REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

MTOTO WA PIPI HUYU HAPA

9:18:00 AM Add Comment



Huyo Mwana wa Doreen Maarufu Kama "Pipi". Kajunior hako kametambulishwa Kwetu kama "KINGSTONE"

MIKWAJU ALIYOSHIRIKISHWA PIPI:
1. Njia Panda-By Barnaba
2. Tunaendana-By War Will, 
3. Kiujamaa- By Nikki wa Pili. na Nyinginezo Kibaaao


"ALI KIBA NA MAMA YAKE NI WAJINGA WAKUBWA"- TID

9:01:00 AM Add Comment



Baada ya kukabiliwa na scandal kubwa ya kupanga njama za kumuua Ali Kiba, Khalid Mohamed aka Top in Dar, amezungumza na kusema Ali Kiba na mama yake wamekosa la kufanya na anawaona wajinga wakubwa.

Akizungumza kwenye kipindi cha Tagz Weekly cha DTV, msanii huyo amesema huenda Ali Kiba alienda kwa mganga ambaye alimwambia TID anataka kumuua.

Msanii huyo wa ‘Nyota Yangu’ aliongeza kuwa kutokana na kusingiziwa kitu asichokijua, kamwe haiwezi ikatokea siku atampigia tena simu Ali Kiba aliyekuwa mshikaji wake wa karibu.


“Siwezi naogopa,” alisema. “Naweza kumpigia simu nikaambiwa sasa ndo natamtafuta kumuua, achana naye tu mwache yeye aendelee na vitu vyake, because I felt he and his family were up to it, mama yake namuona sana, najua mama yake hanijui hajawahi kuniona hata siku moja.

 Ali Kiba kwa kitu gani ambacho amefanya yeye mimi nimfanyie baya? Nipo na watu kibao pale nao wamejilist eti nataka kuwaua sasa mimi hela ngapi nitatoa kuwaua watu wote wale? For what purpose watu kibao wamejilist. Am not gonna tell you what reactions I’m gonna do, I’m keeping it to myself, I aint gonna talk about it, seriously they are stupid, yaani they should come up with the best concept.”

Pia Top In Dar alisema ameshakutana na Diamond ambaye amesema hata haelewi kinachoondelea na hana tatizo naye.

MIKWAJU MATATA YA TID 
1. Zeze- Ft. Jay Mo
2.Siamini.
3.Mtanzania.
4.Watasema Sana-Ft Nazizi
5.Nyota Yako.

MIKWAJU MATATA YA ALI KIBA.
1. Sikuoni- Ft Zahrani
2. Cinderella
3.Nakshi Nakshi Mrembo- Ft. Hakeem 5.

4. Mali Yangu
5. Usiniseme.
6. Single Boy- Ft. Jay Dee
7. Run Dunia.

JAFFARAI AHAMIA KWENYE "CAR WASH"

8:44:00 AM Add Comment

 Tofauti na Wasanii wengine kama akina Daimond, Big Jahman, Barnaba na Wengineo Kibao ambao wameanzisha Miradi yao ya Maduka Nguo mbali na Kufanya muziki, Mkongwe wa Muziki wa Bongo Fleva Jafarai ameamua kufiungua mradi wa "Car Wash"...yaani Sehemu ya kuoshea magari

Kwa Mujibu wa Mtandao wa Dj. Fetty, jaffarai amedai kuwa, Car wash Yake itakuwa inapatikana Mitaa ya Mikocheni Oil Com huku akiwasihi wasanii wenzake kumpa Support. 

“Ndiyo nina mchakato wa kufungua car wash yangu ambayo itakuwa inapatikana maeneo ya mikocheni Oil com karibia na TMJ lakini nitaifungua rasmi Jumapili ijayo. Ninachoomba wasanii hata mashabiki wangu waje katika Car wash yangu ili tupeane support,”

Tofauti na Biashara Hiyo, jaffarai amesisitiza kuwa ataendelea kundondosha Traxx Kama Kadawia (Kawaida)

All The Best Jaffarai.

TRACK AMBAZO AMESHAFANYA JAFFARAI.
1. Niko Busy- Ft. Daz Baba (Daz Mwalim)
2. Unapenda Nini- Ft. Fatma
3. Saa Nyingine- Ft. Naziz
4. Mcharuko- Ft. Wyre
5. Toa Hela- Ft. AY 


MNADA BANNER