REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

GRAND FRIDAY !!! TODAY IS YOUR WEEKEND..MAKE SURE YOU GET "KACHUMBARI" IN YOUR MEAL

3:28:00 AM Add Comment


P.LIVE
Yes, but it also has some great health benefits too. Its not Kachumbari without onions, tomatoes, maybe abit of lemons, avocados and coriander (Dania). And it tastes great with as an addition to any kind meal and bitings.

With our zealous dediaction for Choma Sausages and boiled eggs, it's no lie that Kenyans love their Kachumbari and this may be one of the biggest favours we have do for our systems.
Here's a fun fact: Each of the above mentioned ingredients have amazing benefits for your body.


1. Onions
Did you know that if you put a peeled onion next to your bedside when you have a flu you will wake up feeling way better? Smelly as they are, onions are known to hold hundreds of health benefits especially when it comes to fighting disease. These include:
The phytochemicals in onions along with their vitamin C help improve immunity. They also contain chromium, which assists in regulating blood sugar.
For centuries, onions have been used to reduce inflammation and heal infections. Raw onion also lower the production of bad cholesterol (LDL), thus keeping your heart healthy. Onions contain a powerful quercetin which is known to play a significant role in preventing cancer.
It will even ease your bee sting! Onions scavenge free radicals, thereby reducing your risk of developing gastric ulcers. and are rich in Vitamin A.


2. Tomatoes
Accoring to Organic Facts, tomataoes improve eyesite, stomach health while reducing bloo pressure. Tomatoes also offer relief from diabetes, skin problems and urinary tract infections. These in turn increase digestion, stimulate blood circulation, reduce cholesterol levels, improve fluid balance, protect the kidneys, detoxify the body, prevent premature aging, and reduce inflammation and other related conditions. They consist of a large number of antioxidants that have been proven to fight different forms of cancer. It is a rich source of vitamins and minerals and exerts a protective effect against cardiovascular diseases.



 3. Lemon
I bet I don't have to go into details about the benefits of lemons. They have been the at core of weight loss, great skin, healing the human body and good digestion. But just to fill you in, Juicing for Health says limes and lemons contain outstanding phytochemicals that are high in anti-oxidant and anti-cancer properties. They are potent detoxifiers with anti-biotic effect that is protective against bacterial poisoning. They assist with asthma, cholera, cold, constipation, digestion and tired feet (just use the left overs).

4. Avocado
They are an excellent source of healthy fats and Vitamin E. Avocados also have have more soluble fibre than other fruit and contain a number of useful minerals such as iron, copper and folate and are a good source of potassium. Research suggests that fats in avocados help to protect against heart disease and lowers blood pressure. The oils provided by an avocado include oleic acid and linoleic acid and are therefore recommended as part of a balanced diet to prevent high cholesterol.
However, as research has developed, the avocado has been commended as a good example of a nutrient dense food, they are a rich source of antioxidant vitamin E, plus a group of carotenes which are thought to help keep the eyes healthy.

5. Dania (Coriander)
Unknown to most, these little babies have amazing health benefits. Coriander is a wonderful source of dietary fiber, manganese, iron and magnesium as well. In addition, coriander leaves are rich in Vitamin C, Vitamin K and protein. They also contain small amounts of calcium, phosphorous, potassium, thiamin, niacin and carotene.


GRAND FRIDAY !!! : WATU WA MUNGU ANZISHENI WEEKEND YENU KWA KUCHEK ZIGO HILI LA BRUNO MALI NA RICK ROSS

3:01:00 AM Add Comment

Na Baba Juti   
#Weekend Ndio Hii hapa ambayo tunaianza kwa Uzuri Kabisa,, iko tayari kuupokea Mzyuka Wako...

hakikisha Tunauanza Mzuka wetu na GRAND FRIDAY kwa Kutizama Hili "Ninga" kutoka kwa BRUNO MALI ambaye ni Rapper Kutoka Nchini Marekani. Mzigo unaitwa "MONKEY SUIT" na amemshirikisha RICK ROSS

Check It Out !!!!

ETI NINI !!!?? : HUDDAH MONROE AMEKUA SASA..ANATAKA MA-BOY NYOTE MUMUACHE

2:53:00 AM Add Comment

Na Baba Juti  
#WatuWaMungu Kutoka Nchini Kenya, HUDDAH Monroe ametoa Tamko Rasmi na Wale "Wavulana" Nyote inabidi muweze kulizingatia kwa umakini Zaidi.

Huddah Monroe ambaye huwa anasifika sana kwa majanga tofauti hasa kupitia Mitandao ya Kijamii, amesema hivi sasa hataki kuwa Binti wa "kurukaruka" na hii ni kwa sababu sasa hivi amekuwa na anajitambua na anahitaji kulithibitisha hilo.

Naomba tumnukuu tafadhari
" Ninataka kuwa mwanamke sasa, lakini nimekwama katika Wimbi la Usichana. Mtu yeyote anisaidie. Unakuwa Vipi Mwanamke?, katika Umri Gani?, ninahitaji kuwa Mwanamke sasa Hivi. Haya mambo ya Usichana hayatakiwi kuwa yangu. Ninahitaji kukua"

na Katika Kujazia Zaidi, Huddah ambaye amewahi kutinduana na PREZZO, amedai kuwa amechoka kujihusisha na "Wavulana" yaani Watoto Wadogo, na hivi sasa anahitaji kupiga hatua zaidi kuwakata kabisa

Tunamnukuu
"Kwanza, ngoja niweke wazi kwa Wavulana Wote, Wacheza Soka, Rappers, Hawamo tena katika Orodha yangu ya Namba za Simu"


NGOJA KWANZA !!!!! : HII NI DALILI YA BIFU KATI YA NAOMI CAMPBELL NA RIHANNA, KISA MPENZI MPYA WA RIHANNA?

1:03:00 AM Add Comment

Na Baba Juti
#WatuWaMungu Limebumbuluka la Kumbumbuluka kuwa Marafiki wa Wili kipindi cha Nyuma Kidogo na Mpaka sasa, Rihanna na Naomi Campbell, huenda wakawa na Bifu ambalo hatulijui, Kisa, ni Mpenzi Mpya Wa Rihanna

Kama Hukufahamu, Ni kwamba HASSAN JAMEEL, Mpenzi Mpya Wa Rihanna kwa hivi sasa, aliwahi kuwa na Mahusiano na Mwanamitindo Naomi Campbell kipindi Cha Nyuma. Na kama haitoshi, Naomi Campbell na Rihanna ni Marafiki na wamewahi kushirikiana katika Projects kadha wa kadha

Sasa, Baada ya Taarifa kuenea na hatimaye kubainika kuwa Jameel ndioye Mpenzi wa Rihanna ambao mahaba yao yalianza kuonekana Hivi majuzi kule SPAIN, kuna Dalili za "Beef" baina ya Marafiki hawa wawili, yaani Rihanna na Naomi Campbell

Na Kwa Mujibu wa Mvujishaji ambaye anaaminika na yuko karibu na Naomi Campbell... inasemekana kuwa, chanzo cha naomi Campbell kumu-unfollow Rihanna kipindi cha Nyuma Kidogo, ilikuwa ni hiyo, ambapo inasemekana Rihanna na Jameel walianza kuonesha Dalili za kupendana nyuma Kidogo....

Tunamnukuu
"Naomi Campbel aliligundua Hilo Mapema, aliona kila aina ya Dalili kabisa machoni mwake. Ni kweli yeye Jameel walikuwa wameshaachana, ila Naomi ni kama Bado alikuwa na Hisia naye. Hivyo alipoona hilo, akahisi yeye ndiye kazungukwa na Rihanna... Ndio Maana hawako Vizuri mpaka Hivi sasa"

WHAT'S NEW TODAY: JUX AMETULETEA "AFRICAN BOY 2017" AMBAZO ZINAONEKANA HIVI

5:20:00 AM Add Comment

Na Baba Juti   
#WatuWaMungu hakuna kitu kitamu na kinavutia kama kuona Vijana wa Kitanzania wanapiga "Mihanyo" yao na kujikita katika Ujasiliamali Mrefu

Off Course Every Body Knows about Frican Boy Collection ambazo zimekuwa zikichukua nafasi kubwa katika Soko la mavazi hapa Nchini tanzania


Ila Kupita "WHAT'S NEW TODAY" ndani ya Mnada, Msanii JUX ameshusha Collection Nyingine (AFRICAN BOY COLLECTION 2017) kwa wale ambao mnapenda sana African Boy Brand

Bei zake Ni Kama Ifuatavyo:    
TSHIRT 35,000/= Tshs
VEST : 35,000/= Tshs

KOFIA : 25,000/= Tshs




TUMEVUJISHIWA !!!!! : COYO AMEJIBU HAPA KUHUSU KUVURUGANA NA MENEJA WAKE KID BWAY (AUDIO)

5:15:00 AM Add Comment

 
SOURCE : JEMBE FM  
#WatuWaMungu Kuanzia Eid Mosi, kuna Kitu kilikuwa kinazunguka Huku na Kule kama Mlikuwa hamjui, na kwa Bahati Nzuri na sie tukapenyezewa Hii Info

Ishu Kubwa ilikuwa inamhusu COYO (Zamani Coyo Mc) ambaye hivi sasa anafanya Vizuri na Mkwaju wa ZIWAFIKIE

Tulipenyezewa Ujumbe Mfupi wa Maandishi na Moja kati ya Wadau ambao Ulikuwa unafafanua Hivi
" Mambo Vipi Baba Juti. Heri ya Sikukuu ya Eid Mzee Mwenzangu Naitwa REUBER ZOLA BOY (Jina Langu Lifiche tafadhari). Niko Dar Kwa Hivi sasa ila ni Mkazi wa Mwanza. Tangu nimekuja Dar, nimefanikiwa kuwa Karibu na Wasanii wa Mwanza na hata kujua kila ambacho wanakifanya Mzee Mwenzangu. Sasa, mlishawahi kufanya Interview hapo JEMBE FM na Coyo, mkamuuliza kuhusu Mahusiano yake na Meneja wake. Kiukweli, hapa nilipo, niko Na Wasanii kutoka Mwanza, tunakula Mambo Yetu Kidogo... nawasikia wanasema eti COYO MC katibuana na Meneja wake, yule KID BWAY.. Ishu kubwa ni Mkwanja..eti Coyo MC hajalipwa Chochote tangu ameachia Track zaidi ya kuvalishwa Manguo, kupigishwa Picha za Art Work, kusaidiwa Mahali pa Kuishi na mengineyo. Na huyu anayeongea ni mmoja kati ya Wsanii ambaye alishawahi kupita Mikononi mwa Kid Bway, wakatibuana...sasa, hebu Muulize Coyo kama Ni Kweli. Mzux Mzee"

Sasa Baada ya Kukutana na Message Hiyo, tukasema ngoja tumsake COYO Mwenyewe ili afunguke Vizuri kabisa... Na Yeye akazungumza kama Ifuatavyo


AUDIO : THE KISSER STRAWBERRY X FUTURE JNL - MONEY ( BONUS TRACK)

3:24:00 AM Add Comment

Na Baba Juti  
#WatuWaMungu kutoka Mwanza, anaitwa The Kisser Strawberry ambaye ameshusha Bonus Track Hii inayoitwa MONEY. Amemshirikisha Future JNL... Isikilize na Kisha Uipakue

BOBI WINE : MIE NI MSHINDI TAYARI...NASUBIRI KUTANGAZWA

3:14:00 AM Add Comment

Na Baba Juti   
SOURCE : URBAN TV-UGANDA  
#WatuWaMungu Mkali wa Dance Hall Nchini Uganda BOBBI WINE amedai kuwa, yeye Ni Mshindi tayari, na anasubiri tu Kutangazwa

Akizungumza kwa Ujasiri Kabisa, Bobbi Wine ambaye Jina lake katika Passport ni ROBERT SSENTANI KYAGILANYI amesema kuwa Hivi sasa anatarajia tu kutangazwa, Maana yeye ni Mshindi tayari

katika matarajio Yake, Bobbi Wine ameahidi kuleta Umoja na Nguvu kubwa kwa wananchi ambao tayari walikuwa wameshakosa matumaini ya Umoja wao


AMANI: MIE NI MKE WA MTU HIVI SASA

2:33:00 AM Add Comment

Na Baba Juti   
#WatuWaMungu THE GOOD NEWS ni kwamba AMANI kutoka Nchini Kenya Hivi sasa ni Mke Wa Mtu !!!

Cecilia Wairimu Maarufu kama Amani, alithibitisha Hilo hasa kuolewa na Mfnayabiashara Kutoka Nchini Nigeria anayefahamika kwa jina la Chinasa Udeala, na Ndoa yao Ilikuwa ni Ya Siri Sana


Awali zilikuwa zinasikika tu Kichini Chini kuwa Amani ambaye ni Ex- wa AY, aliyewahi kuvuma na Mikwaju kama Vile MISSING MY BABY, USINDE MBALI, na BAD BOY, amekuwa katika Mahusiano ya Kimya Kimya na Mwanaume Kutoka Nchini Nigeria, kitu ambacho alikuwa hajawahi kukizungumzia hata Kidogo

Tunamnukuu
" Kila Kitu kimekamilika> Nimeshaolewa Tayari, na ni mke wa Mtu sasa Hivi. Najua Watu wengi wanatamani kuona Ndoa Yangu ilikuwaje, lakini mie Ni Mtu Msiri sana katika Mambo yangu Binafsi> Ndio maana hunioni nikifanya Interview katika Nyumba yangu ama katika Vitu vyangu vya ndani"

Katika hatua Nyingine, Amani amesema kuwa Mume wake huyo ni Mtu ambaye anapenda, anamjali na hata kumuonesha mahaba ya dhati.

Akizungumza kuhusu Kuchumbiwa, Amani anadai kuwa, Tukio hilo lilifanyika Mwaka Jana

 Tunamnukuu
" Siku Hiyo ambayo sikuiotarajia, alinichukua na kunitoa out kwa ajili ya Chakula cha Jioni. Tulikuwa wawili tu, akapiga Goti, akaniuliza swali hilo na kunipa Pete Hiyo"

Lakini Kuhusu Mume Wake huyo kumruhusu ama kufurahia Maisha na shughuli za Kimuziki za Amani, Bibi huyo alisema Hivi

"Kiukweli kabisa, hana tatizo na mie kufanya Muziki. Ila ilifikia Muda nikahisi kabisa kuwa ninahitaji kujikita katika Biashara zangu. Na ninahitaji Muda Pia kwa ajili ya Familia yangu na ninahitaji Muda kwa ajili yake"



DAH !!!: MNAOPENDA KUTUMIA APP ZA MAPENZI...KUNA HILI LINAWAHUSU

1:37:00 AM Add Comment

Na Baba Juti   
#WatuWaMungu Binti wa Miaka 18 amehukumiwa Kifungo cha Miaka 20 Jela baada ya Mahaklama kubaini na kuthibitisha kuwa alihusika katika Wizi na kumpiga Risasi Kijana Mwenzake  Kupitia App ya Mahusiano ya Kimapenzi.

Hakimu MATTHEW FOXMAN  kutoka CENTRAL CALIFONIA, alitoa Hukumu Hiyo kwa Mshtakiwa huyo anayetambulika kwa jina la KY'ANDREA COOK, na kuiacha Familia yake akiwemo mama yake Mzazi ikilia na kuhuzunika kwa Uchungu

Taarifa kamili zilifafanuliwa Kuwa, Mnamo mwezi March mwaka 2017 Ky'andrea akiwa ni Mwanafunzi wa MAINLAND HIGH SCHOOL Huko Huko Nchini Marekani, alimrubuni Kijana mwenye Miaka 27 kupitia Mtandao wa unaopatikana katika Smartphone "MEET ME " ambao ni maalum kwa Mahusiano.

Katika Makubaliano yao, Wawili hao walikubaliana kukutana katika eneo linaloitwa SOUTH DAYTON, ambapo Jamaa huyo anayetambulika kwa jina la PERRY NIDA alitarajia kumuuzia Bangi na kisha Kwenda kufanya Tendo la Ndoa kama ambavyo walipanga.

Lakini kama unavyojua Michezi hii ya Sikufahamu , hunifahamu, Jombaa Nida aliamua kumtanguliza Kijana wa Miaka 17 anayeitwa IMANNUEL PURSEL kama "Chambo", na Ndipo Chambo huyo alipopigwa Risasi na Boyfriend wa Mshtakiwa ambaye alikuwa akisubiri kuwaibia kama ambavyo walikuwa wamekubaliana na Mshtakiwa

Mama Mzazi wa Mshtakiwa alimwaga Kilio Mahakamani wakati Binti yake anapelekwa Rasmi Gerezani.

Kijana aliyepigwa Risasi Hali yakle inaendelea Vizuri sasa Hivi....



T- PAIN KAPONA KATIKA HILI

1:53:00 AM Add Comment

Na Baba Juti  
#WatuWaMungu Hata kama inasemekana kuwa T-Pain Hivi sasa hana Mkwanja, lakini jambo la Kumshukuru Mungu ni kwamba kamalizana na Kitengo cha KODI Nchini Marekani kwa Kumaliza kulipa Deni lake la KODI

Kama utakuwa unakumbuka vizuri, T-Pain aliingia katika Msala wa kutokulipa Kodi katika Kitengo hicho kinachofahamika kwa Jina la IRS, na alikuwa akidaiwa USD 780,268.12 ambapo january ndipo alipofunguliwa Mashtaka

Pia Hitmaker Huyo wa BAR TENDER, alidaiwa kugoma kulipa USD 193,876 Kwa mwaka 2011, 2013 hakulipa 65,611.77, Mwaka 2014 hakulipa USD 165,056.45 na Mwaka 2015 hakulipa USD 355,723.07

Hivyo T- Pain, amelipa USD 800,000 mpaka hivi sasa, hivyo hana Msala


MAKUBWA HAYA !!! ETI MCHEPUKO WA RAPPER T.I ULIPIGWA "STOP" KUINGIA KATIKA TUZO ZA BET, KISA.......

1:41:00 AM Add Comment

Na Baba Juti   
#WatuWaMungu kuna Hii mpya ambayo naomba Tus-share kwa pamoja ili kutafakari kama ni kweli ilikuwa inastahili ama Lah !

Taarifa za Uhakika zimeibuka Kuwa, Tameka ambaye ni Mke wa Rapper T.I pamoja na T.I mwenyewe, walipendekeza na kuamuru kuwa Bernice Burgos azuiwe kuingia katika TUZO ZA BET.

Bernice aliwahi kuingia katika Mgogoro Mzito na Tinny baada ya kudaiwa kuwa ndiye anayechepouka na Rapper T.I jambo ambalo lilizua Tafrani mpaka kufikia kutaka kupeana Talaka

Lakini hivi sasa Inadaiwa kuwa, T.I na Tinny wanaweza wasipeane talaka maana mambo yao ni kama yameshakaa sawa na hakuna kinachoendelea Sasa Hivi

Mchepuko huo wa T.I , awali ulionekana katika Red Carpet ya Tuzo hizo za BET ambazo pia Mtanzania aliibuka nayo moja wapo, lakini Bibie huyo alipigwa Stop kuingia Ndani na Walinzi kwa Madai kuwa wamepewa Maagizo wasimruhusu aingie

T.I na Tinny walikuwa eneo la tukio, yaani kwenye TUZO, nataarifa zilimiminwa Kuwa Tinny haswa ndiye aliyesisitiza Bernice asiingie Humo Ndani.


ETI NINI !!!! : UTAGOMBANA NA DRAKE UKIMWAMBIA ATUMIE KINGA?

12:56:00 AM Add Comment

Na Baba Juti   
#WatuWaMungu Kuna Tuhuma Mpoya hapa Mjini na Ninaomba tuhusike nayo kwa Uzuri ili na sisi japo tupate kufahamu aisee

Inasemekana kwamba Rapper Drake a.ka. Dreezy huwa Hatumii "Kinga" katika Tendo la Ndo pale anapokutana na Mwanamke ambaye anamtamani haswaaa

Taarifa hizo zimemiminwa na Chanzo ambacho Kipo karibu na Sophie Brusauxx, aliyejitambulisha kwa jina moja tu, Princess Hellen

Akiweka wazi zaidi Kuhusu Hilo, Helle alidai kuwa, Sophie aliwahi kulalamioka mara kadhaa kuwa Drake amekuwa akihitaji wafanye Tendo la Ndoa kabla hajampa Ujauzito, na amekuwa akitia Ngumu Kutumia Kinga

hali hiyo ilikuwa ikimkwaza sana Sophie lakini hakuwa na namna zaidi ya kuendelea kufanya kile ambacho Dreezy alikuwa anakihitaji

Tunamnukuu
"Sophie alikuja kutulalamikia mara kadha sisi kama Ndugu zanke na marafiki zake wa karibu kuhusu Drake kukataa kutumia Kinga. Kitu hicho kilikuwa kinamkwaza Sana kiasi kwamba hakuwa na namna ya kufanya. Sophie alidai sana kuwa Hata alipoambiwa Ukweli kuhusu Siku za Hatari, Bado Drake alitaka NYAMA NYAMA, huku akimdanganya kuwa atawajibika kwa lolote litakalojiri"

Hata Hiovyo, inasemekana zaidi hata kipindi cha Nyuma pia kuwa, Drake amekuwa akishindwa kabisa kutumia Kinga, hasa pale ambapo anakuwa amejawa na matamanio juu ya Binti Flani.

KUDADADEKI !!!! : "HUWA TUNAWABAKA WANAWAKE WALIOLEWA KUPITILIZA"- KAULI YA WALINZI NA MACHOKORAA !!!

2:16:00 AM Add Comment

Na Baba Juti : SOURCE: MPASHO   
#WatuWaMungu Hii Kitu imetushtua na kuamua kuishusha kwako ili japo nawe upate kujua kile ambacho huwa kinaendelea katika ulimwengu wa sasa aisee

Nchini Kenya, Kuna Taarifa Imtoka kuwa, Wanawake Wengi huonekana katika Maeneo ya Starehe katika Viunga Mbali mbali vya Jiji La Nairobi wakiponda Bata, pengine kuliko hata wanaume

lakini Ukiachilia mbali suala Hilo, Pia imebainika kuwa, Wanawake Wengi Nchini Kenya kuanzia Siku Za Ijumaa, huonekana kwa Wingi katika Night Clubs kibao ambazo hupatikana katika Viunga mbali mbali vya Jiji la Nairobi

na kama haitoshi, Wanawake Wengi Nchini Kenya hasa katika Jiji la Nairobi, hulewa kupita Maelezo na huwa wanashindwa kujizuia ama kuji-control katika Suala la matumizi ya "Tungi" tofauti na Wanaume ambao wanajua namna ya Kujicontrol

Hali hiyo huwafanya Wanawake kukutana na majanga Mengi, ikiwemo kugongwa na Magari wakiwa wamelewa, Kuibiwa ama Kuupigwa Roba, sanjari na hili jipya ambalo ni Kubakwa mara kadhaa

Taarifa ambayo tumeipata Mpaka Hivi sasa , ni kwamba, kuna makundi mawili ambayo yamekiri bila kificho kuwabaka Wanawake Jijini nairobi ambao hulewa kupita maelezo. Makundi hayo ni pamoja na WALINZI na MACHOKORAA (Watoto/Vijana waishio Mitaani)

WALINZI:  walikiri Kuwa, Ni kweli, wanawake wa nairobi asilimia kubwa wamekuwa wakilewa kupita Maelezo na hata kukatisha katika Maeneo yao mida ya Usiku wakiwa wamelewa. lakini wanawake hao huvalia mavazi ya kikorofi ambayo huwafanya Washawishike na kuamua kuwabaka

Tunamnukuu Mlinzi Mmoja
"Watakuwa Wamelewa Sana, na wakati huo wamevalia Mavazi ya Kichokozi. Basi Walinzi huwachukua na kuwapeleka Sehemu zenye Giza ambazo wanalinda, na kisha kuwabaka"

MACHOKORAA:  pia wamekiri kukutana na wanawake wa aina hiyo ambao huwashawishi na kuwafanya watamani kufanya nao Tendo la Ndo. Hivyo hulazimika kuwakamata na kuwapeleka katika meneo ya kujificha na Kumalizana nao

Tunanukuu mmoja ya Wabakaji akisema
"Wanawake Waliolewa wakijichanganya Tu katika Maeneo Yetu, tunawashughulikia Ipasavyo"

KENYA !!! HAWA NDIO NYANI WALIOFUKUZA WAPANGAJI (VIDEO)

1:47:00 AM Add Comment

CHANZO: K24 TV 
#WatuWaMungu Mmeshawahi kukutana na Balaa la Nyani katika Maisha Yenu?, au mmeshawahi kukutana na Kipigo kutoka kwa Nyani katika Hanagika Zenu?

Sasa, tumekuletea hii Info kuhusu Nyani ambao kiujumla wamekuwa ni Kero Moja kubwa kwa Wakazi wa Kenya

   TIZAMA HAPA    

TUPANIC KIDOGO !!! : HII NDIYO HUKUMU ILIYOTOLEWA NA HAKIMU, BAADA YA MTOTO KUUAWA NA MBWA WAKATI MAMA YAKE AKIVUTA SIGARA

1:29:00 AM Add Comment

Na Baba Juti  
#WatuWaMungu Hukumu Ikishatoka itabidi ukubaliane nayo maana ndivyo ambavyo mahakimu wanaona ni sahihi.

Hakimu wa Mahakama ya KENT huko Michgan, Chris Becker, ametupilia Mbali Mashtaka ya Mtoto Kuuawa Na Mbwa Wakati mama yake akivuta Sigara.

Jumataytu Hukumu rasmi ndipo Ilitoka, ambapo Hakimu alidai kuwa, Tukio Hilo ambalo lilitokea May 25 huko Michgan, ni la kuumiza Sana ambapo Mtoto mchanga wa Kike mwenye Wiki 3 alifariki Dunia Siku Iliyofuata baada ya Kung'atwa na Mbwa waliokuwa Nyumbani Hapo.

Taarifa kamili zinadai kuwa, Siku ya Tukio, Mtoto huyo alikuwa amelazwa Sebuleni na Mama Yake na Mbwa watatu wakiwa pale pale, kisha Mama yake mzazi akatoka Nje Na Rafiki yake kwa ajili ya Kuvuta Sigara.

lakini Baada ya dakika 5, mama wa Mtoto alikuta mwanaye tayari ameshajeruhiwa maeneo ya Kichwani, na alipochunguza kwa makini kujua ni nini kilichomdhuru, alimuona mbwa Mmoja akiwa na Damu Mdomoni mwake

Pia hakimu akaongeza kuwa, Mama yake hana Hatia yeyote maana hakuwa Mzembe wala hakusababisha Kifo Hicho, lakini pia Hakuna aliyefikiria kama Mbwa hao ni wakorofi na wana uwezo wa Kumjeruhi ama kumdhuru Mtu

TAYARI: JUMBA LA KIFAHARI LA LIL WAYNE LILILOPO MIAMI, LAPIGWA BEI

1:17:00 AM Add Comment

Na Baba Juti  
#WatuWaMungu Rapper Lil wayne na Hit maker wa "A MILL", Dwayne Carter maarufu kama LIL WAYNE, ameuza Mjengo wake uliko MIAMI , Marekani

Kwa Mujibu wa Taarifa ambazo tuko Nazo Mpaka Hivi sasa, Lil wayne aliingiza Nyumba Hiyo Sokoni na kukaa bila kupata Mteja kwa Takribani Miaka Miwili, na ulikuwa ukiuzwa kwa USD 18 Millions.

lakini mpaka Kufikia Siku Ya Jumanne, Mjengo huo wenye SQUARE METER 1,400 ulipigwa Bei kwa Hela Pungufu, ambayo ni USD Million 10 tu

Pia Taarifa zinadai kuwa, Mjengo huo ulikaa muda Mrefu baada ya Watu kubaini kuwa, Weezy alikuwa anauuza kwa Sababu hakuwa Vizuri kiuchumi, lakini wakwa wanaskilizia mpaka Muda Bei itakapopungua

Kama utakuwa unakumbuka Vizuri, Jumba hilo la Kifahari liliwahi kuzingirwa na kufanyiwa Uchunguzi Mzito baada ya Kuwepo kwa Taarifa za Uwongo kuwa kuna Watu wanne walipigwa Risasi Maeneo hayo

Weezy aliununua Mzigo Huo mwaka 2011 kwa USD 11.5 Millions.

Jumba hilo lina Vyumba Vya Kulala 9, Bafu 9 na Nyumba za Pembeni, Uwanja wa Kutelezea na Skate, Studio Professional ya Kurecord, etc


MTOTO WA MIAKA 10 ABUNI KIFAA CHA KUOKOA VIFO VYA WATOTO WANAOACHWA NA WAZAZI WAO KWENYE MAGARI

12:59:00 AM Add Comment

Na Baba Juti   
#WatuWaMungu tunafahamu vizuri kabisa kuwa kumekluwa na Majanga ya watoto kudhurika na hata kupoteza Maisha wakiwa katika gari kutokana na Hali ya Joto iliyomo ndani ya Gari.

Hali hutokea pale ambapo wazazi wao wanakuwa wamewaacha kwenye gari kwa shughuli tofauti huku kukiwa na Joto, ambapo mpaka hivi sasa Nchini Marekani, Takriban watoto 712 wameshapoteza Maisha mika mingi iliyopita wakiwa wameachwa na wazazi wao katika Gari huku kukiwa na JOTO

Sasa Mtoto wa Miaka 10 kutoka TEXAS Marekani, BISHOP CURRY amebuni Kifaa kipya ambacho kinadaiwa kupokoa Maisha ya watoto ambao watakumbana na tatizo hilo katika magari ambayo yanaachwa na Joto ilihali wakiwa Ndani

Bishop alibuni kifaa Hicho katika Kipindi ambacho yeye yuko Likizo, na Ni Kibox kidogo ambacho kitajumuisha Hewa, itakayomsaidia Mtoto ambaye atakutana na Tatizo hilo.

Kibox Hicho, Mtoto aliyeko Ndani ya Gari lililochemka , basi ataweza kukitumia kama Njia ya kujipatia Hewa ya ziada ndani ya Gari, huku Ki-antenna ambacho kipo hapo pia, kitatoa taarifa kwa Wazazi pamoja na Kitengo cha Dharura kuwa kuna Tatizo ndani yake, hivyo Msaada wa hali na Mali unahitajika
Sababu ya Bishop kugundua Kifaa hicho, ni baada ya kuona Taarifa ya habari kuwa  kuna mtoto anaitwa FERN alifariki katika Gari kutokana na Joto kuzidi.

NEW TRACK : NGORI - Kisu Kikali ( Produced By P-SILLA -Acute Music) -VERY HOT !!

2:36:00 AM Add Comment

Na Baba Juti   
#WatuWaMungu Another New Talent Kutoka Jiji La Miamba (ROCK CITY) Mwanza. Anaitwa KISU KIKALI, na Mkwaju wake Unaitwa "NGORI".

Production imefanyika Jijini Mwanza, chini ya Producer P-Silla. Unaweza Kuiskiliza na Kuidownload Moja kwa Moja


KIMENUKA !!! : RAPPERS WA KIKE WAWILI WAKIRI KUWA WALILIPWA MAMILIONI YA FEDHA ILI WATENGENEZE BIFU NA NICKI MINAJ ( VIDEO)

2:05:00 AM Add Comment

Na Baba Juti   
#WatuWaMungu Kimenuka Si Kitoto, na hii inaweza kuwafanya watu waanzae kuelewa ama kuhisi tofauti hasa kile kinachoendelea katika Game la Muziki

Record label ya Nicki Minaj inadaiwa kuwalipa Rappers wa Kike wawili USD 250,000 ili watengeneze Bifu na Nicki Minaj


Kwa Mujibu wa Info ambayo Tuko nayo mpaka hivi sasa, ni kwamba Rapper wa Kike wa Kwanza, anayefahamika kwa jina la LADY LESHURR aliweka wazi kuwa Atlantic Records ambayo inamiliki Warner Record ambayo ndiyo Minaj amesainiwa Hivi karibuni, ilimuita na kukaa naye mezani, wakimuahidi kitita Hicho cha Fedha, ili atengeneze "Bifu" na Nicki Minaj
Sasa Baada ya kuibuka Suala hilo, alijitokeza Bibie Mwingine ambaye ni Rapper pia, anayefahamika kwa jina la Queen ElizaBitch na kudai kuwa nayeye alishawahi kuitwa ili afanye Hivyo
kupitia Twitter account Yake, Queen ElizaBitch aliandika Hivi

"Yah, ninakumbuka Nilikaa nao pia, ila nikapiga Chini maana niliamini katika siku hizi, msanii anaweza akazitengeneza hizo USD 250,000 mwenyewe kwa nguvu zake"

Hata Hivyo Nicki Minaj alijitokeza na kukanusha Madai hayo kupitia Instagram account yake

R.I.P PRODIGY : 50 CENTS- "WALIMUAMURU P ANICHOME LAKINI HAKUFANYA HIVYO

1:29:00 AM Add Comment

Na Baba Juti.  
#WatuWaMungu Siku Ya Jana , Jamii ya Hip Hop ilikumbwa na Majonzi Mazito baada ya kumpoteza mmoja kati ya Members ambao wanaunda kundi la Mob Deep ALBERT JOHNSPN a.k.a PRODIGY

Taarifa ambazo Team Hit Zone tulizipata Siku ya Jana, zinadai kuwa Rapper huyo ambaye amefariki akiwa na Umri wa Miaka 42, alikutwa akiwa amefariki Nyumbani kwake huku sababu ama chanzo kikiwa hakijabainika mpaka Hivi sasa

Lakini kwa Taarifa ambazo tuko nazo mpaka Hivi sasa, ni kwamba Prodigy alikuwa akisumbuliwa na Tatizo la Sickle Cell Anemia siku chache Zilizopita, na kulazwa Hospital baada ya Perfomance yake huko LAS VEGAS, Marekani

Tatizo hilo limekuwa Likimsumbua tangu amezaliwa, na amekuwa akifanya Juu Chini ili kusurvive katika Maisha Yake ya Kila Siku

50 CENTS: PRODIGY ALINILINDA SANA !   
Mwaka 2005, Mobb Deep walisain Mkataba na G UNIT na kuanza kufanya Kazi pamoja. Mkwaju wa OUTTA CONTROL (Remix) wakiwa na 50 Cents ndio uliowafanya wathibitishe Uwezo wao

Siku Hiyo hiyo ya Jana, 50 Cents alilazimika kuondoka katika Tuzo za GOLDEN NYMPH (Golden Nymph Academy Awards 57) baada ya kupata Taarifa Hizo, huku akiandika Mengi kuhusu Yeye.

Katika Hatua ya Kwanza, 50 Cents aliandika Hivi:
"Police walijitahidi kumtumia P ili wanikamate. Walimuuliza kama nilikuwa ninamiliki silaha ama Dawa za Kulevya. Kisha walimuamuru  aweke Bunduki katika Gari langu . hakufanya Hivyo, na badala yake aliniambia kila kitu ambacho walikuwa wanajaribu kufanya."

katika hatua Nyingine, Hit Maker huyo wa In Da Club aliandika hivi
"Pumzika kwa amani Prodigy, utapendwa na kukumbukwa Milele. Mungu akubariki na Familia yako. Nimekosa maneno ya kuzungumza. ilinilazimu kuondoka katika sherehe za Tuzo"


MNADA BANNER