REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

NEW TRACK: BASI NENDA REMIX- OXS OKELEKY & NATTY E FEAT. MO MUSIC (Produced By Lollipop)

7:34:00 AM Add Comment

MAUZO MABOVU YAWATENGANISHA MARIAH CAREY NA PRODUCER WAKE WA MUDA MREFU.

7:31:00 AM Add Comment

SUPER VOICE MAMITO Mariah Carey ametemana na producer wake wa Muda Mrefu, JERMAIN DUPRI, baada ya Albam yake kupata mauzo mabaya tofauti na ilivyokuwa imetarajiwa..TTM tunao Mtonyo Kamili.

Aidha inasemekana kuwa, Muimbaji huyo Mwenye Umri wa Miaka 44 hivisasa, amefikia uamuzi huo mgumu dhidi ya Jermaine Dupri, ambaye wamedumu katika kazi kwa Muda wa takriban Miaka 20, na kuamua kuungana na Msimamizi Mwingine, KEVIN LILES.

Kwa mujibu wa Info ambazo TTM bado tumezipata katika kukamilisha Data Hizi, inasemekana kuwa, wawili hao ambao walianza kazi rasmi mnamo 1995, awali walienda vizuri na mafanikio makubwa sana ikiwemo kufanya Hit single ya WE BELONG TOGETHER, lakini baada ya kuachiwa kwa albam Mpya ya ME I AM MARIA, huwezi amini zimeuzika nakala 100,000 tangia Mwezi May, mpaka hivi sasa.


Tofauti na Hilo, Pia Jermaine aliwahi kuingia kunako Noma Nzito baada ya Kumuandalia Perfomance Mariah Carey, juu ya Wanasiasa wa Angola, jambo ambalo lilipigwa Vita na Wanaharakati wa haki za binadamu, kwa madai kuwa alifanya kitu kisicho kizuri hasa kwa Siasa zinazokiuka haki za Binadamu.

HATIMAYE TUMEINYAKA TAREHE YA KUTOKA KWA MIXTAPE YA LIL KIM

7:07:00 AM Add Comment

LONG time sana tumekuwa tukisubiri kwa hamu ujio wa Mixtape ya The Queen Bee, Lil Kim, na hata wengine kukata tama kuhusu kuachiwa kwa Mixtape hiyo, hatimaye TTM tumeinyaka Tarehe ambayo Mzigo huo unaingia Ofisini.

Kupitia account yake ya Twitter, Kim ametangaza rasmi kuwa Mixtape Hiyo itaachiwa Rasmi SEPTEMBA 11, na watu wajipange kuskiliza kile ambacho bibni huyo kakishusha baada ya kukaa kimya Muda Mrefu.
Mixtape hiyo, imepewa Jina la HARDCORE 2K14, likiwa ni Jina amablo limewahi kutumika katika Moja ya Kazi zake aliyoifanya Mwaka 1996, na ilikuwa ni Albam ya HARDCORE

Lil Kim Hivi sasa Ni mama wa Mtoto Mmoja, na Wiki kadhaa zilizopita aliachia Remix ya Beyonce FLAWLESS na ya Bobby Shmurda HOT FELLA (NIGGA).


Tofauti na Hizo, Lil Kim ameachia Track ya Kumdiss Nicki Minaji inayokwenda kwa jina la IDENTITY THEFT

MNADA BANNER