REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

BAADA YA KIM KARDASHIAN KUACHA MAKALIO YAKE NJE KWA AJILI YA JARIDA LA PAPER, ....HIVI NDIVYO WANA-INTERNET WALIVYOAMUA KUFANYA

7:44:00 AM Add Comment











NICK AMEAMUA KU-SURRENDER..AMEOMBA RADHI RASMI.

6:24:00 AM Add Comment

Black Touchez/HNHH/Twitter
Nicki Minaji ameamua kukubali yaishe baada ya kuandamwa sana na “Bandugu” baada ya kuachia Video yake Mpya ONLY aliyomshirikisha Drake, Lil wayne na Chris Brown.

·        Ilivyokuwa:
Nicki Minaj (31) ambaye ni Memba wa Young Money Cash Money Brother (YMCMB), aliachia Video (Lyrics Video) ya wimbo wake huo Mpya unaoitwa ONLY.

Sasa, Baada ya Kuachiwa, baadhi ya mashabiki na raia wa Ujerumani, walionekana kukerwa na Video hiyo, baada ya Nicki Minaj Kutumia vitu mbali mbali ambavyo vinapatikana katika Utawala wa awali wa NAZI, huku akiweka Nembo ya YMCMB.

Hali hilyo ilizidi kuwa ngumu zaidi kwa Nicki minaji sababu maoni zaidi na ukosolewaji zaidi ulianza kutoka Sehemu mbali mbali, huku wakiamini kuwa, niki amedhalilisha utawala na Heshima hiyo, kwa kufanya kitu ambacho kinaathiri sana historia iliyopo.

Tofauti na hilo, hata wale wasiopenda Utawala wa Nazi, nao walikuwa kama wamechokozwa, baada ya Nicki kufanya hivyo, wakiamini kuwa, hakutakiwa kufanya kitu cha aina hiyo, kwani atakuwa amewakwaza pia wasiohitaji utawala huo.

·        Nicki Minaji Ameomba Msahama
Kupitia account yake ya Twitter jana, Nicki minaj ameamua kuomba Radhi na kuamua kuwajibika kwa kila Kitu kilichotokea, huku akidai kuwa hayakuwa mawazo yake, bali ni mtu aliyetengeneza Video hiyo

·        Sio Mara Ya Kwanza

Sio mara ya Kwanza rapper Huyu wa ANNACONDA kutumia Vitu katika nyimbo zake pasipo kuwa makini wala kufuatilia. Awali aliwahi kutumia Picha ya MALCOM X katika Cover ya Wimbo wake (Jina tata kulitamka- Looking Ass Niggaz) hali ambayo ilimuingiza matatizoni baada ya familia ya Malcom X kuingilia kati na kudai kuwa Ndugu yao amedhalilishwa


WHAAAT?..JUSTIN BIEBER KUYARUDIA TENA MATAPISHI?

6:10:00 AM Add Comment

Black Touchez /Hollywoodlife/instagram
KWA Mara Nyingine tena, “Stubborn Boy” Justin Bieber yuko katika mchakato wa kutaka kuyalamba “Matapishi” yake…

·        Amepost Picha Ya Kubembeleza:
Kupitia account yake ya Instagram, Justin bieber alipost Picha yenye kuonesha dalili na mazingira ya Kuyakumbuka “mahaba” ya Selena, ambaye wamekuwa wakipigana chini na kurudiana mara kadhaa
Kitu ambacho “Dogo Bieber” mwenye umri wa Miaka 20 Hivi sasa anakihitaji kutoka kwa “Sexy toto” Selena (22), ni kurejesha mahusiano yao, pamoja na kuendelea kulifaidi Penzi la binti huyo ambaye ni Mkali kupita maelezo
Ujumbe alioandika Justin bieber ni kama TTM tulivyonukuu
 “Sometimes love isn’t a feeling but a choice…..It’s easy to love when you feel it, but love when it’s hard to love.”

·        Serena Je?
Hivi sasa Kuna matukio makubwa ya msingi ambayo Serena ameyafanya, nah ii ni kutokana na hali halisi ambayo anakutana nayo hasa katika maisha bila Justin bieber.
·        Yuko Mbioni kuachia Mkwaju mpya ambao unatabirika na kuaminika kuwa, ni kuhusu maumivu aliyo nayo baada ya kubaini kuwa Justin Bieber kamtenda “Pabaya”. Mkwaju huo utaitwa “The Heart Wants What It Wants.”
·        Ameamua kutlia na kufanya kazi ambazo zina mhusu, huku akiamini kuwa, Justin Pengine sio chaguo lake

·        NOVEMBER 9, Serena alipost picha mbili ambazo zinamuonesha akiwa na Mwanaume mwingine na wako kunako mahaba (Tunaamini kuwa ndo Video ya Wimbo wake Mpya, ila alitaka kumuumiza Bieber !!! )

NEW VIDEO: MKUBWA HERMIDOU FEAT. KALA JEREMIAH & BEKA TITTLE- KICHECHE

2:17:00 AM Add Comment
Na Frank M. Joachim
BACK to the Music , TTM tumeshanyaka One video kutoka kwa rapper MKUBWA HERMIDOU. Mzigo unafahamika kwa jina la KICHECHE.

Audio imeshafanya Vizuri sana kunako AREAS kibao ambzo imeweza kufika.

Katika Video hii ambayo Imefanywa A PEACE FILMS na imeshaanza Kutizamwa na Watu kibao tangia Imezama kunako Mtandao wa Youtube

KICHECHE imewahusisha BEKA TITTLE (BOB Micharazo) na KALA JEREMIAH
Awali aliwahi pia kufanya poa na Video ya NDOTO ZA MKEO ambayo mpaka hivi sasa inapatikana Youtube

MNADA BANNER