REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

MAKUBWA !!! : MKE WA MCHUNGAJI ATUMA VIDEO YA NGONO KWA WAUMINI WA KANISA LA MUMEWE..ETI NI BAHATI MBAYA

1:43:00 AM Add Comment

Na Rich Sam
WAKUBWA Wa kazi tafadhari sasa sana, hasa Nyie watumishi wa Mungu ambao mnatumia Smartphone, muwe makini sana na Hizo simu zenu pamoja na vitu private ambavyo mnavihifadhi katika Simu Zenu

Nchini Ghana, Mke wa Mchungaji Maarufu sana katika Masuala ya Ibada na uhudumu wa Injili, amejikuta kwa bahati mbaya sana, akituma Video kwa Takriban waumini wote wa Kanisa la Mumewe

OSOFO MAAME, mwanamke huyo ambaye ni mke halali kabisa wa Baba Mchungaji huyo, alijikuta akiituma Video Clip hiyo ya ngono katika Group la Whatsapp la Waumini wa Mumewe, wakati dhamira yake ilikuwa ni kumtumia Mume wake ambaye ni Mchungaji

Katika video Clip Hiyo, Mama Mtumishi alionekana akichezea sehemu zake za kificho sana, na kinachosikitisha zaidi, ni kwamba wakati akiendelea kufanya uchafu huo,  mtoto wake mchanga alikuwa anasikika akilia sana kutoka upande wa pili

Kinachowashangaza waumini ni kwamba, wawili hao tayari wameshafunga ndoa, sasa inawezekanaje wakaendelea kutumiana Video chafu kama hizo na mpaka inafikia hatua ya kutuma kwenye Group kwa bahati mbaya

TONI BRAXTON KAJITOSA KWENYE MOVIE, NA VIPI KUHUSU NDOA YAKE NA BIRDMAN?

12:46:00 AM Add Comment

Na Rich Sam  
WATU WA MUNGU Toni Braxton hivi sasa ameibua kitu kingine ambacho pengine tulikuwa hatukifahamu lakini kumbe ni sehemua ya kipaji chake, na ishu yenyewe ni kuhusika katika Filamu na uigizaji Moja kwa moja pia.

Siku ya Kesho, Yaani January 27, Toni Braxton anatarajia kuzindua Rasmi Filamu yake inayoitwa FAITH UNDER FIRE, ambayo inagusa Uhalisia wa shambulio la moja ya Shule kule Nchini Marekani, na ameahidi kuwa ni Filamu Nzuri ambayo itamvuta kila mtu kutizama na kufuatilia kile ambacho anaweza kukifanya Mbali na Muziki

Ukiachilia mbali suala la Filamu, Toni Braxton amerudia na kusema kuwa Hajafunga Ndoa ya siri na Rapper Birdman ingawa tayari ameshavalishwa Pete ya Uchumba kwa hiyo kama mambo yataenda sawa, bais kila kitu kitakuwa mwake sana

Pia aliongeza kuwa, Kuwa na Birdman katika mahusiano yao, kumemfunza viztu vingi ikiwemo kupata Support anayoihitaji, lakini ishu ya Ndoa ya Siri haina ukweli wowowte ndani yao, lakini mambo mengine, wanaamsha fresh tu.

MNADA BANNER