REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

AISEE: KUMBE NYOTA NDOGO KUVAA "B!K!N!" KWAKE NI MTIHANI MKUBWA

2:24:00 AM Add Comment

Na Baba Juti  
#WatuWaMungu Kwa Mujibu Wa Malezi ya Nyota Ndogo Kutoka Nchini Kenya, yeye Kuvaa Bikini Kwake ni Mtihani Mkubwa Sana aisee

Kupitia Instagram account Yake, Nyota alipost Picha akiwa pembeni ya Gari huku akiwa amevalia Ki-Pensi Kifupi ambacho ilimlazimu afunguke haya ambayo anayasema Bibie Huyu

Ingawa anakiri kuwa kila mtu alilelewa katika Mzingira Tofauti, Kwake yeye Ni Ngumu sana na alishashindwa kuvaa Bikini hata awe Ufukweni ama katika Swimming Pool, na hiyo Haijalishi kuwa ana Mwili Mbaya, bali ni Mzoea Tu

Tunamnukuu
"Kila mtu alilelewa kwenye mazingira tafauti.yani mimi nilishindwa kabisa kuvaa bikini nikiwa beach ama hata kwenye swimming pool.sio kwamba nipo na mwili mbaya ila ni mazoea tu ya mtu.hii siku nilivaa hivi nikiwa beach yani sikua comfortable na sijui kama niweza kurudia.naweza sema ni mazoea tu."


ETI NINI?: FUTURE HIVI SASA "ANAMTINDUA" BABY MAMA WA BOW WOW ?

2:07:00 AM Add Comment

Na Baba Juti  
SITAKI kuamini kama Kweli watu wameamua Kumuonea Bow Wow Kihivyo maana nahisi kuna namna ambavyo Kijana huyu atapata Stress tusipokaa Vizuri

Baada ya Baadhi ya Ma-Ex wa Bow Wow kumkimbia na hata Kuanza Kudate na Wasanii Wengine Maarufu, Zimeibuka Tetesi Mpya kuwa Hata Hit Maker wa MASK OFF- Future, hivi sasa ameanzisha Mahusiano na Baby Mama Wa Bow Wow anayefahamika kwa jina la JOIE CHAVIS

Info Hizo zimaenza kumiminika baada ya Moja kati ya Wavujishaji waliwashuhudia kudai kuwa, Future na Baby Mama wa Bow Wow, wameanza "kukunjuka" pamoja tangu Mwezi wa Sita, yaani Juni

Tunamnukuu  
"Joie Chavis (ambaye ni Baby Mama wa Bow Wow) amekuwa katika Mahusiano ya Kimapenzi kwa siri kubwa tangu Mwezi Juni. Joie alikuwa ni moja kati ya Back Up Dancers wa Future katika Perfomance ya  Tuzo za BET, na wamekuwa Pamoja wiki kadhaa zilizopita, kabla Joie hajaondoka kwenda Bahamas. Pia walikuwa Pamoja katika Meneo ya ATLANTA na amekuwa akienda naye mara kadhaa. Na Kama haitoshi, amemnunulia Saa ya Gharama sana ambayo anaivaa hivi sasa, na tayari ameshaanza kumfollow Instagram"

Kama itakuwa ni Kweli, Basi Future atakuwa Matia Fora, Maana Ciara ambaye amezaa naye Mtoto mmoja, pia alikuwa ni Ex-wa Bow Wow, sasa Joie Chavis, atakuwa ni Mtu wa Pili

PICHA: HATIMAYE AMBER ROSE KAIFUTA TATTO YA WIZ KHALIFA

1:50:00 AM Add Comment

Na Baba Juti  
#WatuWaMungu Hatimaye Amber Rose ameamua kuchukua Hatua ambazo sijui kama zitamfurahisha Wiz Khalifa, lakini Hakukuwa na Namna

Amber Rose ambaye ni Ex Wife wa Wiz Khalifa ambaye pia amezaaa naye mtoto mmoja, SEBASTIAN, licha ya kujipanga na hata kutamani kupunguza Mzigo wa Kifuani kwake, ameamua pia Kuifutilia Mbali tattoo ya Wiz Khalifa

Kwa Mujibu wa Picha halisi ambazo zimeonesha kabisa kila kitu, Amber alikuwa kaianika Sura ya Wiz Khalifa kipindi mahaba yako Moto Moto, lakini Safari hii kaamua kuifutilia Mbali mbali kwa kuificha na kuchora Sura Nyingine ambayo mpoaka hivi sasa hatujafahamu ni Nani

Hali Hii inafsiriwa kuwa hakuna chochote wala matumaini ya wawili hao kurudi katika Mahab yao, ingawa kipindi cha Nyuma, kulikuwa na Kila dalili ya Wawili hao Kurudiana.

WATU WANATAKA HILI LIFANYIKE KWA MISSY ELIOT

1:41:00 AM Add Comment

Na Baba Juti 
#WatuWaMungu Hivi sasa Kuna Jambo ambalo linahitajika ili kukamilisha Heshima kwa Rapper na Mkongwe wa Hip Hop kwa Upande wa Wanawake, MISSY ELIOT

Wananchi wameanza kukusanya Sahihi kwa ajili ya Kumshawishi Meya wa  Jiji la Portsmounth ili iwepo Alama ya kutoa Heshima kwa Missy Eliot ambaye hivi sasa hasikiki kabisa katika Muziki wa Hip Hop

Jamaa ambaye anafahamika kwa jina la NATHAN COFLIN, ndiye aliyeanzisha Mjadala huo , ambao unamaanisha kwamba, Missy Eliot amekuwa ni Moja kati ya Vioo vya jamii Muhimu sana ktika Jiji hilo, ikiwemo kuhamasisha Masuala mbali mbali ya kijamii, na hata kutoa Mchango Mkubwa kwa Badhi ya Vijana katika Nyanja mbali mbali

Hivyo katika Kutambua Mchango Huo, Wanahitaji Saini 15,000 ili kumshawishi Meya wa Jiji la Portsmouth ili Ijengwe Sanamu Maalum ambayo ni ya Missy Eliot, ili kutambua uwepo wake

Hata Hivyo, Mpaka hivi sasa, zimeshapatikana Saini zaidi ya 12,000 hivyo zinahitajika Nyingine zaidi, ili Sanamu ama kumbu kumbu ya Missy Eliot Itengenezwe

Kwa Upande wake Missy Eliot, ameshukuru sana kwa Uwepo wa Utambuzi huo, huku akidai kukosa Cha Kuongea, zaidi ya kushukuru tu kuwa kuna watu wanautambua Umuhimu wake

JAY Z : KANYE WEST AMESHANITUKANA ZAIDI YA MARA 100

1:05:00 AM Add Comment

Na Baba Juti  
#WatuWaMungu Inawezekana kabisa kuwa Rapper na Nguli wa Muziki wa Hip Hop, JAY Z, alikwazika sana na Aliyekuwa Swahiba wake KANYE WEST, ndio maana akaamua kumzungumzia kupitia Album yake ya 4:44

Akifafanua kwa Mara ya kwanza kuhusu namna ambavyo anamchukulia Kanye West na mpaka Kufikia hatua ya Kutokuelewana, Jigga alidai kuwa Hakumzungumiza Kanye West Tu, bali ilikuwa ni Njia ya kuusema Ukweli ambao unafahamika Kabisa

Tunamnukuu
"Sio Kuhusu Kanye West, sio Kabisa. Ni kwamba, Jina lake liko Pale kwa sababu ya Ukweli wa Kile kilichotokea> Ninachokisema ni kwamba, point kubwa ni kwamba unaumia , kwa sababu mtu huyu anakuzungumzia jukwaani. Hata hivyo, kinachoniuma zaidi, ni kuwahusisha watoto wangu na Mke Wangu katika Hili. Kanye ni Mdogo wangu, ameshazungumza kuhusu mie Zaidi ya Mara 100. Aliachia Wimbo unaoitwa BIG BROTHER, tumepitia Mambo Mengi Makubwa, lakini unaingiza Familia yangu katika Hili, Hilo ni Tatizo"


MNADA BANNER