REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

PICHA: KIM KARDASHIAN AKIONDOKA JIJINI PARIS BAADA YA KUKIONA CHA MOTO

7:35:00 AM Add Comment
 Na Baba Juti
Mapema Leo, Exclusively, Picha Za Ki Kardashian akiondoka Jijini Paris Zimenaswa. Kim Kardashian hakuwa na Budi kuondoka baada ya Kuvamiwa na Majambazi na kutishiwa kupigwa na Bunduki








PICHA: HALI ILIVYOKUWA BAADA YA KIM KARDASHIAN KUVAMIWA NA KUTISHIWA BUNDUKI

7:21:00 AM Add Comment
 Na Baba Juti
Picha Za Maeneo ambayo Kim Kardashian alivamiwa na Kutishiwa BUNDUKI na Majambazi akiwa katika Jengo alilofikia, zimeshanaswa na Blog Yetu

Ki  Kardashian alivamiwa Weekend Hii na Kuibiwa Vitu vya Thamani, huku Yeye akiwasihi majambazi hao wasimuue








NYOTA NDOGO: SIJAWAHI KUMUONA BABA WA MTOTO WANGU MPAKA ANATIMIZA MIAKA 6

2:19:00 AM Add Comment

Na Sadick Maulid
NYOTA NDOGO AMEAMUA KUSHARE sAD sTORY HASA YA KILE AMBACHO KIMEWAHI KUMTOKEA IKIWEMO KUTELEKEZWA NA mIMBA YAKE NA JAMAA AMBAYE ALIKUWA ANAWAJIBIKA KWA KIPINDI HICHO.

Kupitia Instagram account yake, Nyota Ndogo amedai kuwa, Miaka 7 Iliyokata, aliwahi kuwa katika Mahusiano na Chalii mmoja, na kwa bahati Nzuri akapata Ujauzito. Alifanya jitihada za kumska na kumpata kwa njia ya Simu na kumwambia kuwa ni Mjamzito, kitu ambacho kilisabibisha Jamaa huyo kutokuonekana hadi hivi sasa, ambapo mtoto wake huyo ameshatimiza Miaka 6
Tofauti na hilo, Nyota Ndogo ambaye anadai kuwa Kizazi chake kiko mbali, aliamua kukaa Chini na kufikiria kuwa kama anatatizo hilo, kwanini ajiskie vibaya na kwanini akate tamaa wakati mungu ana makusudio yake

2 CHAINZ: ANAPOKUNYWA KAHAWA YA GHARAMA ZAIDI DUNIANI, INAYOTOKANA NA MAVI YA PAKA. (VIDEO)

1:41:00 AM Add Comment

Na Baba Juti.
UKIAMBIWA Duniani kuna mambo mengi ya ajabu unaweza ukachukulia kawaida, lakini ndo hivyo inabidi uamini.

Rapper 2 CHAINZ amekutana na kahawa yenye gharama kuliko zote Duniani, KOPI LUWAK ambayo inauzwa kwa USD 600 sawa na Tsh 1,262,400.
Kahawa hii ambayo ilionekana kumuacha kinywa Wazi 2 Chainz, huwa na gharama kubwa kiasi hicho kutokana na namna ambavyo Inazaliushwa

Kahawa Hiyo inapitia Hatua Tano za Msingi kama Ifuatavyo:
1. Mmea Wake hutokana na Maua ambayo kwa asilimia kubwa Hupatikana Asia na Afrika, na hata kusambaa mpaka Latin America ambako pia hupatikana kwa nadra na kwa  Uangalizi Mkubwa sana.

2. Mbegu zake-Yaani Kahawa yenyewe, huwa tofauti kabisa na Nyinginezo, hali ambayo huifanya iwe chini ya Uangalizi mkubwa katika maandalizi na ukuzaji wake.

3. Kuna Mnyama anaitwa PALM CIVERT ambaye ni jamii ya paka, huwa anakula Matunda ya Kahawa hizo yakiwa na Maganda yake. Paka hao hupendelea kula Kahawa hizo na kwa wingi sana wanap[atikana Indonessia, na huitwa LUWAK

4. Katika Mfumo wa Chakula cha Paka huyo, Akishakula Matunda hayo ya kahawa, yale maganda ya Juu hutumika katika Mfumo wake wa chakula, lakini Zile mbegu ambazo ndo kahaw Zenyewe hubaki vile vile... na kzinya kama zilivyo

5. Paka huyo akishajisaidia, Basi hapo ndipo Huchambuliwa na kutolewa Kahawa tayari kwa ajili ya Kutengenezwa na kuingia Sokoni.



BRAD PIT & ANGELINA JOLIE : MAKUBALIANO YAMEWEKWA ILI KUEPUSHA TALAKA

12:54:00 AM Add Comment

Na Baba Juti
KWA wale wadai mbali mbali wa Filamu na mashabiki wakubwa wa Angelina Jolie na Mumewe Brad Pitt, huenda ikatokea habari nzuri kama vitu vilivyopangwa vitaenda sawa.

Awali ulimwengu mzima ulishtushwa na habari za Angelina Jolie kudai talaka kwa madai kuwa, mumewe amekuwa ni mtu ambaye ni Mkorofi kwa Watoto na Familia Nzima Kiujumla, huku akidaiwa kuwa na matumizi makubwa ya Pombe na Dawa za Kulevya.


Pia Taarifa Zinadai kuwa, noma lilianza katika Ndege binafsi ambayo familia ilikuwemo, ambapo Brad Pitt anadaiwa kumzingua mtoto wake ingawa hakumgusa, bali alimfokea.

Sasa Ili kuepusha Suala la Talaka, Brad Pitt amepewa Masharti yafuatayo ambayo anatakiwa kukubaliana nayo.
1. UANGALIZI WA WATOTO
2. USHAURI NAHASA KWA WANANDOA WOTE WAWILI
3.KUFANYIWA VIPIMO VYA POMBE NA MATUMIZI YA DAWA ZA KULEVYA.

MNADA BANNER