REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

WAKUVANGA AGEUKIA MUZIKI

7:01:00 AM Add Comment

Baada ya kuonyesha uwezo kwenye tasnia komedi nchini kupitia Kundi lake la Orijino Komedi "OK", Msanii maarufu wa vichekesho kutoka kundi hilo kwa jina la Wakuvanga ameamua kuchange fani na kuamua kujitosa kwenye fani ya muziki. Msanii huyo ambaye amekamilisha albam yenye nyimbo tisa na kutengeneza video zake katika albamu alioipa jina la “Kato“.

Alitaja baadhi ya nyimbo katika albamu hiyo kuwa ni Angwisa, Ndoa, Anacheza, Analia na Viatu sio watu. Akiongea mwishoni mwa wiki Wakuvanga aliwataka mashabiki wake waipokee albamu hiyo pindi itapokuwa sokoni.

Kutokana na Wakuvanga kuingia kwenye fani ya Muziki amefanya idadi ya wasaniii wa kundi ilo kuongezeka baada ya wasanii wenzake watatu wa kundi hilo Joti, Mpoki wanafanya muziki kwa sasa, bila kumsahau Masanja ambaye anaimba nyimbo za Injili.

SAM ANAKUJA TENA...(Safari hii ni "NAJUA")

6:45:00 AM Add Comment

 Baada ya Kukita Vilivyo na Ngoma zake kali "SINA RAHA" na "HATA KWETU WAPO", Mkali wa Muziki wa Bongo Flava Nchini Salim Mohamed maaruf Kama "Sam Wa Ukweli", anatarajia kudondosha Kitu Kipya tena kwa Wadau wa Muziki Pande hizi hizi za Tanzania, utakaokwenda kwa Jina la "NAJUA"

Sam wa ukweli anasema amekamilisha uandaji wa wimbo huo ambao anaamini utafanya vizuri kutokana na ujumbe uliomo na kuweza kuliteka soko la muziki kwa ujumla.Na anatarajia kuachia ‘audio’ na “video” vyote kwa pamoja ili kuwaletea ladha mashabiki wake.

Naomba mashabiki wangu waendelee kunipa sapoti katika kazi zangu kwani kuna vitu vingi ambavyo nimewaandalia na wimbo huu utaanza kuonekana na kusikika mwishoni mwa wiki ijayo”.

BET HIP HOP HIYOOOOO...Kanye Yumo

6:35:00 AM Add Comment



Hayaaaaaa
Jana Usiku mpango mzima wa Msimu wa Saba wa BET HIP HOP AWARDS ulianikwa Kweupeeeee !!!!
Hapo sasa, Nominees walitajwa katika Category tofauti watakazokuwa wakichuana.
Memba Wa "The Throne" na "Good Life" Kanye West alitajwa kuchuana Vikali na wengineo wawili katika Kategory yake...

Unataka Kufahamu zaidi?...stay with joachimjunior.blogspot.com



MAD ICE HUYU HAPA

6:16:00 AM Add Comment



Hatimaye Msanii wa Kitanzania Mad Ice ambaye kwa sasa anafanya kazi zake nje,amedhihirisha kuwa yuko Ki-International zaidi baada ya kuonekana katika picha huku akionyesha studio ya Work/Sesssion Studio ilipo Espoo, Finland  ambapo anafanyia kazi zake za kimuziki.

Kila la Kheri Mad Ice.

NYIMBO AMBAZO MAD ICE AMETAMBA NAZO.
1. BABY GAL
2.WANGE, n.k

MNADA BANNER