REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

ALIYEWASHAMBULIA AKINA CHRIS BROWN NA SUGE KNIGHT AMEBAINIKA

6:46:00 AM Add Comment

JESHI la Polisi Nchini marekani limedai kuwa limeweza kumtambua Mtu aliyemfyatulia Risasi SUGE KNIGHT, na kumkosa kosa Chris Brown katika PRE VMA Event iliyofanyika katika Ukumbi wa 1 OAK mnamo AUGUST 24 Mwaka Huu

Aidha licha ya Kumgundua, Jeshi hilo la Polisi limedai kuwa bado hawajapata Nguvu ya Kumkamata sababu ushahidi Bado haujakamilika

Pia Imefahamika kuwa, Suge Knight (Mwanzilishi Mwenza wa Death Raw) alipigwa Risasi 6 katika Mkono wake, lakini cha ajabu ni kwamba yeye pamoja na Majeruhi wengine waligoma kushirikiana na Jeshi la Polisi Katika Kufanikisha Hilo.

Sababu kubwa ya kutokutoa Ushahidi ama kushirikiana na Polisi, ilikuwa ni kwamba hivi sasa anaendelea Vizuri Kiafya, hivyo hakuna haja ya kulizungumzia kwa namna yoyopte ile na wala halina Umuhimu wowote wa kuzungumziwa


IGGY AZALEA NI KAMA KANYE WEST VILE..AZINGUANA NA PAPARAZI : “ I HOPE YOPU HAVE EBOLA, I HOPE YOU DIE” NDIO KAULI YAKE

6:38:00 AM Add Comment

BLACK TOUCHEZ TZ
KUNA uwezekano Mkubwa kabisa Iggy Azalea akaanza kuwachukia mapaparazi kupita maelezo, ikiwa ni baada ya kuonja joto la kufuatwa siku nzima na Paparazi mmoja mpaka kuingia katika Majibishano makali..TTM Tumeinyaka Hivi

Iggy Azalea akiwa na rafikia ake , alionekana akijibishana Vikali na Mpiga  Picha mmoja amabye inasemekana amekuwa akimfuatilia sana.

Tukio hilo limetokea katika Duka moja lililopo LOS ANGELS Marekani, ambapo paparazzi huyo alionekana kuwapiga Picha akina IGGY wakati wakifanya manunuzi ya Bidhaa mbali mbali majira ya Usiku.

·        Malalamiko Ya Paparazi
Video Clip imewaonesha Iggy Azaela na rafiki ake wakijibishana maneno makali na paparazzi huyo. Malalamiko ya paparazzi huyo katika Video Clip Hiyo, ni kwamba eti alitemewa mate na rafiki yake Iggy, huku akidharirishwa kwa kuambiwa kuwa atakuwa anataka kuwaambukiza Ugonjwa wa Ebola
Pia sauti ya Iggy ilisikika ikisema “I hope You Have Ebola, I hope You Die. You are F**ckin C**nt”, na alikuwa akilalamika kuingiliwa katika masuala yake Binafsi


·        Alichokifafanua Iggy
Baada ya Iggy kuona ishu hiyo imecvhukua Nafasi kubwa sana katika Mitandao ya Kijamii na hata Media Mbali mbali, Basi Iggy alitoa Ufafanuzi na kudai kuwa, Jamaa huyo amekuwa akimfuatilia Sikui Nzima, yaani kuanzia Asubuhi mpaka Usiku.
Tofauti na Kufuatiliwa tu siku nzima, Pia Iggy anasema kuwa, Mpiga Picha huyo amekosa Heshima kwa Kiasi kikubwa,maana hata alipokuwa akielekezwa kuhusu Uhuru wa Msanii, basi alikuwa akija Juu.

Pia Iggy ameongeza kuwa, yeye huwa hapatani hata Kidogo na Mapaparazi wakorofi, na yuko tayari kuzinguana nao kadri ya Uwezo wa Nguvu zake

ISHU YA TYGA KUWALALAMIKIA YMCMB, INASEMEKANA HAJALI CHOCHOTE HIVI SASA !

6:30:00 AM Add Comment

HNHH & BLACK TOUCHEZ TZ
SIKU ZA Tyga kuendelea kuwepo katika Famili iliyomlea kwa Muda sasa, Young Money cas Money Brothers (YMCMB), zinaweza kuwa zinahesabika kwa jinsi hali inavyozidi kuonekana

·        Kwa Ufupi Ilivyokuwa
Ndani ya Weekend iliyokata hii, Rapper TYGA alitishia kuvujisha albam yake ambayo amelalamika kuwa YMCMB imekuwa ikimbania kuweza kluitoa, jambo ambalo kiujumla anahisi kama linaua mziki wake  na soko lake kiujumla.

Kupitia katioka Account yake ya Twitter, na Interviews mbali mbali hasa ile ya POWER 106, Tyga aliweza kulalamika kuwa albam yake ya THE GOPLDEN ALBUM: 18TH DYNASTY imeshakamilika tayari, lakini YMCMB wanambana kuweza kuitoa.

“Rack City” Rapper huyo, bado alifikia hatua ya kutishia kuivujisha Albam Hiyo iwapo hatoachiwa NOVEMBER 18 kama ilivyokuwa imepangwa


·        Je, Ni Kweli Ataondoka?
MPAKA hivi sasa, Tyga anaonesha kabisa kuwa tayari ameshachoshwa na maisha ya YMCMB, jambo ambalo anaamini eti linamnyima Riziki
Tofauti na Hilo, Rafiki wa Karibu wa TYGA ambaye pia inasermekana ni Memba wa Kundi hilo, amesema kuwa Tyga amekuwa akijibisha “Kikavu” na Baadhi ya wakubwa na hata wakongwe waYMCMB hasa MACK MAINE kuhusiana na kuondoka na katika Familia hiyo, na Bado msimamo wake uko pale pale, kuvujisha Albam hiyo, ama Iachiwe Rasmi NOVEMBER 18

·        Hajawahi Kupewa Chochote Na Ymcmb
Katika hali ambayo Pia imeshangaza Kitengo cha CHIMBUA CHIMBUA kutoka TTM, ni kwamba Eti T-Raww hajawahi kupewa Mkwanja wa Cheque yoyote kutoka YMCMB kama ambavyo Uongozi unadai.
Tyga ameongeza hajawahi kupokea Cheque Yoyote kutoka katika Familia hiyo ama Record label Yake, lakini kila Kitu ambacho amekuwa akikifanya, kimekuwa kikitokana na Nguvu zake, na kila aina ya Juhudi na Uvumilivu alio nao. Muda mwingi amekuwa akifanya Kazi akiwa Huru na anajitegemea.


·        Tyga Sio Mtu Wa Kwanza Kuondoka Ymcmb:
Mapema Mwaka Huu, Memba wa Lebo Hiyo, BUSTA RHYMES alitangaza kuondoka Rasmi na kujitegemea, huku malalamiko makubwa yakiwa ni Kufanya Kazi kwa uhuru wake, muda anaohisi uko sahihi, na katika Style anayoitaka.
Tofauti na Busta, Pia Rapper Mystical, naye aliomba kuvunja mkataba na Lebo hiyo, huku malalamiko yakiwa ni Yale yale
·        Ka-Historia Kidogo
TANGIA amelamba Mkataba na YMCMB, Tyga aliachia albam mbili tu, ambapo Mwaka 2012 aliachia Albam inayoitwa CARELESS WORLD: RISE OF THE LAST KING na Mwaka 2013 alichia albam inayoitwa HOTEL CALIFONIA 

MNADA BANNER