REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

LEO KATIKA JAM SESSION YA 99.4 METRO FM -MWANZA- TULIKUWA NA THE KISSER STRAWBERRY

6:59:00 AM Add Comment





MWANZA IS SO HOT: MADEE, CHEGE & TEMBA WALIFANYA HIVI

5:54:00 AM Add Comment



































HIKI NDICHO MARYA ALICHOKISEMA KUHUSU MAHUSIANO YA HUDDAH NA MOUSTAPHA COLONEL

5:23:00 AM Add Comment

HATA KAMA NI DRAMA , lakini kubali ukatae, The Show Must Go on ili tujue kipi ambacho kinablink kunako Burudani na wahusika wa burudani

Iko Hivi,Wengi tunafahamu kuwa MUSTAPHA na MARYA walikuwa ni wapenzi ambao walionekana kushibana, lakini Suala la Dini Ndilo lililokuja kuwafanya wasifikie malengo ya Mipango yao hasa katika Suala Zima la kuishi pamoja.

Kama utakuwa umepoteza Memory kidogo, Marya alitakiwa abadilishe Dini kutoka kunako UKRISTO mpaka Kuwa Muislam ili aweze kumatch na MUSTAPHA ambaye ni Muislam, lakini jambo hilo lilishindikana, na hatimaye marya akasepetuka kutoka katka Nyumba ya Mustafa, huku Sababu ya Danganya toto, ikiwa ni kupeana Likizo.

Sasa baada ya Kumwagana huku Mustapha akifanya Jitihada ili kumrudisha Marya katika maisha yake, mambo yakaenda Ndivyo sivyo na hatimaye kuangukia kunako mikono ya Aliyekuwa mwakilishi wan chi ya Kenya katika Shindano la BIG BROTHER AFRICA 2013, Huddah, na mambo ndo yakaanzia hapo…

Baada ya kupata hizo Drama za kutosha, TTM tuliamua Kuzama ndani na kutafuta marya anazungumziaje uhusiano wa HUDDAH na MUSTAPHA, lakini Full info ni kwamba, Marya amesema anajiskia kawaida sana kuhusu uhusiano huo, na wala hakuwa anafahamu chochote kuhusu wawili hao, maana alikuwa Busy na Mishe zake za kibiashara na maisha kiujumla.


Hata Hivyo Amefunga kila kitu kwa kusema kuwa, amefurahi kusiki wawili hao wanapendana kwa dhati, na anawatakia maisha yenye furaha katika safari yao ya mapenzi

CHRIS BROWN NA RIHANNA NI SIKIO LA KUFA

5:20:00 AM Add Comment

TTM Leo tumebaini kuwa Kumbe Chris Brown na aliyekuwa Mpenzi wake Rihanna, bado wako In Touch na Kuna Kila aina ya Dalili ya kurudisha mahusiano yao ya kimapenzi.

Kama utakuwa ni Good member wa TTM, jana tulikupa Mtonyo kuwa Drake anaweza kuwa ni Mwanaume ambaye anamfanya Rihanna afurahi, kumbe WaaaalaaaH, Rihanna anamchora tu Kijana wa Watu.

Chanzo Kilichopo karibu na Rihanna, kimedai kuwa Tangia Breezy atoke Rehab alikopiga Siku 90, ili kumsaidia kucontrol hasira zake, amekuwa akichat mara kwa mara na Chris brown , jambo ambalo Rihanna ameonekana kulifurahia kwa Kiasi Fulani.

Aidha chanzo hicho kimeongeza kuwa Breezy ameanza kumtext, yaani kumtumia Messeji Rihanna, tangu alipokuwa akisherehekea Birthday yake ya kutimiza miaka 26.

Tofauti na hilo, inasemekana kuwa RIRI ambaye ni Mkali wa DIAMONDS, awali hakujibu meseji za Chris Brown, lakini kadri Muda Ulivyokwenda, RIRI alipata hamasa ya Kumjibu na hatimaye kumwandikia maneno kama AHSANTE, na Kisha akamuuliza Chris Brown alikuwa akiendeleaje huko Rehab.


Katika Kuongeza hilo, Chris Brown na Mpenzi wake wa sasa Karrueche, hawako pamoja kama marafiki wanapatikana katika account ya Twitter, tofauti na ilivyokuwa Awali.

MNADA BANNER