REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

Kristen Stewart alivyomsaliti Mpenzi wake Robert Pattinson na Director wake Rupert Sanders

5:30:00 AM Add Comment
















Na Frank M. Joachim
Yule Baby Mama wa TWILIGHT na SNOW WHITE kwa wale wataalamu wa Movie za Mbele, namzungumzia Bibie Kristen Stewart, amedakwa na wadaku wa hukooooooooooo...akila Maraha ya kimahaba na Director wake katika Movie ya SNOW WHITE na HUNTSMAN kisiri siri
Picha Zenyewe ziko hivi...Kodolea Uone..


Hapa ni Kristen Stewart na Mpenzi wake Robert Pattinsons kabla ya Skendo na Director wake.

Kristen (Katikati), akiwa na Director wake ambaye amefanya naye usaliti, Rupert Sanders, wakti wa kutengeneza Filamu ya "SNOW WHITE"


Kristen Stewart na Rupert Sanders katika Pozi. Hii ilikuwa ni safari ya kuelekea kwenye Uhusiano wao wa kisiri siri...yaani usaliti

Kristen Stewart na Rupert Sanders walipofumwa katika Mgahawa wakila bata....ilikuwa ni dalili ya......
malizia

Hayawi hayawi...yakatimia.Hapa Kristen Stewart akiwa katika Mahaba Mazito ya usaliti na Director wake Rupert Sanders, Baba wa watoto wawili, mwenye watoto wawili na Mke wake mmoja, huku akikabiliwa na Umri wa miaka 41.
Weeeh...Chezea Director wewe?...Hapa Kristen akiwa mule mule katika Maraha ya makopa na Director wake Rupert..Rahaaaa...Utamu...

Hapa wakitoka kwenye Mkoko wao baada ya Kupeana maraha, mazaga zaga na Makachumbari ya Kimahaba.

Ajabu na Kweli...Mahaba yakahamia Nje...hapa Rupert Sanders akiwa amekumbatia Vilivyo Kristen Stewart....
He!...Si yakaanza upya Tena?
(Picha Zote kwa Hisani ya jarida la US WEEKLY)

Director Rupert Sanders akiwa na familia yake (Kabla hajamsaliti mke wake na Kristen Stewart)






UGONJWA WA EBOLA UNAVYOWATESA WANANCHI WA UGANDA

4:13:00 AM Add Comment
Watoa Huduma wakimhudumia Muathirika wa Ugonjwa wa Ebola,
Nchini Uganda.

Raia Mwanamke wa Uganada akiwa Hospitali baada ya Kuambukizwa Ugonjwa Wa Ebola, unaoanza kusambaa Nchini uganda

Rai wa Uganda akiwa na hali mbaya baada ya kuambukizwa ugonjwa wa Ebola ulioibuka Tena Nchini Uganda.

Wahudumu wa Hospitali moja ya Uganda wakiwa na Mgonjwa wa Ebola Nchin humo.

Wataalamu wa Afya Nchini Uganda wakidhibiti Virusi vya Ebola





6 walazwa baada ya kuugua Ugonjwa wa Ebola

3:51:00 AM Add Comment












Mgonjwa Wa Ebola




Rais Wa Uganda, Yoweri Kagutta Museveni






Na Frank M. Joachim




Watu sita zaidi wamelazwa hospitalini kwa kushukiwa kuwa wameambukizwa virusi hatari vya Ebola Magharibi mwa Uganda. Ugonjwa huo hatari ulizuka wiki tatu zilizopita. Inaripotiwa kuwa vijiji vingi katika eneo hilo sasa vimeathirika. Wizara ya Afya ya Uganda na Shirika la Afya Ulimwenguni WHO zilithibitisha mwishoni mwa wiki kuwa virusi hivyo vimewaua watu 14 mwezi huu. Rais wa Uganda Yoweri Museveni jana pia alithibitisha kupitia vyombo vya habari kuwepo ugonjwa huo na kuwataka watu kuepuka kugusana ili kuepukana na hatari ya kuambukizwa. Hakujakuwa na visa vilivyothibitishwa vya maambukizi kuenea katika mji mkuu Kampala. Uganda imewahi kukumbwa na matukio matatu ya kuzuka ugonjwa wa Ebola katika kipindi cha miaka 12 iliyopita. Kisa kibaya zaidi kilikuwa mnamo mwaka wa 2000 ambapo watu 425 waliambukizwa. Zaidi ya nusu yao waliaga dunia. Hakuna chanjo ya kuzuia ugonjwa huo kufikia sasa.




P.Diddy Afunika kwa Utajiri

3:34:00 AM Add Comment








Sean John Combs "P. Diddy"


A new list of hip hop's wealthiest stars has reaffirmed Diddy's status as the world's most valuable rapper. The list of 20 artists and moguls, published by Celebrity Net Worth, places the Bad Boy Records founder at the top with a personal net worth of $500 million. Jay-Z follows closely behind with a net worth of $475 million.

The list echoes the findings of another report published earlier this year by Forbes, which also had Diddy and Jay in the one and two spots. The Celebrity Net Worth list is more extensive, however, and also includes Master P ($350 million), Eminem ($120 million) and Rick Ross ($25 million).

See the full list below:

#20 Rick Ross – Net Worth $25 Million
#19 Tie between T-Pain and T.I – Net Worth $30 Million
#18 Nelly – Net Worth $55 Million
#17 Busta Rhymes – Net Worth $60 Million
#16 Ludacris – Net Worth $65 Million
#15 Beastie Boys – Net Worth $75 Million Each*
#14 Timbaland – Net Worth $75 Million
#13 Pharrell Williams – Net Worth $77.5 Million
#12 Tie between LL Cool J and Akon – Net Worth $80 Million
#11 Kanye West – Net Worth $90 Million
#10 Lil Wayne – Net Worth $95 Million
#9 Ice Cube – Net Worth $100 Million
#8 Snoop Dogg – Net Worth $110 Million
#7 Birdman – Net Worth $115 Million
#6 Eminem – Net Worth $120 Million
#5 50 Cent – Net Worth $250 Million
#4 Dr. Dre – Net Worth $260 Million
#3 Master P – Net Worth $350 Million
#2 Jay-Z – Net Worth $475 Million
#1 Diddy – Net Worth $500 Million

MNADA BANNER