REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

WHOA!..HAYAWI HAYAWI SASA YAMEKUWA….

6:07:00 AM Add Comment

Na Frank M. Joachim/Daily Mail
WALISEMA haolewi, sasa kakaolewa, Pongezi za Dhati zifike kwake SOLANGE KNOWLES ambaye ni Mdogo wake Beyonce, kwa kuweza kuingia katika Mchakato wa Kuwa kitu Kimoja na Mchumba wake ambaye This Time ni Mumewe, ALAN FERGUSON

SOLANGE alitamka Neno “Ndiyo” katika Mitaa ya NEW ORLEANS Nchini Marekani Siku ya Jana, JUMAPILI, ambapo Ilithibitika na Kuidhinishwa Kuwa tayari wawili hao ni Mwili Moja, Ila sina uhakika kama Moyo ni mmoja.

TTM iliweza kuzama kupitia Kitengo Chimbua Chimbua, na kupata Uhakika kuwa, Ndoa Hiyo ilikuwa ni Ya Kipekee na Tofauti sana, ambapo wawili hao walionekana kujawa na Nyuso za Furaha, huku wageni waalikwa wakiwa ni wachache lakini Muhimu sana

·        Wageni Muhimu :
Kulikuwa na wageni Muhimu ambao walikuwa ni tazamio kubwa sana kuweza kuhudhuria Ndoa Hiyo ambayo ilioneakana kumvutia. Familia ya CARTER, nam,zungumzia JAY Z (Shemeji ake Solange), Beyonce (Dada ake Solange) pamoja na Mtoto wao Blue Ivy

Tofauti na Hilo, mama Mzazi wa Solange pamoja na Beyonce, naye alitia Timu katika “Ubwabwa” huo ambao ulinukia balaa

·        Mavazi Kwa Shughuli Nzima
Shughuli Nzima iling’aa sana ukizingatia Dressing Code ya Ndoa na Hafla yote Kiujumla, ilikuwa ni Mavazi yenye rangi Nyeupe. Jay Z alinyonga SUTI ambayo hakika itabaki kuwa gumzo na Kumfanya aonekane tofauti kabisa hasa kimuonekano.


Maharus wote waligonga Kitu White, na kuifanya Ndoa hiyo kujawa na Weupe wenye Full happinesses

·        Usafiri Ulikuwa Balaa
Tofauti na Vile ambavyo Tumezoea Siku zote, tunaonaga Maharusi wakiwa wamejificha ndani ya magari yenye Thamani sana na hata yakiwa Tinted, huku wengine wakiwa Kunako magari ya wazi ili tuone walivyopendeza, lakini huku imekuwa ni Toooofauti.


SOLANGE na Mumewe ALAN FERGUSON, walipanda katika baiskeli ambazo pia zilipigwa Rangi Nyeupe

Kitu cha kushtua Kidogo, ni kwamba Mume alikuwa katika baiskeli iliyoonekana kuwa na Pancha, huku tukijiuliza kuwa what was That.
Pia baiskeli ya mamito SOLANGE, ilionekana kuwa na maua Fulani hivi ambayo yanaashiria huyu ndiye Mwali ati…


·        Tujikumbushe
Hii itakuwa ni Mara ya Pili kwa Solange kufunga Ndoa, ambapo awali alifunga ndoa na jombaa anayefahamika kwa jina la DANIEL SMITH, na Walifanikiwa kupata mtoto DANIEL JULEZ ambaye hivi sasa ana Umri wa Miaka 10




















BBA HOT SHOTS: IDRIS IS TOTALLY SAFE..LAKIN HILO KISS SASA, DOH

5:53:00 AM Add Comment
BLACK TOUCHEZ EDITORIAL
WIKI iliyopita, Idris aliingia katika Kikaango Kizito sana ambacho kilikuwa kinaamua, aidha utoke, ama Ubaki. Sasa, mbaya zaidi ni kwamba, Idris ndiye mtanzania pekee aliyekuwa akitumainiwa sana, na mpaka sasa baodo anatumainiwa katika Jumba hilo la Big Brother

BUT, Ladies and Gentlemen….MAKE SOME NOISE FOR THE BONGO REPRESENTATIVES, IDRIS, sasababu ametisha zaidi ya kutisha kwa kuendelea kubaki na kuiwakilisha Tanzania kunako Jumba Hilo.

Kama hauna imani kuwa this Bway ataleta Heshima hapa Nchini Tanzania, basi Kill Yourself sababu mambo yanenda Vizuri

IDRIS aliweza kupata Kura NNE ambazo alilingana na GOITSE, hali iliyowafanya kubaki swalamaaaaaa

·        Wawili Wamesanzuka:
WAWILI wameweza kusepa kunako Shindano hilo huku wakiacha nafasi izidi kuchukua kasi yake hasa kwa Washiriki wachcahe waliosalia

KURA 2 Ndizo zilimfanya MR 265 Kutoka Malawi aweze kuyaaga Mashindano hayo na kuachia Ngazi Kabisa, huku Kura Moja, ikimfanya SAMANTHA Kutoka SOUTH AFRIKA aondoke bila kigugumizi chochote

KURA 3 Zilimfanya MACKY 2 aponee kunako tundu kla Sindano na Kubaki katika Jumba hilo.

·        Busu La Nguvu Baina Ya Idris Na Ellah
AFRIKA Mashariki inaweza ikajikita zaidi katika kutoa Support kwa washiriki wake wawili ambao ni IDRIS kutoka Bongo na ELLAH Kutoka Nchini Uganda

Kwanini tunasema hivyo, Baada ya Idris kusaka faraja kwa muda kadhaa kutoka kwa Ellah, hatimaye ameipata, baada ya Kujikuta akidandiwa na Busu la Mdomoni yaani LIPS LOCK

Itamuumiza GOITSE?

HII NI HELMET AMBAYO HAIJAWAHI KUTOKEA DUNIANI?

5:43:00 AM Add Comment

Na Frank M. Joachim
RAIA Wa Sydney, TONY KING,amegundua Helmet ya baiskel ambayo kiujumla hakuna anayebisha kuwa Helmet hiyo haijawahi kutokea Duniani.

Helmet hiyo ambayo imepewa Jina la SMART HAT, itajumuisha Vikolombwezo Kibwena ambavyo vitaifanya kuwa ya kipekee nay a aina yake


Helmet hiyo itakuwa na NAMBA ZA USAJILI tofauti na ilivyozoeleka, huku ikiwa na INDICATORS ambazo zitakuwa zikikueleza wapi pa kuelekea.
Tofauti na hilo, Helmet hiyo itakuwa na Camera maalum ambazo zitakusaidia kutizama na kufahamu ni kipi ambacho kiko mbele yako, ikiwemo umbali wa Kitu kilichopo Mbele yako.


Kama haitoshi Helet hiyo itakuwa na BLUETOOTH MAALUM ambayo pia itasaidi katika Masuala mbali mbali



Pia itakuwa na Taa za Brake, Wiper na vinginevyo.

TUWAKILISHE VEMA MAMA

5:35:00 AM Add Comment

“Ndugu zangu Watanzania, I am safe in London For Miss World 2014. I am Immensely honored to represent my country Tanzania”
Hiyo ni Kauli ya Mwakilishi wa Tanzania Katika Shindano la MISS WORLD 2014, HAPPINES WATIMANYA

SHINDANO la Miss WORLD 2014, litafanyika DECEMBER 14, 2014 Jijini London

Warembo 130 watapishana jukwaani kuweza kutizama nani atakwaa Taji hilo

MNADA BANNER