REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

ALERT: MKONO MWINGINE WA DEEY CLASSIC, VERY HOT..AND VERY SOON !!!!!...ALONG SIDE G.MOX, YOUNG KILLER & T.NOCK

7:15:00 AM Add Comment

BAADA YA DRAMA LA PREZZO NA CHAGGA BABY KUNAKO INSTAGRAM, SASA CHEKI HIZI ZA SELENA GOMEZ NA JUSTIN BIEBER, BAADA YA BIEBER KUGUNDULIKA KUWA ANATUMIA DAWA FULANI HIVI ZA KULEVYA

1:12:00 AM Add Comment






AMUWEKA MATEKA MPENZI WAKE KISA WAZAZI WA BINTI KUGOMA WAO KUOANA……..

12:41:00 AM Add Comment


JAMAA MMOJA anayefanya Shughuli za Ujenzi Nchini China, amemteka Mpenzi wake na Kisu cha Kukatia Nyama Juu ya Jengo, kwa Muda wa Masaa Matano, baada ya Wazazi wa Binti Kukataa kuidhinisha wao Kufunga Ndoa.

Mami ya Watu pamoja na Jeshi la Polisi, walikuwa katika eneo la Tukio, ambapo jamaa alizidi Kuwa mkali huku akifikia Hatua ya Kumuamuru Mpenzi wake Kuvua Nguo, ili Wote wadhalilike, jambo ambalo Binti huyo alilitekeleza.

Wakati akiendelea kumshikilia kwa Muda huo, Jamaa huyo alizidi Kutishia Kumuua binti huyo ambaye ana Umri wa Miaka 29, huku akitoa madai Kuwa alikuwa akijihusisha na mahusiano na wanaume Wengine hasa kipindi jamaa mwenyewe akienda katika Shughuli zake za Ujenzi.

Wakati akiendelea na Tukio hilo, alifikia Mpaka hatua ya Kubaki Mtupu kabisa na Kuamuru aletewe Gari Moja ili yeye na Mpenzi wake Huyo watimue Kutoka Eneo Hilo.

Baada ya Kusikia amri Hiyo Jeshi la Polisi lilikuwa Ene Hilo lilifuata maagizo hayo, na Kumletea gari Hilo, ili asimdhuru Binti Huyo.
Aidha wakati akitawanya watu wampishe ili aingie katika gari hilo, Baadhi ya Askari walitokea kwa Nyuma na Kufanikiwa Kumdaka.

JAMAA huyo Aliyetambulika kwa Jina la LIN Mwenye Umri wa Miaka 34, amewahi Kufungwa Jela Kwa Muda Mrefu, hata Hivyo wazazi wake Pia, hawakumruhusu amuoe Binti Yule

CHEKI PICHA ZAIDI HAPO CHINI














PICHA: BIRTHDAY YA MTOTO WA PETER OKOYE WA P SQUARE

12:35:00 AM Add Comment



UMEWAMISS YOUNG MONEY?....GET READY MAZEE

12:26:00 AM Add Comment


Mwezi Wa Tatu a.k.a March Mwaka huu wa 2014, kutakuwa na chafuko balaa la burudani kunako masikio ya Nyomi kubwa ambalo linakubali Mikwaju na Mavarangati ya Crew ambayo inatumia jina La Mkwanja ama Chapaa, We are Talking about YOUNG MONEY…TTM tunakuvujishia.

BAADA ya BIRD MAN kukamilisha Mjumuiko wa Mikwaju Kadhaa katika ALBAM ya RICH GANG, ambayo ilihusisha Vichwa Kadhaa vya YMCMB na Marafiki zao, sasa Young Money wamejiandaa Kuachia ALBAM Nyingine ama Mjumuiko wa Traxx Tofauti, itakayobebwa na Jina RISE OF AN EMPIRE

ALBAM hiyo ambayo itatoka Rasmi MARCH 11, 2014, itahusha Members wa YOUNG MONEY huku Mikwaju Kibao uliyoshiba ikihusika Ndani.

Kwa Mujibu wa Taarifa Kutoka Kwao, ALBAM Hiyo itawakumbushia Mashabiki wao Balaa lililofanyika Kipindi cha Mwaka 2009, katika ALBAM yao ya WE ARE YOUNG MONEY.

Katika Biashara Hilo la RISE OF AN EMPIRE itakuwa na Vicha Vikali kama 
Vile LIL WAYNE “WEEZY”. NICKI MINAJ, TYGA, SHANTELLE, LIL TWIST, GUDDA GUDDA, CHRISTINA MILIAN, DRAKE, Na Members wengine Wapya.

Katika Kukazia Taarifa Hiyo, Mpaka Hivi sasa Track Moja Kutoka katika Albam Hiyo, inayofahamika Kwa jina la WE ALRIGHT inayowahusisha BIRD MAN, LIL WAYNE, na EURO imeshaachiwa.

Naye C.E.O wa YOUNG MONEY, LIL MWAYNE amesema kuwa Hakuna kitu Kizuri kama Familia Moja Kukutana Studio Pamoja na Kupiga Kazi Moja. YMCMB ina Nguvu na Ni Imara Kuliko Siku Zote, na Kila Mtu alikuwa na Mzuka wa Kutosha, Hivyo Wadau wanatakiwa kusubiri Kifuatacho.

SOULJA BOY MIKONONI MWA POLISI.

12:22:00 AM Add Comment



Kama Ushapoteza kumbukumbu kuhusu Huyu Jombaa, KISS ME THROUGH THE PHONE Ni Moja kati ya Mikwaju ambayo ilisumbua sana Miaka kadhaa iliyopita, na hata hivi sasa Ukiisikia tu, Must Kichwa Itingishike Japo hata Kidogo.

The Young Rapper ambaye anafanya Good kunako CRANK STYLE nchini marekani, SOULJA BOY “TELL EM”. Yuko kunako Mikono ya Jeshi la Polisi la LOS ANGELES Nchini marekani, baada ya Kudakwa akiwa na BASTOLA Kinyume Cha Sheria.

Baada ya Kupata hizo Fununu, kama kawaida Yetu, TTM tuliamua Kuzama Ndani na Kuanza Kufukua Info za kutosha kuhusu Mchakato Huo, na Kuthibitisha Kuwa Kweli The Best Friend Of Bow Weezy ambaye Anaumri wa Miaka 23 alidakwa na Polisi katika Eneo la SAN FERNANDO VALLEY, baada ya Kusimamishwa na Polis wa Usalama Barabarani.

Mtonyo unaendelea Kujiachia Kuwa, baada ya Polisi kumpiga Stop Mkali huyo wa aliyefanya Vema kunako MARCO POLO, walimuamuru atoke ndani ya Ndinga aliyokuwa akisukuma GEAR, na Hatimaye polisi hao kubaini Silaha Hiyo ambayo tayari ilikuwa LOADED, Yaani iko tayari Kwa Kupiga Kazi, na hatimaye Kumtia Nguvuni.

Mnamo Mwaka May 2013, SOULJA BOY aliwahi kuingia katika Utata Tena baada ya Kuhusishwa Na Ajali ya gari  huko Huko Nchini Marekani, lakini baadaye ilikuja Kubainika Kuwa katika Ajali hiyo SOULJA BOY hakuwa akiendesha Gari hilo Lililosababisha AJALI na Kusepa .

PICHA: HUYU NDIYE "SWEET LOVELY WIFE" WA COLLO, KING WA RAP, NCHINI KENYA

12:16:00 AM Add Comment

MNADA BANNER