungumza Vitu vibaya juu yake katika moja ya interview aliyoifanya, huku akisema kuwa maadui zake wakubwa ni Pamoja na T.I, NELLY, pamoja na 50 Cents…

Kituo cha Redio Cha I HEART, kiliharibu zaidi kuhusu Ishu hii, baada ya Kusambaza sauti za Floyd Mayweather, akihanya haswa, kuingiza Dropper ya Sekunde 10, baada ya kushindwa kusoma maandishi aliyokuwa ameandikiwa.

Licha ya Mayweather kupost CHECK za mkwanja Mrefu sana anaolipwa, kama kumjibu 50, hali ilizidi kuwa mbaya kwake, ambapo Ushahidi mwingine ulioneshwa, akiwa sehemu, na kushindwa kusoma neno moja huku akiishia kuomba msaada toka kwa muhudumu

MNADA BANNER