REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

Swagg Touchez

3:25:00 PM Add Comment
My Young Sister Ashura Mnyika, Bonge Moja la Pouz
My Young Sister Annajoyce...what a cute Pouz....
                                Paulo Dezdery, My primary Class Mate enzi zetu...hapa kapiga Pouz!!!!!





Si uwongo...niliishiwa pouz baada ya Network kunizingua Mitaa ya Hom na kushindwa Kupost News kama kawaida yangu...My Young sister Anajaoyce akanifyatua Pikicha.....dah

(Picha Zote na Annajoyce S.)

































Mke wa fataki Rupert Afunguka....

1:06:00 PM Add Comment
Rupert Sanders na Mkewe Liberty Ross, kwenye Picha ndogo ni Kristen Stewart
 
Kufuatia Lile Skendo kali linalomkabili Director Rupert Sanders kwa kuvunja amri ya 6 na muigizaji wake katika Movie ya SNOW WHITE na THE HUNT MAN, Mke wa Director huyo, Liberty Loss, amesema endapo mume huyo atataka kuupata msamaha wake, basi Ni Marufuku kuongoza tena Filama za SNOW WHITE 2 na HUNT MAN 2 ambayo mhusika pia ni mawanadada huyo huyo Kristen Stewart (Aliyefumwa naye)
Bibie huyo Liberty Ross ambaye ni mwanamitindo mashuri sana Nchini Uingereza, amesema kuwa inabidi sasa hivi Rupert atupilie mbali masuala ya kuongoza Muvi hiyo ili kuirudisha Imani ya ndoa yao Upya, yenye watoto wawili, baada ya Kashfa nzito iliyomkumba.

HUKU NAKO ROBERTY PATTINSONS NA MSALITI WAKE KRISTEN...

Hatimaye wawili hao wameonekana Jijini London angalau wakipigishana Stori, baada ya Kuchuniana kufuatia Skendo kali hiloooooooooooo


MNADA BANNER