REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

BIG BROTHER AFRICA: JUMBA LANUKA HOFU. KITABU CHA LILIAN KILICHOSHEHEN MASHAIRI YAKE KISIPOONEKANA WATU HAWALALI..TIZAMA HAPA

2:55:00 PM Add Comment
Na Frank Joachim & BBA
NOTEBOOK AMBAYO IMESHEHENI Mahairi ya Mshiriki Kutoka Nchini Nigeria, LILIAN, anayoiita “Rap Book” imepotea katika Mazingira ya Lilian.

Sasa, Wakati Washiriki Wengine wakiwa Jikoni wakiandaa Chakula, Lilian Ghafla anatoka huko alikokuwa akitafuta RAP BOOK yake na kuanza kulalamika kuwa hakioni hicho Kitu chake ambacho ni Muhimu sana.

Katika Kauli yake Lilian, alidai kuwa, Endapo Kitabu Hicho hakitoonekana , basi hakuna atakayelala Siku hiyo, jambo ambalo limeonekana kuwapa Hofu Kidopgo baadhi ya washiriki hasa wa kike.

IDRIS kutoka Tanzania, Ndiye aliyeonekana kumtuliza zaidi Lilian, na kumsihi kuwa wakasaidiane kukitafuta mpaka wakipate .
Katika hali hii, unaweza kubaini kuwa, Lilian ni Mtu ambaye ameathiriwa sana na hatua ya Kutupwa Kikaangoni na Biggie katika Jumba hilo la Big Brother kwa Mwaka Huu wa 2014.

Hali inaweza isiwe shwari hata Kidogo katika jumba hilo, hasa Ukizingatia kuwa Mtu ambaye hapendi kitu kinachoitwa RAP ama Mashairi katika Jumba hilo, ni TAYO Kutoka Nigeria Pia.

Sasa Swali ni Je, nani kaficha Kitabu Hicho cha Lilian. Anaweza kuwa ni Mshiriki Mwenzake kutoka Nigeria, tayo, anayechukia Kitu RAP katika Jumba Hilo?

TIZAMA HAPA

MNADA BANNER