REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

Your girlfriend should never insult you

3:29:00 AM Add Comment

SOURCE: PULSE (KENYA) 
Girls who are shouting at their boyfriends in front of other people, throwing drinks at his face and holding silent treatment grudges even when his boys are around... you need to wake up.
It's a tasteless behavior for a woman to not know her place. Yes, I said it. Her place.
I'm not talking about the kitchen. (Lord knows I love a man who can cook.) But rasing your voice or using demeaning language when talking to your boyfriend is like paying for your ticket to being singlehood.

Not only will he ditch you, this is the one sin that doesn't allow second chances.
Just like you, a man needs to be loved. He needs to feel like he's the center of your world and highly respected in the relationship. It doesn't matter if you're are earning more than he is. He is still the one with the balls in the relationship. Insulting him, slapping him or comparing him to other guys will not achieve this.
Wait, before you decide feminism must be voiced in the comments below, think about this.

1. You're not ready for the backlash
While he will feel hurt about the insults, one sure fact is that you will probably hurt more if he decides to reciprocate. Unlike men, women tend to take words a bit more seriously than guys.

2. Someone else is ready to be good to him
The world doesn't revolve around your bum baby girl. While you leave him with blue ticks while chatting, some other girl is somewhere responding in seconds. The ratio of men to women is 1:3. He's got a better chance at dating the right girl than you do the right man.

3. You could scar him for life
Often we speak about women being emotionally abused and taking a very long time to recover, we tend to forget the boy child. In a society where men are not supposed to show their emotions, a lot of them ae shouldering insecurities brought about by demeaning abusive girlfriends. Such pile up into ugly ghosts of violence in his future relationships. (If he gets the courage to date again.)

When it comes to your partner, take a minute before you speak or raise your hand. After all violence is only an indication of lacking the mature ability to solve problems.

EXTENDED TUESDAY !!!: WATU WA MUNGU MNAWEZA KUPITIA KWA MARA NYINGINE VIDEO YA RAFIKI KUTOKA KWA IZZO BUSINESS

3:25:00 AM Add Comment

Na Baba Juti  
#WatuWaMungu Wengi mlimiss sana Hizi "Flow" za Izzo Bizness baada ya kuwa Busy haswa na Kundi la THE AMAIZING

Sasa Unaweza kutazama Tena Video ya Rafiki Kutoka kwa Izzo Bizness ambayo imetoka Hivi Karibuni. Vocal za Kike zinazosikika (Additional Vocals) ni za ABELA MUSIC


MAJIBU !!: HIKI NDICHO ALICHOJIBU P. DIDDY KUHUSU KESI YA UDHALILISHAJI KINGONO ALIYOFUNGULIWA NA MPISHI WAKE

3:03:00 AM Add Comment

Na Baba Juti  
#WatuWaMungu Hatimaye Rapper P.Diddy ameamua kutoa Jibu juu ya Mpishi ambaye alifungua mashtaka ya Unyanyasaji na Uzalilishaji wa Kingono

Kama utakuwa na Kumbu kumbu Nzuri, Miezi Kadhaa iliyopita, Rapper P. Diddy alifunguliwa Mashtaka na Mpishi wake CINDY RUEDA ambaye alidai kuwa P Diddy alikuwa akimuamuru kuhudumia Chakula kwake na Marafiki zake wakati wanafanya Tendo la Ndoa.

Na Baada ya Kulalamika kuhusu Jambo Hilo, Cindy alidai kuwa P Diddy alimbambika Kosa la Wizi na kumfukuza kwa sababu kaona kama anadhalilishwa, kitu ambacho kilimfanya Afungue Mashtaka Mnamo Mwezi MAY 17 katika Mahakama ya Jimbo la LOS ANGELS huko Marekani

Sasa, wanasheria wa Rapper huyo mwenye miaka 46 hivi sasa wamedai kuwa wameamua kujibu tuhuma hizo kwa kuandika Barua kwa Mwanasheria wa CINDY RUEDA

Katika Maelezo ambayo yalioneshwa na Mwanasheria wa P-Diddy, yanasomeka Hivi
"Combs Enterprises haitotishiwa kutoa Fedha kinguvu"

Pia Taarifa hiyo inazidi kufafanua kuwa, Madai ya Cindy sio ya Ukweli na yanadhamilia Kuharibu na Kuvuruga Heshima ya P. Diddy na Biashara Yake, hivyo hawatokubali hata Kidogo

Cindy alianza kufanya kazi kwa P. Didy tangu January 2015 kama Mpishi, mpaka Mwaka Huu May 16 ambapo anadai kuachishwa Kazi

ETI NINI? : KEISHA CORE ANATAKIWA KUMLIPA MCHEPUKO WA BIRDMAN KIASI HIKI CHA FEDHA...UTASHANGAA

2:45:00 AM Add Comment

Na Baba Juti  
#WatuWaMungu Mnamkumbuka KEISHA CORE?, yule Bibie aliyeusumbua Ulimwengu na Mkwaju wa Dunia unaoitwa SENT FROM HEAVEN

Sasa huenda akalipa mabilioni Ya Fedha baada ya kushtakiwa na Mchepuko wa Birdman... Upo hapo?

kama utakuwa na kumbu kumbu Nzuri, Mwaka 2014, Birdman alikuwa "akimtindua" Keisha Core na kila kitu kilikuwa wazi kabisa, lakini baadaye mambo yakawa tofauti kabisa kabisa baada y uhusiano wao kuishia pabaya

Kwa Taarifa ambazo tuliwahi kuzimimina kupitia Hit Zone, ni kwamba Keisha Core alikuja kumfumania Birdman na Mwanamke huyo ambaye alikuwa ni Msaidizi wa Ndani, ambapo Keisha alimkuta Binti huyo kajificha Bafuni ili kuepuka Mfumanio mzito lakini ikabumbuluka

Baada ya Fumanizi hilo, Keisha Core alimuonesha Ubabe Binti huyo hasa kwa Kipigo, ikiwa kama ni adhabu ambayo unaipata ukifumwa tu unakunjuka na Mume wa Mtu.

Sasa Habari Mupya ni kuwa Bibie huyo anahitaji Keisha Core amlipe USD Milioni 4 sawa na Tsh 9,124,000,000 kutokana na kitendo alichomfanyia.

Sasa unaweza kujiuliza kuwa ni kwanini anahitaji mkwanja huo Mrefu, Bibie Huyo kaugawa kama ifuatavyo

  • USD 500,000  Kwa ajili ya Matatizo hasa Kihisia
  • USD Milioni 2 Kwa ajili moja kati ya Kiungo cha mwili kudhurika na hata kutokufanya kazi kabisa
  • USD Milioni 1.5  kwa ajili ya Maumivu aliyomsababishia
  • USD 200,000  kwa ajili ya Matibabu mengine yajayo ambayo anatakiwa kuyapata
  • USD 50,000  kwa ajili ya kipato alichopoteza kutokana na kuuguza majeraha na muda aliopoteza wote
  • USD 300,000  kwa ajili ya kipato chake ambacho angepata muda ujao kama angekuwa kazini
Sasa Hata Hivyo, SABRINA ambaye ndiye muathirika, amedai mahusiano yake na Birdman hawezi kuyazungumzia maana hakuna ukweli wowote wa kile ambacho kilitajwa kama sababu ya Keisha Core kumpa Kipigo






MAJIBU !!!! : BECKHAM KAJIBU HIVI KUHUSU KUIKOSEA HESHIMA JUMBA LA KIFALME NA KUMFANYIA BIRTHDAY PARTY MWANAYE MAENEO HAYO

2:11:00 AM Add Comment

Na Baba Juti  
#WatuWaMungu Hivi Majuzi Ndimu za kutosha zilikamuliwa kwa Mwanaasoka aliyestaafu akiwa na mkwanja heavy, David Beckham, baada ya Watu Wamungu kulalamika na kumtuhumu kuwa alikodi Eneo la Ufalme wa Uingereza kwa ajili ya Birthday ya Mtoto wake wa Kike HARPER BECKHAM

Balaa hilo lilianza kusambaa Baada ya David Becham kupost Picha kadhaa akiwa katika Eneo la Kifalme maarufu kama BUCKINGHAM PALACE, makazi ya Familia ya Kifalme, ynayoheshimika kuliko kawaida, akiwa na Binti yake huyu ambaye ametimiza Miaka 6, sanjari na Marafiki zake ambao anasoma nao

Katika Picha ya Kwanza, David Beckham alionekana kumkumbatia Binti yake akiwa katika Eneo la Kifalme huku akimuwishi Siku Njema ya Kuzaliwa, lakini kilichokuja kuchefua zaidi, ni Pale ambapo Mtoto huyo wa Beckham kupigwa Picha akiwa Ndani ya Jumba Hilo la Kifalme linaloheshimika pamoja na marafiki zake na kisha Beckham Kupost.

Kilichwakwaza watu ni kitendo cha Jumba la kifalme kutokuheshimika, na kutumiwa katika vitu visivyo vya msingi huku baadhi wakidai kuwa beckham amefanya dharau kwa kukodi eneo hilo kwa ajili ya Party ya Mtoto wake, kitu ambacho ni kinyume na hadhi ya Jumba hilo na utaratibu wa Nchi Pia


Tunamnukuu kupitia Tweet yake   
" Picha ya Mwisho ya Birthday Girl... Naomba niliweke hili sawa. Hili halikuwa eneo ambalo lilifungua Milango kwa ajili ya Birthday Party ya Harper. Hii ilikuwa Ni Sherehe Ndogo ya Kifungua Kinywa ambapo sisi na wengine tulikuwa tumealikwa. hivyo ilikuwa ni jambo zuri kwenda na Mama yangu Harper pamoja na Marafiki wake wachache kutoka Shuleni kwake. Tulifurahi kuwa pale...."

MUNGU OKOA JAHAZI !!!: MCHUNGAJI ADONDOSHA KONDOM KANISANI WAKATI AKIJIANDAA KUTOA BARAKA NA UPAKO

1:41:00 AM Add Comment

Na Baba Juti  
#WatuWaMungu Haleluyaaa !!!!.... Bwana kuna hili ambalo linamhusu Mchungaji mmoja mbaye alijikuta akishtua baadhi ya waumini ambao hawakutarajia kama hili lingetokea

Kwa Mujibu taarifa ambazo tuko nazo mpaka hivi sasa, ni kwamba Mchungaji mmoja (Jina limehifadhiwa) kutoka katika  katika Jimbo la KAKAMEGA huko Nchini Kenya, alijikuta akitoa Kondom Mfukoni wakati akiwaandaa waumini wake kupokea Baraka na Upako kupitia Yeye.

Shuhuda ambaye Pia ni Muumini kutoka katika kanisa Hilo, anadai kuwa, Baba mchungaji aliwaamuru waumini wake watoe Vitambaa na kuvizungusha Juu ili wapoate Upako na hata kumuunga Mkono katika mamobi ambayo anayafanya kwa ajili yao

Lakini Kitu cha ajabu ni kwamba, Mchungaji huyo alijisahau kuwa Mfukoni mwake kulikuwa kuna Pact kadhaa za Condoms nyie mnaita KINGA, na Ndipo katika dhamira yake ya kutoa Kitambaa, huku akiwa na Mizuka ya Kutosha, Mchungaji huyo alijikta akitoa Pakti kadhaa za Kondom

Shuhuda huyo anayeitwa PHILIP ASHIONO alisema hivi
"Alituambia tutoe Vitambaa na kuvizungusha Juu ili kupata Upako na Baraka wakati akitoa maneno ya Kinabii.Alipoingiza Mkono wake Mfukoni ili naye achukue Kitambaa, vipande kadhaa vya Kondom ambacyo hugawiwa na Serikali Bure, vikadondoka na kusambaa katika eneo la kanisani

MNADA BANNER