REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

RAY C: NTAKUWA NINAPOST PICHA 30 KWA SIKU INSTAGRAM

7:38:00 AM Add Comment

Na Baba Juti
HIVI Ulishawahi kuingia katika Instgram Account yako ama Nyingine Yoyote (Mfano Twitter, Facebook, etc) halafu ukabaini kuwa una Followers wachache licha ya umaarufu ama Muda ulio nao?

Basi Ndicho Kitu ambacho Kimemtokea Mkali wa Kipindi cha Nyuma katika Muziki wa Kizazi Kipya, aliyejipatia Jina la “KIUNO BILA MFUPA” kutokana na kuwa na Kiuno Kilaini Balaa-RAY C.

Mamito huyu huenda akaanza ka-utaratibu ka Kupost Picha 30 kila siku, baada ya kubaini kuwa ana Followers wachache ambao kuna baadhi hawako active kabisa

HIT MAKER huyu wa “NA WEWE MILELE” ambaye Jina lake halisi ni REHEMA CHARAMILA, alionekana kushtushwa baada ya kugundua kuwa ana Mashabiki (Followers) 500,000 tu, huku akibaki kushangaa kuwa inawezekana kabisa kuna marafiki zake ambao kama hawako Active kabisa katika Socila Networks zake
Aliandika Hivi

“500,000followers only???? ..I guess some of my fans aren't active on social networking sites
Am grateful though
Let me also be more active sasa
#willbeposting30picsperday

#dontgetboredthough

BONUS..............
Hivi Sasa Unaweza kupata Mkwaju wowote wa RAY C kupitia www.wasafi.com. na unaweza kupata nyimbo zake ambazo ni takribani 8

MNADA BANNER