REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

INSTACHOCHO: KICHAMBO ALICHOKUTANA NACHO NUH MZIWANDA INSTAGRAM, BAADA YA KUBADILISHA MUONEKANO WAKE (PICHA)

7:54:00 AM Add Comment
 
Nuh Mziwanda Katika Muonekano Mpya
Na Baba Juti.
NUH MZIWANDA amekutana na "ndimu " za Hatari sana kutoka kwa Mashabiki wake Wa Muziki wake, ikiwa ni baada ya kubadilisha Muonekan hasa katika Sekta ya Nywele zake.

Kupitia Instagram account Yake, Mziwanda ambaye hit maker wa JIKE SHUPA, alipost Picha Kama Tatu ambazo zimemuonesha akiwa amesuka DREADS, kitu ambacho kiliwafanya wengi waanze kumwaga Comments zao


Katika Wingi wa waliocomment, Wengi wameonekana kumkandia zaidi Nuh Mziwanda huku wakishindwa kupata hata jibu kutoka Kwake

BAADHI YACOMMENTS HIZO NI KAMA IFUATAVYO
emmy.walter: Nuh acha kabisaa kuiga hyo style cyo kabisaaa umekua kama mdada vile rudisha nywele kama zilivyokua we ni mzuri ukizidisha mbwembwe unakua wa kike mmh hata bby wako hakuambii aseee

patrick_pattylove : Nafkiri kila mwanadamu ana chaguo na maamuzi binafsi ili kufanya kitu kuna watakao sapoti na wasio sapoti kingine we ni msanii kua na identity yako ya kimuonekano ni muhimu kama staili hiyo umeiamua iwe identity ni vizuri na amna kibaya ita zoeleka tuu #hiiTz

moses_official47: Haijaaa kaaa poaaa nuh hiyo style yko ya nywele badirish

roydar_nsol: Sasa we @iam_mziwanda unaanza kuwa mbaya mh

hamzambasha : hiyo haijakukaa ungevaa wig

omary7326 : Umechukizaaa kma mdoli vile

jonsonnyagawa Maisha ni ww na si wao gudy lifestery

HATA HIVYO 
Siku ya Ijumaa ya Tarehe 30/09/2016, Nuh Mziwanda atasikika kupitia Hit zone ya 93.7 Jembe Fm Mwanza (With Baba Juti, Natt E Brandy na Deejay Jacko) kuhusu Ndimu Hizi alizokutana nazo.

Ni Kuanzia saa 7:00 Mchana - Saa 10:00 Jioni . Hutakiwi Kukosa
Tusilize Pia Kupitia:
App : JEMBE FM HD
Tune In : JEMBE FM

HIT ZONE: LEO TUMEPIGA STORY NA KALA JEREMIAH...LOOH !! HATARI

5:31:00 AM Add Comment

LEO Team HIT ZONE ( Baba Juti , Natty E Brandy na DJ Jacko ) Tumetembelewa na Msanii Kala Jeremiah (0444) katika Studio Zetu za 93.7 Jembe Fm - Mwanza.
Tumepiga Story Nyingi sana, na tumeweza kuenjoy.

Kama Ulikuwa Hujui, Kumbe Hit maker Huyu wa DEAR GOD ambaye hivi sasa anasumbua na Track ya WANANDOTO, huwa anachukia Sana Make Up... na huwa Haogopi kuwachana akina dada ambao wanapiga Make Up na wala hawapendezi

Kaa tayari kwa Full Interview tuliyopiga Naye.
Unaweza kutusikilizia live Masaa 24  kupitia Maelekezo
APP: JEMBE FM HD
TUNE IN : JEMBE FM

NEW VIDEO : JIRANI- WITNESS x OCU SHAGY x SNURA x MZEE YUSUFU

12:35:00 AM Add Comment

JIRANI its a collabo song by WITNESZ KIBONGE MWEPEC and OCHU SHEGGY Collaborating Snura and Mzee Yussuf Recently retired from music

The song Jirani means Neighbor but the kind of Neighbor they are talking about here its two married couple who all of them are staying in the same house but different rooms, so the audio and the video shows how each of these husbands want to go out with there neighbors wife so it shows how, one looks for that time to do so when ever they either know that their wives have gone out or a husband is inside the house or he is out too

The audio of the Song:
JIRANI was writen by Ochu sheggy and co-written by witnesz kibonge Mwepec
Melodies by Ochu sheggy
Produced with Chrixstone beats
Video by Dreams multimedia studio under visualizer creator Pro
Scrip writter and location manager OTCHUNES

UTAFITI: WANAWAKE WENYE MIAKA YA 40 MPAKA 50 NA...HUFURAHIA TENDO LA NDO KULIKO WENYE MIAKA 20 NA...

12:19:00 AM Add Comment

Na Baba Juti
UTAFITI mpya Umeibuka kuwa, wanawake ambao wapo katika Umri wa Kati, yaani kuanzia Miaka 40 hivi na kuende mpaka 50 Na Kitu Hufurahia Tendo la Ndoa kuliko Vijana wenye Umri wa Miaka 20 na kuendelea.


Ingawa Mabadiliko ya Kimaumbile  huwafanya wakutane na Ugumu fulani katika mpangilio wa Mapenzi na hata vitu vingine, Watafiti wa UNIVERSITY HOSPITALS CLEVELAND MEDICAL CENTER wanasema kuwa wanawake ambao wako katika Umri huo, huwa na Ujasiri unaoambatana na mbinu mbali mbali za kimapenzi ambazo huwafanya kuboresha Msisimkuo wa Mahusiano ya Kimapenzi

Tofauti na Hilo, wanawake Wenye Umri huo, hufurahia mawasiliano mazuri, na kwa silimia kubwa hufurahia sana sana kuvaa mavazi ya kutamanisha hasa wanapokuwa chumbani tu, hali ambayo huongeza chachu ya kutamanika kwa mwanaume pindi wanapojiandaa kwa Supa Mechi ya Mtinduo.

Watafiti wamefanya mahojiano na Wanawake Zaidi ya 500 walio na Umri wa Miaka kati ya 40 na 75 walioko kwenye mahusiano kuhusu kinachotokea katika Tendo la ndoa linapopungua kwa sababu ya Umri Mkubwa.

Majibu makuu mawili waliyotaja ni pamoja na Kukauka kwa UKE pamoja na kukosa kwa hamu ama kuwa na hofu na Kufanya Tendo la Ndoa

Pia ikabainika kuwa, Wanawake walio na Umri Kati ya Miaka 40 na kuendelea, na wako katika mahusiano na watu wazima wenzao, hukosa "Shibe" ya tendo la ndoa na kuachwa na hamu, jambo ambalo huwafanya wengi wao walio katika idadi ya asilimia 50 hutumia Vifaa vyenye maumbile ya Uume, vinavyotetemesha ili kuwafanya wafurahie.

DR. SHERLY KINGSBERG, ambaye ni mtaalamu aliyebobea katika Matatizo na masuala ya Kitabia, anasema kuwa Utafiti unaonesha kuwa, Ni kweli wanawake wengi walio katika Umri huo, huenjoy tendo la Ndoa na hata kuridhika balaa, lakini Wengi wao, hushindwa kulifurahia sababu ya kutoridhishwa na Wenzi wao ambao labda wanawazidi kiumri au wapo katika Umri mmoja.

DR JOANN PINKERTON, Mkurugenzi wa NAMS ( NORTH AMERICAN MENOPAUSE SOCIETY) amesema kuwa Utafiti huo utawasilishwa katika Mkutano wao Mkuu wa Mwisho wa Mwaka 2016, utakaofanyika Huko ORLANDO Nchini Marekani, OCTOBER 05.

MNADA BANNER