REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

TAARIFA KUTOKA TFF KUHUSU JEZI ZA TIMU YA TAIOFA, NA RAIS KWENDA NCHINI INDIA

9:33:00 AM Add Comment

BLACK TOUCHEZ Sports
Shirikisho la soka nchini TFF limetoa shukurani kwa wabunifu waliojitokeza katika zoezi la kubuni muonekano mpya wa jezi mpya za timu ya taifa za nyumbani na ugenini.

TFF imetoa shukrani hizo baada ya kupokea mifano ya muonekano wa jezi za timu za taifa kutoka kwa wabunifu zadi ya 80 ikiwa ni siku chache tangu zoezi hilo lilipotangazwa mwezi uliopita.

Mkurugenzi wa mashindano wa TFF Boniface Wambura hii leo wamekutana na waandishi wa habari kwa niaba ya katibu mkuu Celestine Mwesigwa na kueleza taratibu nyingine zinazofuata mara baada ya zoezi la kupokea mapendekezo ya muonekano mpya wa jezi za timu ya taifa kutoka kwa wabunifu.


 Wakati huo huo Boniface Wambura ameliweka sawa suala la raisi wa shirikisho als oka nchini TFF Jamal Malinzi kuelekea nchini India ambapo ilidaiwa amekwenda huko kuftai matatizo ya kiafya.

Wambura amesema suala la Malinzi kuelekea nchini India kwa ajili ya matibabu sio la kweli, bali kiongozi huyo wa soka nchini amekwenda nchini humo kwa ajili ya kuangalia afya yake ikiwa ni mpango aliojiwekea kila mwaka.

INSTAGRAM: INAWEZEKANA MDUDU "CHUKI BAINA YA WASANII"...UNAMTAFUNA SANA DIAMOND. TIZAMA ALICHOKIANDIKA

5:15:00 AM Add Comment

BLACK TOUCHEZ/ INSTAGRAM
KUTOKA KAMWAMBIE mpaka NTAMPATA WAPI, siku hizi Diamond hakamatiki Kirahisi kutokana na kufanya Poa katika kila mchakato ambao anakuwa anaufanya.

Baada ya kujibiwa swali la kwanza na mmoja wa Followers wake kunako account yake ya Instagram kuhusu Watanzania kama itatokea tukawa juu hasa kimuziki kama wasanii wengine ambao walianzisha Style zao za Muziki, finally ameshusha swali ambalo kiujumla linaweza kujibika, lakini utekelezaji wake ni noma

SASA, na siku ya leo kupitia account yake hiyo hiyo ya instagram, Diamond Platnumz ameuliza Swali kama lifuatalo na ninanukuu Swali hilo


"Ila kwa sasa nina swali moja tena naomba mmoja anijibu NI LINI WASANII WETU WA TANZANIA WAO KAMA WAO WATAUNGANA NA KUWA KITU KIMOJA NA ISIWE KINAFKI KAMA ILIVYO SASA NA HAPA SIMAANISHI MUUNGANO WA KIGOMA OLL STAZ AU MBEYA WALA MWANZA NINAMAANA wasanii wasiwe na wivu wa kijinga na badala yake wakubaliane na hari harisi na waitumie mianya waliotengenezewa pia wasiwe woga au na aibu kuomba connection mfano kama vile @fidq asihofu kumuomba chibu amkutanishe na @sarkodie1 kama ataamin chibu aweza mkutanisha. NI LINI WASANII WATA HUG NA KUGONGA GRASS ZAO PAMOJA HUKU WOTE WAKIWA NA UPENDO WA UKWELI MIOYONI MWAO NA HATA KAMA CHUKI IKIWEPO IWE YA SABABU ZA MSINGI BASIII,NI LINIIIIIIIII?"

MNADA BANNER