REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

WHAAAAAAAAAAAAT: HUWEZI AMINI ALICHOKISEMA KANYE WEST JUU YA PICHA ZA UTUPU ZA KIM KARDASHIAN KWENYE JARIDA

7:26:00 AM Add Comment

Na Frank M. Joachim/Twitter - Kanye West
WIKI Hii nzima imekuwa ni ya Kim Karadshian hasa baada ya Kupiga Picha inayoonesha “Matikiti maji” yake makubwa Kweli (Makalio) katika Jarida la PAPER, ukurasa wa Mbele kabisa

Lakini Wakati watu wakizidi kustaajabu Mengi zaidi kuhusu Ishu Hiyo ya Kim Kardashioan kuonesha Viungo vyake Muhimu vya Siri kabisa, Ghafla zikashushwa Picha Nyingine zilizokuwa zikimuonesha Kim Kardashian akiwa Mtupu kabisaaaaaa

Sasa, wamejitokeza Watu Wengi ambao wamekosoa Kitu hicho ambacho kiuhalisia kinadhalilisha, hasa ukizingatia yeye ni mama wa Mtoto mmoja “North West”

Hayo yote yamekuwa Si Chochote wala Si lolote kwa Kim, ila cha msingi ni “Mpunga” (Pesa) ambayo ameivuta kutokana na Picha hizo

KANYE WEST AMESEMA HIVI:
Kama ulikuwa unajiuliza kuwa, Mume wake-Rapper Kanye West atafanya nini kuhusu kila kinachoendelea hasa ikiwa ni Mkewe na alichokifanya kinaonesha “halalali yake”, basi Tulia.

Kupitia account yake ya Twitter, Kanye West alipost Picha ya jarida hilo na Mkewe kama kawaida, huku akiandika Kitu Kimoja Tu….ALL DAY

Sasa, kama hujaelewa, Kanye West hana tatizo na Mkewe Huyo, bali anaona ni kawaida. So Sidhani kama kuna haja ya kulalamika kwa upande wako.

ETI MAMA YAKE NA KIM KARDASHIAN HAJAFURAHISHWA NA PICHA HIZO:
Ingawa si kwa kauli yake, bali rafiki wa karibu wa Kris Jenners, ambaye ni mama wa Kim Kardashia, amesema kuwa Mama huyo hajafurahishwa na Picha hizo alizopiga mwanaye !!!!


WHAAAAAAAAT!!!! (anadhani ataibiwa Kiserengeti Boy Chake, endapo kitaona utamu wa Kim Kardashian)


INASIKITISHA: TIZAMA MABINTI WAKIFANYIWA TOHARA NCHINI KENYA, KINYUME CHA SHERIA (SAMAHANI KWA PICHA UTAKAZOONA)

6:37:00 AM Add Comment
MAUMIVU:BINTI wa KIPOKOT (Pokot) akiwa katika maumivu makali baada ya kufanyiwa Ukeketaji.

TUKO TAYARI: MABINTI wengine Wa Kipokot Kutoka Nchini Kenya, wakiwa tayari kupelekwa mahali kwa ajili ya Tohara

TAYARI: Baada ya Tohara, mabinti wa Kipokot huvalishwa Ngozi kuwafunika

MUONEKANO: Binti wa Kipokot anapakwa rangi Nyeupe Usoni na Mwili Mzima kabla ya Tendo la Tohara (FGM)


TUNAKUANDAA: Wanawake wakimuandaa Binti tayari kwa Tendo la Tohara



TUNASUBIRI: Mabinti wa Kipokot Hukaa katika Mawe wakiwa “Watupu” na wamevalia Ngozi, tayari kwa Kufanyiwa Tohara (Ukeketaji)

Mabinti wengine wakiwa Majumbani kwao kusubiri Zoezi zima la Tohara




NI UTAMADUNI: Wanawake wa Kipokot, huandaa Mazingira kwa Kuweka Mawe, ambayo yatatumika kipindi cha Tohara kwa Mabinti wao

MUDA UMEFIKA: Muda ukiwadia, Mabinti hutolewa Nje ya Nyumba zao, tayari kuelekea katika Tohara

Hukimbia Mbio kuelekea mahali ziliko Ngozi, na kuzivaa ili waelekee katika Zoezi la Tohara

NI LAZIMA: Hata kama hautaki, wazazi kwa Kushirikiana na wazee wa kabila hilo, hukulazimisha kutoka ndani ya Nyumba, ili ukafanyiwe Tohara

DAMU: Jiwe la Tohara likiwa limetapakaa damu kuashiria kuwa tayari tendo limefanyika. Kitendo hiki huwafanya mabinti kupoteza damu Nyingi sana, na Sheria dhidi ya Tohara kwa Wanawake Nchini Kenya, ilisisitiza kuwa, kitendo Hiki ni Kinyume cha Sheria


INASIKITISHA: WEMBE ambao unatumika kufanya Tohara kwa Binti mmoja baada ya Mwingine. Ni kitendo kinachosababisha maumivu makali hasa ukizingatia hakuna Kipunguza maumivu kinachohusishwa wakati wa Tendo Hili








UTAFITI: HIP HOP AMBAYO INAHUSISHA MASHAIRI YANAYOWAZUNGUMZIA WANAWAKE NA MAGARI, HULETA MATUMAINI

1:59:00 AM Add Comment
Na Black Touchez/daily mail
WATAFITI kutoka katika Kitengo cha PSYCHIATRY, kilichoko katika Chuo cha Cambridge, wamedai kuwa Mashairi ya Muziki wa Hip Hop yanayozungumzia Wanawake , magari na hata Maisha Mazuri, yanaleta matumaini hasa kwa waskilizaji na mashabiki mbali mbali ambao wanafuatilia sana muziki huo.

Mmoja wa Timu hiyo ya Utafiti, Dr. Becky Inkster , amedai kuwa waliweza kubaini hilo katika Clinic yake ambayo muda mwingi wamekuwa makini sana kufuatilia project yao ya HIP-HOP PSYC, ambapo wamegundua kitu hicho kwa usahihi

Idha Mtafiti huyo amedai kuwa, Nyimbo ambazo zinazungumzia Madawa ya Kulevya, maisha ya Jela, Uvutaji bangi na Matatizo mengine ya Kihuni, yamekuwa yakiwaathiri vibaya watu tofauti tofauti hasa vijana , na hata kupelekea wao kukata tamaa

Lakini Pia ameongeza kuwa, Nyimbo za magari na maisha Fulani hivi ya thamani ama ufahali, yamekuwa yakiwapa matumaini sana wadau na hata wapenzi wa muziki huo


Dr Inkster amemalizia kwa kusema kuwa, hivi sasa wanahitaji kusambaza matunda ya Project ya HIP HOP PSYC katika maene o mbali mbali ikiwemo kutoa Elimu katika MAGEREZA MBALI MBALI, SHULE,na HOSTELS mbali mbali za wanafunzi.

SORRY BIRDMAN & LIL WAYNE...ALBAM YA TYGA INASHUKA SOKONI DECEMBER

1:37:00 AM Add Comment

Black Touchez Editor/Hot New Hip Hop
TYGA amezidi kudhihirisha kuwa, Si Lil Wayne ama Birdman wanaweza kuendesha Maisha yake hasa katika Upande wa Kipaji chake.

Finally T Raw ametangaza rasmi tarehe ambayo albam yake itaachiwa rasmi na Kuingia Sokoni kwa ajili ya kufanya Biashara pamoja na kukata Kiu ya mashabiki wake ambao walikuwa wakimsubiri kwa hamu haswa.

Albam yake ya THE GOLD ALBUM, inatarajiwa kuingia Sokoni DECEMBER 23, huku ikiwa na Mikwaju kadhaa sambamba na 40 Mill ambayo ilipikwa poa na Kanye West na mkwaju mwingine MAKE IT WORK

Kupitia account yake ya Twitter, T-Raww akiwa ni “JESHI LA MTU MMOJA”, ameanza kupiga Promo juu ya Albam hiyo, huku kukiwa hakuna hata neon lolote kutoka katika Familia yake YMCMB ambayo imekuwa ikimsupport kwa muda kadhaa

Tyga aliingia katika Changamoto Nzito baada ya kuamua kuwalipua YMCMB kuwa wanambana hasa katika kuachia Project zake, huku akitishia kuvujisha Albam hiyo endapo haitoachiwa Mwaka huu.


WHOA !!!! VIDEO YA NGONO YA USHER RYMOND INATAFUTIWA SOKO

1:34:00 AM Add Comment

Black Touchez Editor/TMZ
HIVI, unakumbuka kuwa kipindi cha Nyuma Kidogo, yaani 2010, Usher Rymond alilalamika Gari lake kuvunjwa na Lap Top 2 kuibiwa, pamoja na Vito vya Thamani, Video camera 2, akiwa ATLANTA na Ex-wake Tameka?

Basi Bwana, kumbe, moja ya Laptop zilizoibiwa, kulikuwa na Video ya Ngono iliyomhusisha Usher Rymond Pamoja na Aliyekuwa Mkewe, TAMEKA RAYMOND…

·        Inataka Kuingizwa Sokoni
Muuzaji wa Video Hiyo ya Ngono amesema kuwa anasaka kampuni ya kuweza kununua Video hiyo kwa gharama yoyote ile, ili aweze kuvuna mkwanja wa kutosha.

Jombaa huyo ambaye mpaka hivi sasa hajafahamika wala kukamatika, amesema kuwa anayo mkononi Video hiyo ya “Nkwinchi-Nkwinchi” na kampuni yoyote inayojihusisha na masuala ya Biashara ya Video za Ngono, basi ijitokeze kununua Kitu Hiyo.

·        Eti Inaweza Kuwa Ngumu Kununuliwa:
Imeshasemekana kuwa, Video hiyo inaweza isinunuliwe na Kampuni zinazojihusisha na Biashara ya Ngono , kwa sababu, Video hiyo ilikuwa ni Private, na haijaruhusiwa kuingia sokoni.


Lakini tofauti na hilo, Video hiyo imeibwa, na inahusishwa na Wizi wa Vitu vingine jambo ambalo ni Kinyume cha Sheria na Kanuni za Nchi yoyote Ile

R.I P GEEZ MABOVU

1:27:00 AM Add Comment
MAREHEMU GEEZ MABOVU: rapa huyo aliondoka Dar kwenda Iringa akiwa kwenye hali ambayo sio nzuri kiafya.

Frank M. Joachim
SIMANZI Nyingine imeivaa Tasnia ya Muziki wa Kizazi Kipya-HIP HOP baada ya kumpoteza Msanii aliyekuwa akifanya Harakati zake kwa muda Mrefu Sasa

Ahmed Ally Upete 'Geez Mabovu' amefariki dunia jana usiku akiwa mkoani Iringa alikokwenda wiki mbili zilizopita akitokea jijini Dar es Salaam.

Kwa mujibu wa bwana Dennis ambaye alikuwa mtu wa karibu wa Geez Mabovu amethibitisha kuhusu kifo hicho na kusema rapa huyo aliondoka Dar kwenda Iringa akiwa kwenye hali ambayo sio nzuri kiafya. Marehemu Geez Mabovu anatarajiwa kuzikwa leo Novemba 13, 2014.
YOUNG KILLER: Ameahirisha Kauchia Video ya “13” kutokana na Kifo cha GEEZ MABOVU. 

·        Young Killer Ameahirisha Kuachia Video Yake Ya 13
Kutokana na Kifo Hicho, Wasanii kadhaa wameweza kutoa Salamu zao za rambi Rambi, nab ado watu tofauti hasa wadau wa Muziki wa Kizazi Kipya wakizidi kutoa Salam zao pia Za Rambi rambi kwa Familia.

Kwa Upande wake Young Killer “Msodoki” ameamua kuahirisha Kuachia rasmi leo Video yake 13, aliyomshirikisha Fid Q pamoja na Belle 
9

WEUSI: KUSEMA UKWELI HATUTOWEZA KUFANYA SHOW YA MBEYA…NI KWA SABABU GEEZ NI MSHIKAJI WETU, HE IS PART OF THE FAMILY.FOR THE LOVE OF HIP HOP AND RESPECT, HATUTAWEZA KUFANYA”

·        Weusi Waahirisha Show Yao “Funga Mwaka” Iliyokuwa Ifanyike Mbeya

SHOW ya Funga Mwaka ilikuwa ifanyike Ijumaa hii kule Jijini Mbeya, lakini Joh makini akiwakilisha Familia ya WEUSI, amesema kuwa, hawatoweza kufanya Tena Show hiyo Siku husika, kutokana na Kifo cha GEEZ

Hapa tunamnukuu JOH MAKINI:

“KUSEMA UKWELI HATUTOWEZA KUFANYA SHOW YA MBEYA…NI KWA SABABU GEEZ NI MSHIKAJI WETU, HE IS PART OF THE FAMILY.FOR THE LOVE OF HIP HOP AND RESPECT, HATUTAWEZA KUFANYA”

DESIRE LUZINDA: NIMEJIFICHA NDANI..NINAOGOPA KUTOKA NJE

12:58:00 AM Add Comment
DESIRE LUZINDA: Anaogopa Kutoka Nje maana hajui watu wata-react vipi kutokana na Picha zake Kuvuja
Na Black Touchez/BBC/Uganda Online
HIVI ndivyo inavyokuwaga hasa unapobaini kuwa ulifanya Ujinga wa Kijinga bila kujua ujinga unaoufanya utakutambulisha kama Mjinga wa Kutupwa, Back to The Topic..

Msanii wa Uganda ambaye hivi majuzi tu, Picha zake za Utupu zilivujishwa na Ex-Boy Wake “Mnaijeria”, DESIRE LUZINDA, amesema kuwa anaogopa kutoka Nje kutokana na Aibu na madudu ambayo yameshafanyika tayari kupitia Kuvuja kwa picha hizo

Akizungumza na Mwandishi wa habari wa Shilika la Utangazaji Nchini Uingereza, BBC, Desire amedai kuwa hivi sasa hataki kutopka Nje na anajificha kwa sababu anaogopa jinsi ambavyo watu na hasa mashabiki wake watakavyo-react pindi watakapomuona.
DESIRE LUZINDA: wakati anaongea na Simu na mama yake, alijisikia Vibaya, akalia, na kuhisi anamsababishia hali ngumu mama yake huyo

Desire ameongeza kuwa, amekuwa haijifichi katika Macho ya watu tu, bali hata katika Vyombo mbali mbali vya habari, ambavyo pengine zinahitaji kufahamu ukweli na hali ya Desire baada ya tukio hilo.

Desire ameongeza kuwa, hata baada ya mama yake kumpigia simu na kumwambia wakati anafyatuliwa picha hzi alikuwa Mtungi sana, alijiskia vibaya sana, alilia mno hasa kipindi cha maongezi yao.

FRANKLIN: Amevujisha Picha za Utupu za Desire Luzinda baada ya Kugundua kuwa, anamsaliti sana na wanaume Wengine


Msanii CINDY SANYU pia aliwahi kukutana na Soo hilo mnamo Mwaka 2008, lakini Mwisho wa siku alijitokeza, akaanda mikwaju, na akapiga show, mambo yakaenda poa sana.

MNADA BANNER