REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

#MpakaRaha: KAJALA, QUICK ROCKER LOVES YOU SO MUCH !!!

2:33:00 AM Add Comment


SASA, Ole Wenu Mnitafsiri Mengineyo, Nitakuwa Mkali kuliko Nay wa Mitego, maana Mie Ninajaribu Fikisha Ujumbe Tu Kwa Kajala…

Ikiwa Leo ni “Keki Day” ya Kajala Masanja, ambaye kumekuwa na Vijifununu kuwa ana mahusiano ya Kimahaba na Rapper Quick Rocker (Rocker Mwenyewe alikata, hivyo msinitolee Macho), Watu Wengi sana wamemtakia Birthday Njema, huku Wengine wakiomba angalau kuhudhuria kunako Keki ya mamito Huyo


Laki Hii ambayo Nimeipenda , Ni Kutoka Kwake “Big Bous” Huyo wa Sitch Records, Quick, ambaye amekuwa Tofauti sana na Wishes nyingi ambazo Zimetokea.

“Bishoo” Mwemyewe aliandika Simple and Clear, kama Ifuatavyo:

Happy Birthday Beautiful....May God bless u na akupe maisha marefu.Love u so much
@new_kajala


Safi sana, Ninaamini Kajala anafarijika kuwa na rafiki Mzuri kama Quick Rocker

#WednesdayCRUSHWoman: HAPPY BIRTHDAY KAJALA MASANJA

12:28:00 AM Add Comment
Kajala Masanja (Instagram)

Na Baba Juti.
LEO Ni siku Maalum Kwa  Msanii wa Filamu Nchini Tanzania, Kajala Masanja, ambapo anasherekea Siku yake ya Kuzaliwa na Kuingia kunako Timu July.

Katika Black Touchez, Leo ndiye anayekuwa Mwanamke wa Siku ya Jumatano, ama WcW (wdnesday Crush Woman)

Ili Kuonesha Kuguswa na Siku Hii Muhimu, Kajala aliandika katika Account Yake ya Twitter kama Ifuatavyo:


“Thank you God for giving me another year of life. Thank you for all the experience of this past year, for times of success which will always be happy memories, for times of failure which reminded me of my own weakness and of my need for you, for times of joy when the sun was shining, for times of sadness which drove me to you. Forgive me for the hours i wasted, for the chances i failed to take, for the opportunities i missed this past year. Help me in the days ahead to make this the best year yet, and through it to bring good credit to myself, happiness and pride to my loved ones, and joy to you. Amen HAPPY BDAY 2 ME”

MNADA BANNER