REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

AVRIL KUFUNGA NDOA YA KITAMADUNI…

2:08:00 AM Add Comment


Kama We Ni Mfuatiliaji Mzuri wa Mishe za TTM, utakuwa unaelewa Kabisa Kuwa Msanii Mrembo Nchini Kenya, AVRIL Nyambura, Yuko In Love na Jombaa Mmoja ambaye ni Msauz (SOUTH AFRICAN), na tayari ameshavalishwa pete ya Uchumba.

Lakini Muda Mchache uliopita, Avril Ameongeza Kuwa, hivi sasa Yeye na Mchumba ake Huyo, wapo kenye Mchakato wa Kufunga Ndoa ya Kitamaduni, ambapo Mchumba wake huyo atakuwa ametambulishwa Rasmi katika Familia yake (Avril)…

Hata Hivyo mpaka hivi sasa, bado haijafahamika Tukio hilo Muhimu katika maisha ya mapenzi Litafanyika Tarehe Ngapi, na wapi…Lakini Itakuwa Ni hivi karibuni.

HAKIKA HUU SIO UBUNIFU..NI UBAGUZI WA RANGI NA UKANDAMIZAJI

2:07:00 AM Add Comment


Mara Nyingi Pia Binafsi huwa nashindwa kupata Jibu katika Swali hili. Unaweza Vip Kumfanyia baya Binadamu Mwenzko na Kumdhalilisha Kisa mapungufu aliyo nayo, ama Utofauti wako na Wake…

Hii imekuwa ni Picha Mbaya sana na Tunaamini Itakuja Kuwacost sana wale Wote ambao wanafanya UPUMBAVU huu kwa Binadamu wenzao, kwa kujiona na Bora kuliko wao.

Kupitia Mitandao Mbali mbali ya Kijamii, Picha ya DASHA ZUKHOVA, Raia wa URUSI ambaye ni MHARIRI MKUU wa Jarida la GARAGE, imemuonesha akiwa amemkali Mwanamke wa KIAFRIKA aliyekuwa Nusu Utupu, akiwa ametengenezwa kama KITI cha Kukalia….


Just Imagine watanzania Wenzangu na Waafrika Wenzangu..Unaweza kusema Kweli huu ni Ubunifu?....kwa Hali Hii?

YOUNG BUCK NAYE AMEZUNGUMZA KUHUSU G UNIT:

2:04:00 AM Add Comment


KAMA ulikuwa Hujuui, basi TTM tunakunyakisha kuwa YOUNG BUCK ambaye ni X Member wa G.UNIT, hajaongea naye Miaka kadhaa iliyopita.

SASA TUNAWEZA ENDELEA…
Akigonga Interview na one Of the Hot Radio Shows Nchini Marekani, BUCK alidai kuwa, yeye hajasaini wala hatosain kurudi Tena katika Kundi Hilo la G-Unit, ingawa amewatakia Mafanikio Mema kwa wenzake ambao Pengine itatokea wakarudisha Kundi Hilo.

Buck ambaye Pia amekiri kutokuongea na 50 Cents Muda Mrefu, amesema kuwa Yeye jambo hilo la Kukosa katika Kundi la G Unit halimuumi na kamwe halimfanyi Kuwa Mgonjwa hata siku Moja.
Hata hivyo ameongeza Kuwa, Yeye alifundishwa Kusamehe, na Sio Kusahau, hivyo kama alitokea Mtu yeyote akafanya baya kuhusu Young Buck, Basi amemsamehe Ingawa hatomsahau.

Hivi sasa YOUNG BUCK anashughulikia Mixtape yake ambayo binafsi amesema kuwa itakuwa na ujazo wa mikwaju Mikali kwa ajili ya fanz wake.
ALL THE BEST YOUNG BUCK

MNADA BANNER