REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

MAMA YAKE NA WHITNEY HUSTON HAKUBAIBARIKI NDOA YA MJUKUU WAKE.

1:35:00 AM Add Comment

Kama Hujawahi kusikia Ndugu wakioana basi pengine inawezwekana.

Ingawa wengi wanaonekana kuipinga sana Ndoa hiyo, lakini Amini Usiamini Mtoto wa Marehemu Whitney Huston, Bobi Kristina, pamoja na kaka Yake aliyelelewa na familia hiyo ya Whitney tangia akiwa Mdogo, NICK GORDON, bado wanaonekana kufurahia maisha mapya Ya ndoa yao.

Katika maelezo yake ya Awali, BOBI KRISTINA alidai kuwa, aliomba Baraka Zote kutoka kwa Bibi yake, anayefahamika kwa jina la CISSY HOUSTON, na hatimaye kuzipata.

Lakini jambo la kushtua ni kwamba, Bibi huyo alidai kuwa hakupewa taarifa yoyote kuhusu ndoa hiyo na taratibu zake, na hakutoa Baraka, lakini hana Budi kukubaliana na hali halisi ambayo Wajukuu zake wanaotafsirika kuwa ni mtu na Kaka yake, wamefunga Ndoa, na Wamekuwa kama Mke na Mume.

Lakini katika hali Nyingine, inasemekana kuwa, Familia ya HUSTON ilihudhuria Sherehe za Ndoa Hiyo.

NICK GORDON alianza Kulelewa na Familia ya Whitney Huston akiwa na Umri wa Miaka 12, huku akiishi na Bobi Kristina kama dada yake mpaka kufikia hatua ya kuingia katika mahusiano ambayo yalikuwa ni sehemu ya mshangao kwa watu ambao ni wafuatiliaji wa familia yaMarehemu Whitney Huston



50 CENTS ANA HILI KUHUSU G- UNITY, PAMOJA NA ADUI YAKE MKUBWA THE GAME

1:27:00 AM Add Comment

Wengi tutakuwa tunafahamu kuhusu Kupotea Kwa kundi ambalo lilikuwa na mafanikio ya Aina yake katika Muziki wa Hip Hop Ulimwenguni Kote. Tunazungumzia Kundi la G-UNIT
Katika Kutafuta zaidi data kuhusu Ishu Mbali mbali Tangia 50 Cents Kutangaza ujio wake Mpya na Project ya Animal Ambition ambayo itaachiwa Soon, TTM tumeweza kunyaka hii ambayo ni Muhimu hata kwako Kuisikiliza kama ni shabiki ake.
KUNDI LA G UNIT.
Kuhusu kundi la G unity ambalo alilianzisha yeye mwenyewe miaka kadhaa iliyopita, likiundwa na FIF mwenyewe, Loyd Banks, Young Buck, na Baadae Tonny Yayo, Jackson Curtis alidai kuwa Ni kitu ambacho alikianzisha, kipindi ambacho 50 cents alikuwa anakubalika pamoja na Muziki wake.
Pia aliongeza dhamira aliyokuwa nayo wakati anaanzisha Kundi hilo, ni pamoja kuwasaidia Vijana mbali mbali ambao walikuwa na Ndoto za Kuukuza muziki wao, na hasa Kwa watu mbali mbali wanaomzunguka.
Lakini katika maisha siku zote, watu hubadilika, na hawawezi kuwa wale walewa kipindi cha Nyuma. Na Endapo Uhusiano ukizidi Kuwa mkubwa na wa Siku nyingi ama Ukizeeka, basi watu wanaamua Kutafuta Mbinu nyingine za Kuendeleza kurudumu la maisha, na Ndivyo ilivyokuwa Kwa Members wote wa G-UNIT.
Aidha 50 Aliongeza kuwa, huwa anapenda sana Kushirikiana na Ex Members Wenzake katika kazi mbali mbali ikiwemo Muziki na Mengineyo, kwani amekuwa akifanya Hivyo muda Mrefu Tangia bado wako ndani ya Kundi la G Unit. Na Endapo itafikia hatua ya Kwam,ba G-UNIT Irudi, basi Itarudi.
 KUHUSU THE GAME.


Pasipo Kuzunguka ama Kupoteza mud asana kuhusu hilo, 50 CENTS Alikiri kabisa Bila kumuogopa Mtu yeyote, kuwa HATOKUJA KUFANYA KAZI na Hasimu wakeTHE GAME 

MNADA BANNER