REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

HATIMAYE : BOB JUNIOR APATA MTOTO....

7:11:00 AM Add Comment
                            Bob Junior akiwa na Mtoto wake. Kulia ni baba yajke Mzazi

  Bob Junior akimchum Mtoto wake

 Guru, rafiki na Ndugu wa Bob Junior, akiwa na Mtoto pamoja na Mke wa Bob Junior

 Mama, baba na Kichanga Chao...Wametabasamuje?

 Bob Junior akiwa kambeba Mtoto wake

Baba Mzazi wa Bob Junior akiwa amempakata Mjukuu wake
 
Mke Wa Bob Junior, Bob Junior Mwenyewe akiwa na Mwanae, pamoja na Baba Yeke Mzazi (Bob)

PICHA : KUTOKA TWITTER YA RAIS JAKAYA KIKWETE

6:39:00 AM Add Comment

Hii ni Picha ambayo rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Jakaya Mrisho Kikwete, aliyoittweet katika account yake ya twitter (@mkikwete), hujku akiandika
   "A moment with Tanzanians Living in France"

Rais Kikwete yupo Nchini Ufaransa katika Ziara yake ya kikazi kwa muda wa siku 3

 

AKILI YANGU ILIVYOFINYU : KWANINI ASIKUUE?

6:06:00 AM Add Comment
Unajua jamani, vitu vingine huwa tunajitafutia matatizo kama sio kutafutiana Laana mbele ya Mwenyezi Mungu tu !!!

Sasa imagine kwa hali ya sasa hivi ilivyo ngumu kudadadadeki, halafu eti unajitia kimbele mbele na hicho kijimkono chako chenye laana, kwenda kumchomolea kile alichokisaka kwa Muda wa siku nzima, na jua hili....
Kwanini asikuue sasa?...

WE DOGO ! HUOGOPI !!!!?

4:59:00 AM Add Comment




Anaitwa Charlie Parker, Bwana Mdogo mwenye umri wa Miaka Mitatu, na anauwezo mkubwa wa Kucheza Viumbe kama Hawa.

Bwana Mdogo huyu anyafanya haya yote akiwa katika Zoo inayomiilikiwa na Baba Yake Parker, huko Uingereza.

Kibongo bongo...si angekuwa ashakufa na Presha?

Ee MWENYEZI MUNGU TUSAIDIE....

4:46:00 AM Add Comment
  Rais Barack Obama akila kiapo cha kuiongoza nchi ya Marekani muhula wa pili mbele ya familia yake.
 
Makamu wa rais wa Marekani Joe Biden naye akifanya vivyo hivyo.

MNADA BANNER