REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

MSIONE NIMEKAA KIHASARA !!!! : VANESSA MDEE ATANGAZA UJIO WA ALBUM YAKE HIVI KARIBUNI

2:45:00 AM Add Comment

INSTACOP   
KAMA ulikuwa unadhani labda Msanii kutoka Nchini Tanzania, VANESSA MDEE labda amekaa Kihasara, basi Pole sana, kuna jambo kubwa la Msingi ambalo anatarajia kulifanya Hivi Karibuni

Vanessa Mdee Maarufu kama V Money, ameamua kuingia pia katika Ushindani Mgumu wenye changamoto ya aina yake hapa Nchini tanzania, kwa kuamua pia kuingiza Albu Yake Sokoni ambayo inatarajiwa kutua hivi karibuni

Kupitia Instyagram account yake yeye kama yeye, V MONEY maarufu kama CASH MADAME Pia, aliandika wazi kuwa Msione amekaa Kihasara, bali kuna faida zake ambazo anazitafuna, hivyo mtarajie Album Mpya.

TUMEFIKA HUKU ? : T-PAIN KUMSHTAKI LIL WAYNE KWA KUSHINDWA KUMLIPA ZAIDI YA BILIONI MOJA

2:20:00 AM Add Comment

Na Baba Juti   
#WatuWaMungu naamini kabisa kuwa mnakumbuka ule muunganiko wa T-Pain na Lil Wayne uliofahamika kwa jina la T-WAYNE

Wawili hawa walipata kuchukua akili za wengi kupitia Mkwaju Korofi mpaka leo, unaofahamika kwa jina la GOT MONEY, na kila mtu kuvutiwa zaidi na Video hasa namna ambavyo ilisukwa

Sasa Basi, T-Pain ama Nappy Boy, amedai kuwa anahitaji kulipwa mkwanja ambao ni USD 500,000 sawa na Tsh 1,083,500,000 ambazo anadai hakulipwa baada ya kufanya naye kazi katika album yake ya THE CARTER III

Kazi hiyo ambayo ilifanyika kwa Takriban miaka 10 iliyokata, inadaiwa kufanyika katika Recording Label ya T Pain ambayo inafahamika kwa jina la NAPY BOY RECORDS na T Pain mwenyewe ndiye alikuwa Producer wa Kazi hiyo.

Ukiachilia mbali suala hilo, T Pain anadai kuwa, baada ya Mkwaju huo kufanikiwa na kushika akili za walimwengu wengi, hakuvuna mkwanja wowote na badala yake amekuwa akipigwa Chenga kwa asilimia kubwa

Mbali na hilo, madai mengine yanaongeza kuwa, Msanii kutoka Nappy Boy Records, anayeitwa YOUNG FYRE, alihusika kuazima baadhi ya mawazo katika Production ya mkwaju mwingine unaoitwa HOW TO HATE akiwa pia amemshirikisha T Pain, hivyo inahitaji kulipwa kiasi hicho cha fedha

Mpaka hivi sasa, Lil Wayne ama uongozi wa Young Money haujaweka bayana kama Deni hilo wanalitambua ama Lah

MAMBO YA U-SOFT !!!! : RAPPER WA KIKE EVE ALIFANYIWA UPASUAJI WA NGOZI YAKE MARA KADHAA (TAARIFA)

2:08:00 AM Add Comment

Na Rich Sam   
WATU WA MUNGU sidhani kam alichokifanya EVE ni Kibaya ama inakuwaje lakini tayari "baba Juti Blog" tumeshazinyaka juu kwa juu, na tunazishusha kwako kama kawaida.

KWA MUJIBU WA TAARIFA: Female Emcee huyu wa Mika ya Nyuma ambaye alisifika kwa Ugumu wa Mistari yake na Ugumu wa Sura yake, inasemekana ilimlazimu kupitia Upasuaji mara kwa mara wa Ngozi yake, ili kuilainisha na kuwa soft tayari kwa kuendelea kuivutia Ndoa yake Kiujumla

Waungwana wanadai kuwa, Mabadiliko ya Eve tangu alipoolewa na kipindi hajaolewa, yaani alipokuwa Hardcore, yamekuwa makubwa kiasi fulani hasa baada ya kuilainisha Ngozi yake na muonekano wake kuwa katika hadhi ya kuitwa "mama Mwenye Nyumba"

Picha kadhaa katika matukio kadhaa , yamekuwa yakidhihirisha kabisa kuwa Bibi huyu ambaye aliolewa na Bilionea Mzungu anayeitwa Maximilian Cooper, amepitia utaratibu huo, ambao umemfanya awe tofauti kabisa kimuonekano...and she iz So Sexy

EVE alifunga Ndoa na Bilionea huyo mwaka 2014 na mpaka sasa hivi hawajapata mtoto hata mmoja wa pamoja, ila EVE ni mama wa kambo wa Mtoto wa Mumewe Maximilian

UNYAMA !!! : MWANAFUNZI WA CHUO AMUUA MWALIMU WAKE KIKATILI NA KISHA KUPIGA SELFIE MBELE YA MWILI WA MAREHEMU

1:55:00 AM Add Comment

Na Rich Sam  
Mwanafunzi Mmoja kutoka MOSCOW Nchini Urusi, alifanya Tukio la kutisha la Mauaji kwa Mwalimu wake na kisha kujipiga "Selfie" mbele ya Mwili wa Marehemu huku akitabasamu

Tukio hilo Limefanyika Siku ya Jana (novemba 1) ambapo mwanafunzi huyo kutoka Chuo hicho cha Moscow, anayetambulika kwa jina la ANDREY EMELYANENKOV mwenye Miaka 19 alichukua uamuzi huo katika kipindi cha Mapumziko.

Taarifa zinafafanua zaidi kuwa, ANDREY alisubiri wanafunzi wenzake watoke Darasani katika Kipindi cha Mapumziko, na ndipo alipoamua kuchomoa Kisu na kumchoma mwalimu wake mpaka kupoteza maisha.

Baada ya kumuua mwalimu wakle anayefahamika kwa jina la SERGEY DANILOV, Mwanafuzni huyo alisogea pembeni ya Mwili wa Marehemu na kujipiga Selfie akiwa ametabasamu fresh 

Hata Hivyo, haikufahamika sababu ya Mwanafunzi huyo kufanya Tukio Hilo na kisha kupiga Picha na kupost kunako Mitandao ya Kijamii

Baada ya kufanya Hayo yoite, Mwanafuzni huyo pia alijiua na kisha Polisi kufika na kukuta kisu kikiwa pembeni ya Miili yote miwili

PICHA NYINGINE HIZI HAPA



VIDEO: RUDI By RICH MAVOKO x PATORANKING

1:26:00 AM Add Comment

Na Baba Juti  
#WatuWaMungu Msanii kutoka WCB, Rich Mavoko, ameshashusha Video yake Mpya ambayo inaitwa RUDI, aliyomshirikisha Patoranking kutoka Nigeria

Chukua Nafasi yako Nzuri kuitizama na kushare na watu kadha wa Kadha ambao pia ni sehemu ya Mashabiki wazuri wa Rich Mavoko

2nd NOVEMBER : TODAY IS ... MEN MAKE DINNER DAY

1:20:00 AM Add Comment

DAYS OF THE YEAR
A beautiful image isn’t it? Coming home at the end of the day and the wife has dinner all laid out and ready for her hard working husband. Part of the bucolic yesteryear images of the 50’s, when the man worked and the woman stayed home (working harder than him most days!) to keep the house in order and running, it’s not surprising that while the tradition of the wife making dinner has persisted, most of the time it’s as part of a two earner household.

It’s time to start turning that around, and Men Make Dinner Day is just one small step on equally sharing the responsibilities of making a home and life together. Besides, some of the world’s greatest chefs are men, so there certainly isn’t any standing evidence that men are just worse cooks. Men Make Dinner Day is your chance to try out your culinary skills… just remember that ordering take-out isn’t actually ‘making dinner’ boys.

History of Men Make Dinner Day
Men Make Dinner day was established to help those men that have perhaps never cooked outside of a barbecue, and are a little intimidated by the kitchen. Sandy Sharkey was responsible for the creation of this day, determined that men could be amazing in the kitchen, and help to produce some truly tremendous meals.

They’d met far too many men who were not just inexperienced in the kitchen, but were in fact entirely afraid of the prospect of approaching a kitchen with the intent of preparing a meal. Men Make Dinner day is your opportunity to get out from in front of the barbecue, and truly amaze your family with a great meal… eventually.

How to Celebrate Men Make Dinner Day
There are a few rules to celebrating Men Make Dinner day, and they start with no barbecuing. They then follow by not permitting reheating left-overs or ordering pizza. Men Make Dinner day is a day for men to get into the kitchen and learn the (not so) arcane art of preparing amazing meals. The first thing to bring with you in preparation for making your first meal is a sense of humor. Mistakes happen when you’re learning your way around the kitchen, and cooking is a skill that is part art, part science. There’s plenty to go wrong!

But don’t let that intimidate you, some of the greatest meals were invented by a mistake turned amazing. Just remember, your partner isn’t allowed to help you with the preparations, they can help you pick out a meal, even one they’ve made before, but after that you’re largely on your own! Look on the bright side! At least there won’t be any kale in this meal, and no shortage of meat!

MNADA BANNER