REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

19 Wauawa SUDAN

11:56:00 PM Add Comment

JONGLEI, Sudan Kusini


Jeshi la Sudan Kusini limetangaza kuwa askari wake wameshambulia ngome ya waasi katika eneo la Jonglei na kuwaua 19 miongoni mwa. Katika mapigano hayo pia askari mmoja wa serikali ameuawa.

Wakati hayo yakiripotiwa jeshi la Sudan limesema kuwa askari wake wameshambulia maeneo ya karibu na mpaka wake na Sudan Kusini. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na jeshi la Sudan, waasi wa Darfur wameanzisha kambi kwenye eneo la kusini mwa jimbo hilo na kwamba kambi hizo ndizo zilizoshambuliwa na jeshi la Sudan.

Serikali ya Juba inaituhumu Khartoum kushambulia eneo lake la kibiashara suala ambalo limekanushwa na maafisa wa Sudan. Sawarmi Khaled msemaji wa jeshi la Sudan amesema, vikosi vya majeshi ya nchi hiyo vimeshambulia eneo la al Regaibat kilometa 40 kaskazini mwa mpaka wa Sudan na Sudan Kusini.

VIDEO MPYA LEO; Zitafute Hizi

1:17:00 AM Add Comment
KING ZILLA Featuring MARCO CHALI - "NATAKA"



PAH ONE- "I wanna Get Paid"



DULLAYO - "Hawalali"



CONFIRMED - VIDEO Mpya ya MAKAMUA "BADO KUJUANA" Kuachiwa Leo

1:00:00 AM Add Comment














Makamua ametoa picha exclusive za behind the scenes ya video yake mpya inayotarajiwa kutoka rasmi leo. 

Picha hizi ni za wimbo wake mpya “Bado Kujuana” ambayo amemshirikisha msanii mwenzake Dr Eddo ambaye ndiye aliyefanya production zote mbili za audio na video ambapo picha zote za video zimechukuliwa jijini Mwanza.

MNADA BANNER