REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

#SportsNaBurudani: FLOYD MAYWEATHER HAFUI DAFU MBELE YA HUYU DADA !!..AMECHAKAZWA VIBAYA

8:05:00 AM Add Comment

Ronda akipokea Tuzo Yake

INAWEZEKANA kabisa kuwa Floyd Mayweather Jr akawa ni Moja kati ya Mabondia wanaoogopeka na hata kukubalika zaidi ulimwenguni, lakini mbele ya Huyu Dada, ni Kitu Kingine kabisa.

RONDA ROUSEY Bondia Wa Kike Kutoka Nchini Marekani, ameweza kumpiga Chini Bondia Mayweather Jr, katika Tuzo za ESPY Siku ya Jana, JUMATANO JULY 15,2015

Katika Tuzo Huyo, Bibie Huyo ambaye ni Mbabe ama Champion wa UFC’s WOMEN’S BANTAMWEIGHT, aliweza kukusanya Kura Nyingi zaidi kumzidi Floyd Mayweather, Terence Crawford na Gennady Golovkin pamoja na Mkali wa “Mixed Martial” DONALD CERRONE, Katika Kipengere cha BEST FIGHTER.

Akipokea Tuzo zake, Ronda alimkandia Mayweather kwa Kumshutumu kuwa, ni Mtu ambaye anajihusisha sana na Ukatili wa Nyumbani hasa kwa wanawake na jambo hilo litamtesa sana

Tofauti na Kushinda Kipengele Hicho, Ronda pia alinyakua Tuzo ya BEST FEMALE ATHLETE

PICHA ZAIDI.








#BIRTHDAYswagg: LEO NI BIRTHDAY YASHETTA. HIKI NDICHO ALICHOKIANDIKA JUU YA MAREHEMU MAMA YAKE

5:42:00 AM Add Comment

Shetta (Instagram)


LICHA ya kwamba ameombewa Baraka Tele na Kuishi Maisha Marefu na watu Kibao kutoka hapa hapa BONGO, Kuna Kitu ambacho Sheta anakitamani kutoka kwa marehemu mama yake, nacho ni Kuwepo katika Siku Hii Maalum

Katika account yake ya Instagram, hiki Ndicho alichokiandika

“Nashukuru mungu Leo nimezaliwa tena...Pongezi nyingi kwa Mama yangu mzazi kwa kunizaa na kunilea katika Mazingira yote ulivumilia mengi sanaaa Natamani ungekuwepo leo japo Ufurahi pamoja na mimi siku kama ya leo ila Mungu amekupenda zaidi sina jinsi Inshallah M/mungu akulaze mahala pema peponi na upumzike salama...mwanao bado napambana na ulimwengu #R.I.P maisha marefu na yenye mafanikio zaidi....#HappyBirthDayToMe

#BIRTHDAYswagg: LEO NI BIRTHDAY YA THEA. HIKI NDICHO ALICHOKIANDIKA.

5:34:00 AM Add Comment

THEA (Instagram)


Leo Ni Siku Maalumu Kwa Msanii wa Bongo Muvi Nchini Since Kitambo Ndumbagwe Maarufu kama “Thea”


Katika account yake ya Instagram, hiki Ndicho alichokiandika

Nakushukuru mungu kwa cku ya leo kwakunifanya mzima na mwenye afya njema kwani wapo waliotamani kuiona cku ya leo hawajaiona si kama mimi ni msafi sana mbele za mungu bali ni kwaneema na upendo nakibali alichonipa nitakutumikia wewe mungu wa mbinguni happy born day to thea’

ENYI WANADAMU, MSIMBANIE RIZIKI SHAMSA FORD, MAANA ANA MTOTO.

5:07:00 AM Add Comment


 
SHAMSA FORD
INSTACHOCHO leo imekutana na Post ya Kwanza kabisa kutoka kwa Shamsa Ford, The Beautiful Lady kutoka kwa Kiwanda cha “Bongo Muvi” ambayop inamuomba Binadamu “Mnafiki” aache kumbania Riziki Mamito Huyu.

SHAMSA FORD AKIWA NA MTOTO WAKE
Katika Post Hiyo, Bibie Huyo amedai kuwa, Binadam  huyo huyo, hatakiwi kufanya hivyo, ukizingatia yeye ni Mama, yaani ana Mtoto.

TUNAMNUKUU:
Nina upendo kwa kila mtu bila ubaguzi.naishi maisha yangu halisi wala siigizi.Nina huruma kwa kila mtu.Sipendi ugomvi na mtu.Nakuomba na ww binadamu kabla hujafikilia kunibania riziki yangu kumbuka nina mtoto ambae anahitaji hiyo riziki.WW binadamu kabla hujanifanyia ubaya wowote kumbuka nina Mtoto ambae kitamuumiza zaidi ya mm coz furaha yake ni kumuona mama yake.WW binadamu kabla ya kutaka kuniumiza na kutaka kunipa stress za kijinga naomba umfikilie mwanangu ambae ananitegemea mm.ukinipa stress nitashindwa kufanya kazi na mwanangu atakosa haki zake za msingi.Naomba ww binadamu USINITESE,USINIUMIZE,USINILIZE .kama sina thamani yoyote kwako naomba ukae mbali na mm kuliko kuwa mnafiki kwangu au kwa ajili ya masilahi yako binafsi....

#HuweziAmini: NO CONNECTION- NO KUTOBOA NJE

4:57:00 AM Add Comment
Dayna Nyange


UKIMYA wa Dyna Nyange katika Media mbali mbali na hasa soko la Muziki , inawezekana ni kwa sababu ya hiki ambacho anakiongelea.

Mkali huyo wa “I DO”, amefyatuka kuwa, kinachowezesha wasanii kutoboa Nje, yaani Nchi za Nje, ni kutokana na Connection ambayo inatengenezwa na Wadau pamoja na wasanii

Cindy Sanyu (UGANDA) akiwa na Dayna Nyange

Na ili kuboresha Connction Hiyo, inabidi angalau uwe na Connection hasa kutoka Nje.

TUNAMNUKUU:
 “Msanii kama Vanessa Mdee leo hii anaanza kuvuka boda ni kwa sababu ya connection ya watu wa nje alionao, kama aliweza kufanya kazi na watu wa MTV sasa kwa nini asifike mbali ukizingatia anafanya kitu kizuri”, alifafanua Dayna

USIKOSE KUTEMBELEA
http://blacktouchez.com

#BIRDMANvsLIWAYNE: RICH GANG WANATUHUMIWA KUHUSIKA NA SHAMBULIO LA BASI LA LIL WAYNE?

2:54:00 AM Add Comment
Young Thug & Birdman (Instagram)

KADRI siku zinavyozidi kwenda, uhasama wa Lil Wayne na Birdman unazidi kukua na hata kuchukua kasi ya ajabu hasa katika dalili za kulipiza Visasi.

“Wafukuza Mapepo” tumekutana nah ii nyingine ambayo safari hii inamtuhumu Birdman na Young Thug (Wawakilishi wa RICH GANG) kuhusika kwa asilimia fulani katika shambulio la Bus Tour alilokuwa akitumia Lil wayne, Mwezi april
Jimmy Winfrey & Young Thug

Kwa Mujibu wa Reporter kutoka ATLANTA, Kituo cha WSBTV, MIKE PETCHENICK, alifyatuka kupitia Mtandao wa Tweeter na kudai kuwa Kuna asilimia kubwa kabisa Birdman na Young Thug wakawa wamehusika katika Mpango wa shambulio la Basi hilo la Lil wayne.

Akifafanua zaidi, Mike alidai kuwa, Jamaa ambaye alikamatwa kwa kuhusika na shambulio hilo, JIMMY WINFREY, ni mtu wa karibu sana wa Birdman na Young Thug, hivyo inawezekkana kabisa akawa alitumwa na wawili hao kutoka RICH GANG


Hata Hivyo, Jombaa huyo ingawa hakuthibitisha kama Young Thug na Birdman nao walikamatwa kwa kuhusika na Shambulio hilo, lakini kuna Video ya Young Thug-HALF TIME ambayo inafanyiwa uchunguzi na Jeshi la Polisi, ambapo inasemekana kuwa, mshambuliaji Jimmy, alionekana katika Video Hiyo akiwa na Siraha, yaani Bunduki.

USIKOSE KUTEMBELEA
http://blacktouchez.com

MNADA BANNER