REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

HAKI YA MUNGU HUYU MTOTO NI NOMA- Hivi ndivyo alivyofanya Katika Video Yake Mpya inayokuja. Ni Salvi Manyika

3:10:00 AM Add Comment
Location Ya Mwisho Kuleee Posta
Director Wa Video Hiyo, NTULLI

Mzigo Kama Kawaida


Kijana akiachia Swaggz zake...Tunasema "He was Swingin His Swaggz"

Eeenheeee...Akibadilisha Raggz zake kwa ajili ya Scene Nyingine...Ni Noumar

Weh.....Swaggz zake haziko Cheap...Cheki Mwenyewe, Muulee Muuuleee

Haya...Tushamaliza Hivyoo...au ndo Tunaanza?

Kama Platnm Vile...Duuuuh
Huyu Ndiye Producer wa Ngoma Mpya ya Salvy...anaitwa D Touch.
Studio Ndo hii...TOPITO RECORDS

HIVI, NI KWANINI AVRIL (MSANII WA KENYA) ALIFANYA UPUUZI NA UCHAFU HUU?

2:09:00 AM Add Comment
 Hapa Kajiachia Kabisa Mbele Ya Kamera Jamani....Jamani Jamani Jamani...Muone Tabasamu lake lilivyo Mwanana halafu analidharirisha Hivi....
 Mungu Wangu !!!!! Hapa Mahaba kutoka Kwa Mwanamke Mwenzage ndio Kwanza Yamenoga
Haya !! Haya !! Haya!!......Kalegea Mwenyewe kwa Hisia Kaliii !!!!...Hatari


Kama Humfahamu Avril, Basi ni Mwanadada Mrembo sana Mwenye kuvutia, ambaye Ni Msanii Maarufu na tishio sana Nchini Kenya.
Avril ameweza Kushirikishwa Katika Nyimbo Mbali mbali hasa na Wasanii mbali mbali Afrika Mashariki Mfano , LEO REMIX (By AY), CHOKOZA (By Marya), MTAANI.COM (By Mustapha Coronel), NAJIVUNIA (By Tilapee).
Lakini Hebu Tizama ambacho anakifanya hapo huku picha zake zikisambaa kila kukicha katika Mtandao mmoja baada ya Mwingine. Hebu niambie, huyu anatafuta Umaarufu wa aina Gani ilihali tayari yeye ni maarufu?

MNADA BANNER