REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

PICHA : ATHARI ZA MOTO ULIOZUKA KATIKA SOKO LA MWENGE LEO ASUBUHI

7:21:00 AM Add Comment
 Upande wa Nyuma, ambako moto uliathiri zaidi mali za watu kama ambavyo inaonekana katika Picha

 Mali ambazo ni moja kati ya Zilizoungua katika soko hilo la Mwenge mapema leo hii, jijini hapa (DSM)

 Moja ya Flame zilizodhurika zaidi na Moto huo

 Kamanda wa Mkoa wa Kipolisi wa Kinondoni, Charles Kyenyera akiwa katika eneo la Tukio

  Waathirika wa Moto huo wakikusanya Vitu vyao ambavyo vimeharibika katika harakati za kuvikomboa









Wamiliki wa Vyumba vya jengo liliungua wakitizama vitu vyao kwa Uchungu na Masikitiko makubwa

INASIKITISHA : mgomea Uraisi Paraguay afariki Dunia kwa ajali

6:48:00 AM Add Comment
 NI HAPA : Hapa ndipo mahali ambapo Helkopta ya Mgomea huyo wa Urais nchi Paraguay, Lino Oviedo imepata ajali na kusababisha kifo chake

 ENZI ZA UHAI WAKE : Lino Oviedo katika moja ya Kampeni zake za Uchaguzi Nchini Paraguay

 MWILI WAKE : Mwili wa Marehemu Oviedo ukiwasilishwa Hospitali kutoka eneo la Tukio

KILIO : Wafuasi wa Marehemu Lino Oviedo wakilia kwa uchungu baada ya kupata taarifa za Kifo chake

Mgombea wa urais nchini Paraguay, Lino Oviedo amefariki dunia katika ajali ya helikopta.

Oviedo, mwanajeshi mstaafu aliyekuwa na cheo cha Jenerali, alikuwa akisafiri kuelekea kwenye kampeni kaskazini mwa nchi hiyo, akiwa pamoja na mlinzi wake.

Rubani wa helikopta hiyo alitoa taarifa ya hali mbaya ya hewa kabla ajali hiyo haijatokea na kusababisha vifo vya watu wote watatu waliokuwemo ndani.

Oviedo alisaidia kuongoza mapinduzi miaka 24 iliyopita na kumuondoa madarakani dikteta Alfredo Stroessner ambaye alikuwa madarakani tangu mwaka 1954.

PICHA : Hivi Ndivyo Mdogo wangu Johaness Magnus Joachim (Joachim Jr) alivyohitimu Elimu yake ya Sekondari pale Benjamin Mkapa Hig School

6:21:00 AM Add Comment
 WHO IS TALLER THAN ME?: My Young Bro akiwa katika Poz, Baada ya kupiga Lunch Nzito pale Steers, na kisha kuingia Ufukweni kurelax kidogo..Dogo ni Tall kinoma huyo

 TUNAFUATA MSOSI : Johaness (Kushoto na Mdogo wetu Ashura wakiwa kwa road kufuata Msosi baada ya Mahafali hayo kumalizika School Campus

 TUMEHITIMU: Johaness (Kushoto) with his Friend mara baada ya kuhitimu Elimu yao ya Sekondari katika Shule ya Benjamin Mkapa
 
 NIMEMALIZA JAMANI : Johannes with the family mara baada ya Sherehe kumalizika katika uwanja wa Shule

  NA MDOGO WANGU : I (Frank) na Mdogo wangu (Kulia) tukiwa Ufukweni. Halafu dogo sijui alikuwa anachati na nani......

 DAH ! MSOSI HAUJI TU? : Johannes akigeuka nyuma kucheki kama msosi unaletwa...au lah...

 MADKATARI WAJAO : Johanness akiwa na Rafiki zake ambao pia ni Class mates wake baada ya kuhitimu. Kama hujui, hawa ndio madaktari to be, ingawa tunaomba wasije wakagoma kama wengine!

 CHARTING : Hapa nilikuwa najiuliza, hivi huyu bwana mdogo anachati na nani?...Our Mom, Our Day?...Our Young Bro?, Friends?...Or Her?

 TUNAKAGUA : Big Brothers wakipita mitaa mbali mbali ya Shule ambayo Johannes alikuwa akisoma, kucheki mazingira ya Shule hiyo.....

TUMETOKLEZEA : The Family, wakiwa katika Poz la Pamoja katika Mahafali ya Bwana Mdogo
 

 NYAMA NGUMU HII...HAIKATIKI TU? : Lovely Young Bro akigombana na Kuku wa kuchoma, ambaye alileta mgomo kidogo kukatwa kirahisi.... Dogo alikomaa huyo !!!!!!

 HAPO SAWA : The Family with Johaness's friend Wamependeza

 TUMEWEKA POZI : My Twin Brother Awadh (Kushoto) na Mie, tukiwa tumeweka Pozi kwa ajili ya Picha Mahsusi ambayo tunataka iwe kumbukumbu ya Mahafali hiyo ya Mdogo wetu Mpendwa (Hayupo Pichani)

 TUNASUBIRI...MPAKA KIELEWEKE : Hapa tukiwa Tunasubiri Msosi kwa hamu.....

 THANX SISTER : Johannes akiwa na Rafiki ake (Mwenye Uniform), wakiwa na Mdogo wetu Ashura

 HONGERA MDOGO WETU : My Twin Bro, Awadh akimvalisha Johannes Taji la Maua kumpongeza kuhitimu elimu ya Sekondari

 WAPI MHUDUMU? : Baada ya kufika Steers, alitafutwa Mhudumu kiya kimya kama hivi....watui wana njaa haswa

 UFUKWENI : Kaka yetu Mkubwa Allawy (BIG BRO), wa kwanza kulia, akiwa ufukweni na Johanness (katikati).

PIZZA PIZZANI : Pizza ambayo ilikuwa maalum kwa Siku ya Johanness kuhitimu. Kitu kinaitwa "Mushroom Chicken Pizza", ukubwa ni 25 cm. Iliisha yote

 BIG POUZ: (Kutoka Kushoto), Fortunata (Our dear mom), Allawy, Johannes & Ashura

 CONGRATULATION MY SON : Mama yetu (Mtoto wa Anko wetu), Fortunata, akiwa anampatia zawadi Johanness. Fortunata ni Binamu yetu, ila tunapenda kumpa hadi ya "mama" kwa sababu antokea ukooo mmoja na Mama yetu Mzazi.

KAZA MSULI MDOGO WANGU: Nikipiga Story na Mdogo wetu Johanness katika eneo la kuchafua Meza..............
 VERY TALL AISEE : Johannes Magnus Joachim Jr. akiwa katika Pouz
 THE TEAM: Tukiwa katika Pozi (Kutoka Kushoto) Ashura, Frank mwenyewe, Awadh, Allawy na Fortunata (Aliyechuchumaa)

HONGERA : Ashura akimpa zawadi Johannes

NAOMI ONI : Hivi kweli aliyenifanyia Unyama huu analala Usingizi Jamani?

4:07:00 AM Add Comment
 Mharifu wa Tukio hilo la Kinyama, inasemekana alikuwa amevalia hivi...

 NDANI YA TABASAMU : Naomi Oni, Siku mbli kabla ya Tukio la kikatili la kumwagiwa Acid na Mtu asiyemfahamu

 MTOTO MWENYEWE : Naomi akiwa katika Pozi na muonekano wake wa Kirembo kabla hajakutana na Majanga....

 KOVU LA MILELE : Naomi Oni, baada ya Kumwagiwa Acid na mtu asiyemfaham

NIMEPATA AHUENI : Naomi baada ya kupata ahueni kufutia tukio hilo la Kinyama

NAOMI ONI, Mrembo wa Miaka 20 ambaye inasemekana ni Raia wa NIGERIA, hivi karibuni amefunguka kuwa, anamuomba Mtu aliyemwangia Kemikali aina ya Acid na kumsababishi athari kubwa katika uso wake, ajitokeze

Mwana mama huyo amekuimbana na hayo alipokuwa akitokea Kazini kwake, na kudai kuwa aimwagiwa Kemikali hiyo hatari na Mtu aliyesadikika kuwa ni mwanamke, ambaye alikuwa amevalia Vazi aina ya BAIBUI.
"haya yangeweza kumkta mtu yeyote. Ninachotaka ni mtu huyu kujitokeza tu, kwani ninajiuliza mara nyingi , kama kweli Mu aliyenifanyia haya yote anaweza kuipata usingizi kweli kutokana na unyama huu?"

Tofauti na Usoni, Naomi alipata madhara katika Mkono wake, Sehemu ya Kichwa chake, na kumuacha kipofu kwa muda wa Siku mbili kabla ya kupata ahueni

"Nimeshaacha kuwachukia jamani, Ila ninawaonea huruma sana, na ninashangaa ni kipi kinachoendelea katika Maisha yao baada ya kumfanya mtu aumie kiasi hiki. Laini ninataka kuwaona wakiishia Jela kwa manufaa ya mtu yeyote aliyedhurika na tukio hili", alisema Naomi kwa Masikitiko.

Naomi pia aliweza kuzungumza kwa ufupi kuhusu tukio lilivyokuwa :
:Ilikuwa majira ya Saa 6:40 Usiku, na nilikuwa nikiongea na Boyfriend wangu, Ato Owede, katika Simu. Nilihisi kama kunamtu alikuwa akinifuata kwa Nyuma, ikiwa ni dakika kadhaa baada ya kutoka Nyumbani. Nilipogeuka nyuma pasipo na mategemeo ya kumuona mtu yeyote akinifuata, ghafla ilimuona mtu akiwa amevalia bauibui hiyo aina ya NIQAB, mrefu kidogo kuliko Mie. Nilamua kugeuka ili niendelee na Safari zangu, ghafla pasipo kutegemea, nilisika mtu akinimwagia Kitu kutokea upande wa kulia.
Niliamua kukimbia huku nikipiga Kelele"


MNADA BANNER