REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

VIDEO YA AMBER LULU IMEWAKURUPUSHA HAWA WATU

5:34:00 AM Add Comment



 Na Riziki Grammer
WATU wengi wameanza kuhoji nguvu za TCRA kuhusu mabinti ambao wanajiita Socialites Nchini tanzania, kupost Video na Picha za Nusu Utupu, yaani zinazokaribia kabisa utupu.

Maswali hayo yameibuka kupitia Instagram account ya VIDEO VIXEN -Amber Lulu ambaye alipost Video Clip inayomuonesha akiwa kitandani, huku akinengua na maeneo fulani ya Vishawishi yakiwa yanaonekana.


Baadh ya Wadau wa Mitandao ya kijamii na hata wafuatiliaji wazuri wa Mitandao ya Kijamii, wameanza kuhoji kama Nguvu ya TCRA ipo kwa Wasanii tu, ama pia mabinti kama AMBER LULU ambaye amehusika pia katika Video ya EEh EEH ya District 9ine na INDE ya DULLY SYKES wanatakiwa Kuhusika.

Pia Video Clip hiyo ilionekana kuwachefua wengi na baadhi kuanzisha Vita kali baina yao kwa pande zote mbili, upande unaokubali kitendo kilichofanywa na Bibie huyo na Upande ambao unalaani Vikali Video Clip Hiyo.

BAADHI YA COMMENTS
ndiyanka22 Heshimu mwili wako na shida+umaarufu c vitu vya msingi kama umeshindwa kujua thaman ya mwili wako stupid bitch..!!@amber___lulu

musangi581Kiukweli lulu hapo umekosea sana tambua wewe ni kioo cha jamii jitahidi kubadilika kidogo , na sis mashibiki wake kama MTU kakosea tu mwambie ukweli kwamba kakosea sio kutetea ujinga @maulidmlangwa acha kutetea ujinga wewe au unangoja bromo

chrissthomas722 Mmmh huyu mtt co bure atakuwa ana lana ya wazazi wake wote wawili @amber___lulu

SEPTEMBER 26: Love Note Day

5:26:00 AM Add Comment

By Days Of The Year.
Love Note Day is a day to tell someone you love them, by writing a message of love in the form of a note. Though the traditional way of doing this is in handwritten form, eCards are another way of sending out a love message on this particular day.

This day can be at its most effective when the recipient of the message isn’t aware that Love Note Day even exists! Consequently, a loving message will come as a pleasant surprise.

For couples that plan exchanging Love Notes, then doing so in unpredictable ways can make the whole day a fun experience. Leaving a note in a fridge, or on the inside of the bathroom door are just two examples.

Love Note Day can be for any family members or for long time friends, too. It’s the perfect day to make someone feel appreciated through just a few heartfelt words.

MNADA BANNER