REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

YAMEFICHUKA: MARADHI SIYO SABABU YA KUAHIRISHA SHOW NCHINI PORTUGAL, BALI NI.....

8:40:00 AM Add Comment

KWA UFUPI
Kwa Mujibu wa Rafiki wa karibu wa Dogo mwenye Mkwanja Mzito na Mkali wa R&B Nchini Marekani, Justin Bieber, inasemekana kuwa Mshkaji alikatisha Show yake Nchini Portugal (Ureno) si Kutokana na Malazi, bali chanzo ni Mashabiki kutokununua TICKETI kwa ajili ya Show Hiyo

Licha ya Bwana Mdogo huyo kukumbwa na Maradhi siku kadhaa hasa alipokuwa katika Show, Justin Bier alitoa taarifa kuwa, asingefanya Show yake Nchini Portugal kutokana  na kuugua maradhi, lakini wadaku wamesisitiza kuwa, chanzo cha yoite ni Bieber kutaarifiwa kuwa TICKETS kwa ajili ya Show hiyo hazikuuzika kama ilivyopangwa, ambapo ziliuzika kwa asilimia 60 tu



PICHA: MISS UTALII VIPAJI NI HUYU HAPA

7:17:00 AM Add Comment
 SIAMINI......Mshindi wa Tuzo la Vipaji akiwa anafuraha Muda Mchache baada ya kutangazwa kuwa yeye ndiye mshindi.

 POZI LA KIBABA.....Washiriki waliotinga hatua ya tatu Bora wakiwa katika picha ya Pamoja na Mustahiki meya Wa Manispaa ya Temeke, Maabadi Suleiman Hoja 


HONGERA MREMBO....Meya wa Manispaa ya Temeke Maabadi Suleiman Hoja Akimvisha tuzo la vipaji Mshindi kutoka Mkoa wa Manyara.

BIDHAA HATARISHI: TFDA Singida yafanya Kweli

7:03:00 AM Add Comment
 UTEKETEZAJIMoto ukiteketeza bidhaa zilizokamatwa na TFDA kwa madai kuwa muda wake wa kutumika umepita na zingine ambazo zimepigwa marufuku.(Picha na Nathaniel Limu).

TUNATEKELEZA : Mkaguzi wa dawa wa mamlaka ya chakula na dawa (TFDA) kanda ya kati, Dk.Engelbert Mbekenga akizungumza na waandishi wa habari (hawapo kwenye picha) juu ya msako unaoendelea wa kukamata bidhaa zilizokwisha muda wake wa kutumika na zile zilizopigwa marufuku kutumiwa.

MNADA BANNER