REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

RAPA T.I AMZAWADIA MWANAE WA MIAKA 14, GARI.

2:21:00 AM Add Comment


KAMA Inawezekana, hebu jaribu Kufanya Chochote ambacho ni kizuri kwa Mtoto wako ili atambue Jinsi unavyopigana Kutafuta Mkwanja Kwa ajili Ya Furaha ya maisha yake.

Just Like TITLE linavyojieleza, RAPA T.I amemnunulia Zawadi ya gari Mtoto wake ambaye ametimiza Umri wa Miaka 14 Kwa hivi sasa.

Licha ya Kwamba Bwana Mdogo huyo anayefahamika kwa Jina la HARRIS, hawezi Kuliendesha Leo wala kesho, bali ni mpaka Miaka 4 Ijayo, T.I aluidhirisha Kuwa, anaifahamu furaha ya Mtoto wake huyo, na Meandaa kitu hicho kwa ajili ya matumizi yake ya Leo na hata pale atakapokuwa huru Kuendesha gari hilo, umri Utakapotimia.


T.I ana watoto Sita Mpaka hivi sasa, ambao wote anawatimizia Kila wanachiohitaji, na hajawahi kuingia katika malalamiko yoyote kuhusu Matatizo ya kimalezi.

DRAKE AMEDHIHIRISHA NO BODY LIKE FATHER

2:12:00 AM Add Comment


KAMA Humpendi Baba Ako, basi, kuna wengine ambao wanawapa Credit zao Ukizingatia Historia zao.

Tumekuwa Tukiona Asilimia Kubwa ya CELEBRITIES Duniani kote wakichora tatoo ya Picha za mama zao pamoja na Wapenzi wao, lakini Kwa Rappa Drake Imekuwa Tofauti Kidogo.

TTM tumeshuhudia Moja ya Tatoo za Drake ikiwa Ni Sura Pure ya baba Yake Mzazi GRAHAM. Tofauti na hapo, Unaweza kubaliana na Sie kuwa,  Drake anampenda sana baba ake Mzazi, hasa baada ya Kuandika Lyrics kuhusu Mzee huyo, katika Track ya WORST BEHAVIOR, na Baba yake huyo Tena Kuonekana Katika Video Hiyo.

Kwa Mtazzamo wa TTM, DREEZY Ni Moja kati ya Wasanii anaewakubali sana wazazi wake na Hata Kuwapenda Kwa Dhati, kwani hata Katika Video ya STARTED FROM THE BOTTOM, mama Yake Mzazi alionekana akiwa ameng’aa Ndani ya Coti Jeupe Kubwa la baridi.

NO BEEF..NI KAZI KWENDA MBELE. 50 CENTS NA JADAKISS KUSHUSJHA KOLLABO.

2:11:00 AM Add Comment


50 CENTS BADO anadhihirisha kuwa Project yake ya ANIMAL AMBITION itakuwa hot huku ikitarajiwa kumrudisha Katika Game.

TTM tumefukunyua na Kubaini Kuwa Rapa Wa In Da Club, JACKSON CURTIS , 50 CENTS Himself, anatarajiwa Kushusha “Collable” Nyingine na Moja kati ya Mahasimu ama maadui zake wa Kipindi Cha Nyuma.

Baada ya Kushusha Mzigo na Fat Joe huku Ikiaminika Kabisa kuwa Huu unaweza Ukawa ni Mwaka wa 50 Kumaliza mabeef yake, Siku Chache zilizopita, aliweza Kupost Picjha ambayo inamuonesha Yeye, Jadakiss pamoja na Styles P.


Aidha Mpaka hivi sasa, wengi wanatabiri Ujio Huo Kuwa Zaidi ya Hot, ukizingatia STYLES P akikutana na JADAKISS katika Track Moja, lazima wafanye La Kufanyika.

Albam ya ANIMAL AMBITION itakuwa ni ALBAM ya Kwanza Tanmgia Ukimya Wa FIF na Kukumbana na Mishe Kibao, huku akijitahidi kujaribu Huku na kule ili kurudisha Hadhi yake.

MNADA BANNER