REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

(AUDIO) HIKI NDICHO ALICHOKISEMA NIKI WA PILI KUHUSU KUSIMAMISHWA KWA LORD EYES WEUSI KAMPUNI

6:34:00 AM Add Comment

TTM
ILIKUWA Ni Almost ghafla sana na kushtushwa kusikia Statement ambayo ilitufikia TTM kuwa Msemaji wa WEUSI KAMPUNI, NIKKI WA PILI, amesema kuwa Wamemsimamisha Memba Kampuni Hiyo, LORD EYEZ.
Infact imetucost Muda mrefu sana kubaini sababu kubwa ya 
Kusimamishwa kwa Msanii huyo, ikiwa Ni baada tu ya kubaini kuwa, LORD EYEZ anashikiliwa na Jeshi La Polisi Jijini Arusha kwa Tuhuma za Wizi wa Kifaa aina ya Laptop.

Sababu hiyo haikutuingia akilini kama Ndicho chanzo, tukaamua Kumtafuta Nikki Wa Pili ili aweze kutuambia Chanzo hasa cha Kumsimamisha LORD ni Kipi?

NIKKI naye hakusita kutuambia kile ambacho KAMPUNI YA WEUSI Imekitumia Kumsimamisha LORD


PICHA: JK AKIJIRIDHISHA NA MADARAJA YA JESHI

6:11:00 AM Add Comment
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, akikagua madaraja ya kijeshi yakiwemo yale ya kuelea juu ya maji wakati alipokagua zana za kijeshi.

KUNA UWEZEKANO 50 KALIANZISHA UPYA TIMBWILI NA RICK ROSS, P.DIDDY, NA STEVE STOUTE

1:31:00 AM Add Comment

BLACK TOUCHEZ
Kuna Swali ambali TTM tutabaki Kujiuliza kuhusu  50 CENTS na Ishu zake…This time, amechokonoa na kama ilivyo TTM tumeinyaka.

Katika Account yake ya INSTAGRAM, 50 Cents amepost Picha ya P.Diddy, Rick Ross na jamaa mmoja anayeitwa  STEVE STOUT kasha Chini yake akaandikaStatement ambayo iliashiria ni MASHOGA

Wiki Iliyopita, 50 alizinguana vilivyo na STEVE STOUT ambaye ni moja kati ya watu wakubwa wanaojihusisha na Music industry nchini marekani.

Katika kuzinguana huko, 50 aliipost Video ambayo alikuwa akizinguana na STEVE STOUTE kunako Mtandao wa YOUTUBE. Hasa akimtuhumu jamaa huyo kwa kumzungumzia Vibaya na kumlinganisha na Baadhi ya Vitu ambavyo yeye haendani navyo.

Katika picha aliyoipost Instagram, imemuonesha Rick Ross akiwa amemsogelea Didy karibu na Mdomo wake mithiri ya kutaka Kumchumu Mdomoni, lakini Picha nyingine ikamuonesha STEVE STOTE akiwa amemkumbatia Diddy kwa Nyuma.


Lakini hata hivyo, 50 aliifuta ile Post haraka sana baada tu ya kupokea maoni kadhaa, na mpaka hivi sasa TTM tunakupa huu Mtonyo, Post Hiyo haipo

WAYRE NA TUZO ZA GRAMMY…

1:26:00 AM Add Comment

BLACK TOUCHEZ..

INTERNATIONAL LOVE Ndo Habari ya Mujini kwa Hivi sasa,
Iko Hivi

Baada ya Lupita Nyong’go kufanya Kile ambacho kimeiweka Kenya pazuri na hata kuwapa sifa ya kutosha, sasa Mkali wa NO MORE, Wyre The Love Child naye ameona njia ya Mbali kweli

Hivi sasa Wayre ameomua kuanda Malengo makubwa ya Muziki wake katika Suala zima la kuvuka Mipaka kutoka katika tuzo ambazo ni za Ndani, mpaka kufikia Kimataifa

Akizungumza katika Moja ya Interview Nchini Humo, Wyre amedai kuwa anataka kuiweka AFRICA MASHARIKI katika ramani ya Kimataifa. Tofaut na Hilo, Wyre amedai kuwa anatamani kuona kila Msanii wa Afrika mashariki anaingina katika MaTamasha ya Kimataifa yaa Muziki wa Reggae, huku yeye binafsi akiipeperusha Bendera ya Kenya Katika Nchi za nje zaidi


Katika kumalizia, wayre ambaye hivi sasa amechaguliwa kushiriki katika Tuzo za WORLD MUSIC AWARDS, amesema anatazamia mpaka kuingia katika Tuzo za Kimataifa za GRAMMY

DNA NI HABARI NYINGINE NCHINI KENYA…

1:11:00 AM Add Comment

BLACK TOUCHEZ

Unaweza kujiuliza Kwamba huyu jamaa ni habari Nyingine kivipi, lakini ukweli utabaki pale pale kuwa jamaa anaheshima yake na Iko hivyo
DNA anaaminika kuwa Kichwa cha COLLABLE Nchini Kenya huku akihusika katika mikwaju kadhaa iliyohit kupita maelezo nchini humo.

Kama utakuwa umesahau kivipi, ni Kwamba The Hit maker huyu wa MASWALI YA POLISI kutoka Kunako Serikali la Grandpa, yaani GRANDPA RECORDS nchini humo, ameweza kushiriki na kuua Vibaya kunako Kwaju la Mr. Nice “TAFUTA” ambalo lilikuwa na dhamira ya Kumrudisha katika Ulimwengu wa Muziki, lakini utovu wa Nidhamu ukamnyima Mr Nice nafasi ya kuwa hapo alipohitaji kuwa
Tofauti na Hilo, DNA ameshiriki kunako Collable Nyingi Ikiwemo FIMBO, KAMUA LEO, na Nyinginezo, ambazo zimekita na Mpaka hivi sasa ni Balaa Afrika mashariki.


Katika GOOD NEWS nyingine Taasisi ya Hakimiliki Nchini Kenya MCSK (Music Copyright Society of Kenya) imemtaja DNA Kama Msanii ambaye amevuta Mkwanja Mrefu kutokana na Shughuli zake za muziki, katika Mwaka uliofunmgwa Hivi Juzi kati, yaani 2013

MNADA BANNER