REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

JAGUAR KUJIBU MAPIGO YOTE..IKO HIVI ...

7:49:00 AM Add Comment

BAADA ya  kusikia kuwa Big Boy NONINI “The God Father” wa Genge Himself, anatarajia kushusha Collable la Kibaba na Wyre The Love Child, Huku Mamito STL akitarajia kuachia Video lake La Biashara, Finally JAGUAR na Yeye ameamua kujibu Mapigo…just Like This !

Jaguar yuko Mbioni kuachia Mkwaju Mpya ambao unasadikika kuwa ni The Bigest Hit kuliko mangoma yote ambayo amewahi Toa, TTM tushapata Mtonyo

Akigonga Story na Mtandao wa PULSE Nchini Kenya, Mkali huyo wa KIOO amesema kuwa Ni Kweli Mbwadidi kali linakuja kutoka Kwake, na Video inatarajiwa kuanza Kupigwa Shoots kule Madiba Land, tunazungumzia Afrika ya Kusini

Tofauti na Hilo, jaguar amekuwa Mgumu sana wa Kuimba Nyimbo za mapenzi, lakini This time, amedai kuwa katika Kwaju hilo, Jaguar amemiminika Kuhusu Mapenzi, hivyo yabidi Kusubiri kwa hali na mali.

Video ya Kwaju hilo, itafanywa na OGPA DEEJAYS, huku akikanusha Tuhuma za awali kuwa, hakuwa na Maelewano mazuri na Lebo ya OGOPA DEEJAYZ nchini Kenya

MEEK MILL KUKAA JELA MIEZI 3-6: RICK ROSS ATOA TAMKO

7:46:00 AM Add Comment

MAMBO yanaweza kuwa Si mazuri kwa Kundi la MAY BACH MUSIC GROUP Baada ya One Of The Best Memba, tunamzungumzia MEEK MILL, kuhukumiwa Kifungo cha Miezi 3 mpaka 6 Jela baada kuhofiwa kukiuka Adhabu yake ya kuwa Chini ya Uangalizi

Hatua Hiyo imekuja katika Kipindi ambacho MEEK MILL anajiandaa kuachia Albam yake mpya inayokwenda kwa jina la  DREAMS WORTH MORE THAN MONEY, ambayo inatarajiwa kushushwa Sokoni Mwezi Novemba, Mwaka Huu

Hata Hivyo, bado haijawekwa wazi kama Meek Mill alikiuka Masharti ya Adhabu yake ama Lah, lakini kuna taarifa Jombaa huyo, alifanya kosa ambalo lilionekana kukiuka adhabu Hiyo.


Hata Hivyo Big Boss wa MMG, RICK ROSS ametoa tamko kuwa, Yeye pamoja na Crew Nzima, bado watatoa Support ya kutosha katika kukamilisha Mchakato wa Kuachiwa kwa ALBAM Hiyo, ukizingatia Kosa ambalo Meek Mill amekumbana nalo, ni Kosa la kawaida, ambalo Binadamu yeyote lazima akumbane nalo hasa kijana.

RIHANNA,PELE, DAVID BEKHAM, RAIS WA URUSI, CHANCELLOR WA UJERUMANI, WALIVYONG'AA KATIKA USHINDI WA TIMU YA TAIFA YA UJERUMANI, BAADA YA KUTWAA USHINDI WA KOMBE LA DUNIA

6:51:00 AM Add Comment




























 








































MNADA BANNER