REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

UTHIBITISHO KUHUSU ISHU YA KUVUNJIKA KWA KUNDI LA P-SQUARE NA KUKOSANA NA KAKA YAO..HUU HAPA

10:16:00 AM Add Comment


Kwa kumbukumbu tuliyonayo ni kwamba tulikutonya kuwa Kundi La P-SQUARE Limeingia Dosari baada ya Kukosana, huku chanzo kikiaminika ni kutokuwepo kwa Maelewano mazuri baina ya Kaka yao Mkubwa JUDEE OKOYE pamoja na Mke Wa PETER OKOYE

Lakini baada ya Wengi kushtushwa na TWEET ya JUDEE kuwa Baada ya Kufanya Kazi na Ndugu zake hao Mapacha kwa almost Miaka 10, sasa ameamua kujitoa, Finally siku ya Leo TTM imekutana na Uthibitisho kuwa Kundi hilo na Familia Kiujumla, Vitadumu Milele..

Check Tweets zao




PICHA: CHECK OUT MY TIWA SAVAGE..AKIWA NDANI YA BIKINI HUKO-DUBAI...OYOOOO

10:07:00 AM Add Comment




WIKI CHACHE ZIJAZO, CIARA ANATARAJIA KUJIFUNGUA MTOTO WAKE WA KWANZA. CHEKI PICHA ZA UJAUZITO WAKE

9:57:00 AM Add Comment



TULIVUTIWA NA KIJIJI CHA MAREHEMU DJ ALEX, INGAWA TULITAWALIWA NA MAJONZI TELE

6:13:00 AM Add Comment







KUDADADEKI..50 CENT INABIDI AJIPANGE HASWAAAAAA

3:39:00 AM Add Comment




50 CENTS aliweza kumuanika Video Model wake ambaye aliyeshiriki katika moja ya video ambayo itapatikana kunako ALBAM yake mpya ya ANIMAL AMBITION, huku akidai kuwa bibie huyo anajitapa kuwa ni Mpenzi wake..TTM tumenyaka Mpya.

Baada ya kukaa kimya huku wengi tukiamini kuwa Bibie huyo alikuwa akitafuta maujiko ya kutosha kutoka kwa rapa huyo, Finally Mrembo huyo anayefahamika kwa jina la FALLY SERREIRA, ameamua kumfungulia Mashtka  JACKSON CURTIS-50, ambaye amemdharirisha Vibaya kupitia Mitandao mbalimbali ya kijamii, pamoja na vyombo vingine vya habari.


Kwa mujibu wa maelezo kutoka kwa mamii huyo Shally, amedai kuwa 50 alizungumza uwongo Mtupu baada ya Picha za Video hiyo kuvuja, huku akimtuhumu kuwa anajitangaza kukunjuka na Rapa Huyo aliyekita na Ngoma ya IN DA CLUB.

Aidha SALLY anasisitiza kuwa, Taarifa hizo za uwongo zimemharibia jina lake na sifa yake kwa watu wanaomzunguka, ukizingatia kuwa yeye ana mchumba ambaye walichumbiana MIAKA 9 Iliyopita.

Pia Sally ameongeza kuwa, kitendo alichokifanya 50 kumtangaza kupitia Mitandao ya Kijamii hasa Instagram, na blogs, kimemkwaza sana, na kamwe hawezi kukifumbia macho.

Tofauti na kuharibu  utu wake, Bibie huyo amedai kuwa picha nyingine ambazo ziliwekwa na msanii huyo katika Account yake ya Twitter, bado ziikuwa na maneno makali ya kuharibu Faani yake, ambapo 50 alikuwa akiwaasa watu wengine kutokufanya naye video kwa sababu ambazo alizitaja..

Kuna Uwezekano mkubwa kabisa Bibie huyu akalipwa mamilioni ya fedha dhidi ya udhalilishaji, endapo FIF atakutwa na hatia

• OH MY GOD !! CHRIS BROWN ATAZIDI KUNYEA NDOO MPAKA MWEZI JUNE

3:21:00 AM Add Comment



Tunafarijika sana atleast ngoma yake mpya ya LOYAL inakita vizuri kunsko Charts mbali mbali za muziki Ulimwenguni…

Lakini kwa mujibu wa RIPOTI kutoka katika Kitengo cha CHIMBUA CHIMBUA, imebainika kuwa ,Kesi ya Chris Brown imesogezwa mbele na atazidi kubaki kunako gereza la LOS ANGELS ili kusikilizia hukumu yake, dhidi ya Makosa kadhaa ambayo yanamkabili hivi sasa.

Kwa Maamuzi hayo, inaashiria kabisa kuwa Ombi la kuachiwa kwa Chris Brown limetupiliwa mbali, na kuna uwezekano mkubwa  akakutana na RUNGU la aina yake kuhusu mashtaka yanayomkabili.

Aidha Ripoti bado inamiminika kuwa, Endapo Breezy atabainika kuwa na makosa katia kila kosa linalomkabili ikiwemo la kukiuka adhabu alizokuwa amepewa na mahakama, basi anaweza kukaa nyuma ya nondo kwa miaka 4, yaani atahukumiwa kifungo cha Miaka 4 Jela.

KAKA YAO P-SQUARE, JUDEE OKOYE, AMEFANYA HILI KWA DADA HUYU MREMBO

3:17:00 AM Add Comment



BAADA YA KUSIKIA STORIES KIBAO KHUSU MAPACHA WAWILI WANAOTISHA VIBAYA KATIKA AFRO POP ULIMWENGU MZIMA, YAANI P-SQUARE, KUHUSU KUACHANA NA UBACHELOR, FINALY KUNA JIPYA KUHUSU KAKA YAO, AMBAYE PIA AMEKUWA MENEJA WA KWA TAKRIBAN MIAKA 10.

Jana kupitia mtandao wa Tweeter, kupitia account ya Mdogo wake OKOYE IKECHUKWU, TTM tumeweza kunyaka info za uhakika kuwa Jude Okoye hatimaye amemvalisha pete ya Uchumba, Mahbauba wake wa muda Mrefu kidogo, huku ikiaminika kabisa kuwa mchakato wa ndoa uko mbioni


Tofauti na Taarifa hiyo kutoka kwa bwana mdogo huyo, pia picha zilizomuonesha Bibie IFEOMA MICHELLE UMEOKEKE  akiwa mwingi wa furaha baada ya kuvalishwa pete ya Uchumba na mpenzi wake Judee, ambaye wamedumu kwa muda wa mwaka mmoja sasa.

Tukio hilo limefanyika katika kumbukumbu ya kuzaliwa kwa JUDEE OKOYE ambaye pia ni best Director wa Kundi la P – SQURE, iliyofanyika hapo jana huko huko Nchini Nigeria.


CHECK PICHA ZA MREMBO HUYU:




 

MNADA BANNER