REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

HIVI NDIVYO ILIVYOKUWA KATIKA BIRTHDAY YA TIWA SAVAGE, FEBRUARI 04

1:07:00 AM Add Comment










MAD TRAXX ANASAKA BIBIE KWA AJILI YA VALENTINE…

1:03:00 AM Add Comment


WENGI tunaweza Kuwa tunamkubali sana Kupitia Mikwaju Yake Very hot ya GET DOWN na BODA BODA, lakini kama Ulikuwa Hufahamu, jamaa hivi sasa anakita na Kwaju la GEUKA.

Katika Moja ya interview nchini Kenya, MAD TRAXX amekanusha Udaku ama Uvumi ambao umekuwa Ukiosambaa huku na kule kuwa anatoka na One Of the Hottest Female DJ Huko 254 Kenya, DJ ELECTRA, na Kusema Kuwa Yuko Single.

MAD alitoboa Siri hiyo baada ya Kuulizwa Swali kuhusu  Mipango yake hasa katika Siku ya valentine day, Inayoadhimishwa Kila FEBRUARI 14 na Lengo Ikiwa Ni Kuoneshana matendo ya Upendo kwa Kila mtu 

kama alivyofanya Muasisi ST. VALENTINO.

Katika Kujibu, Mad Alisema Kuwa Yuko Single, na hatojali kama atatokea Mwanadada Mrembo akawaNi Sehemu ya Ubavu wake Hasa Kabla ya Siku ya Ijumaa, yaani VALENTINE Day

KIDUMU AMETHIBITISHA KUWA MUNGU ANAWEZA.

12:42:00 AM Add Comment

TANGIA zieene kuwa Kidumu ameamua Kuhamia Muziki wa Injili, na hata wengine kudhani kuwa ameamua kuokoka na Ni mchungaji, Finally kidumu ameachia Brand New video ya Injili.

JEAN- PIRER Maarufu kama KIDUMU,ameachia Video hiyo ambayo Inafahamika Kwa Jina La MUNGU anaweza hapo jana February 11, na Kuongeza Idadi ya Pili katika Gospel Track Nyingine ya NUMBER MOJA.

Licha ya OCTOPIZZO kuwakandia Wasanii wa Kenya Wanaofanya Muziki wa Injili, kuwa hawana Lolote Bali ni Kusaka DOH, Kidumu ameachia Kwaju hilo, huku Wengi wakiamini itakuwa Ni Muendelezo wa historia kali ya Kuachia Mikwaju ambayo kamwe huwa haikosei kuhit katika Media Mbali mbali Afrika mashariki na kati.


Katika NINGA hilo, TTM tumebaini Kidumu ameonekana Kutupia Vazi la Kichungaji, Huku akiwa katika mazingira ya Kanisani, na waumini wakijiachia Vilivyo kutokana na mbwembwe zake Kibao.

MNADA BANNER