REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

USWAZI TAKE AWAY: USWAHILINI KWETU BIASHARA YA PLAY STATION (PS) INALIPA..TIZAMA PICHA

9:22:00 AM Add Comment







KIPINDI cha Nyuma Kidogo, Tukubali tukatae, PLAY STATION ilikuwa inapatikana katika Familia “Tajiri” tu, ambazo zilikuwa na Uwezo Mzuri kabisa wa kununua Kitu kama Hiki…

Lakini hivi sasa, uswahilini kwetu PS ni kitu cha kawaida maana watoto wengi hugharamika kidogo sana kuburudika na Kitu Hiki.

Katika Mtaa wa BUGARIKA, Mtoto mmoja analipia Shilingi 200 tu kucheza peke yake Mchezo Mmoja , lakini kama Wakiwa wawili, basi hulazimika kulipia Shilingi 500 ili kuchuana katika Mchezo Flani.

Moja kati ya Games zinazopendwa saaana na watoto uswahilini kwetu, FOOTBALL GAMES
Hii indo Uswazi Take away

INSTA-MCHEPUKO: JACQUELINE WOLPER HILO GAUNI DUH....AGNESS MASOGANGE TAFADHARI,....

9:00:00 AM Add Comment
AGNESS MASOGANGE..NI KIHOME HOME,,AMA UMEWEKAPO TU-MAKE UP?


Mh..hapo namuona Agness Masogange ambaye this Time “Minato” Mingi inakuwa ni Mazingira ya Nchi za Nje tu…………
Sasa haka kapicha kamenipa maswali kidogo..Hivi Hii ni CAMERA 370..ooh Sorry CAMERA 360, Uko Soft Kiasi Hicho, ama Umetupiamo ka-Make Up.
******************************

  • SHILOLE-KIUNO, HATA KAMA NI PROMO NA MIE NNAYATAKA



Sawa..hiyo ni Promo, ila kama yanakufanya uwe soft Kiasi hico, tafadhari, nipatie na mie nimpelekee Wifi ako tafadhari

*****************************

  •  IRENE UWOYA..KWA HIZO “NCHUCHUMIOZ”, JONII HUMPATI NG’O




Safi sana Irene Uwoya kwa Huo “Mpendezo” wako. Sasa kama unamtafuta JONI na hizo Nchuchumioz, nakuambia humpati, maana anatimua mbio balaa. We hukumuona alivyowakimbia akina dada 
katika Ile Video ya YEMI ALADE?

******************************

  • DUH: JACQUELINE WOLPER HILO GAUNI..DAH !!




Unajua Nini?..Tumezoea kuona Akina dada wa “BONGO MUVI” wakiwa wanavaa mavazi Fulani hivi ya kutamanisha kidogo..ila BIG UP SANA kwako JACQUELINE WOLPER kwa Hilo GAUNI  refu mpaka kunako Miguu..

MNADA BANNER